hoja

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tuanze na hoja ya kuondoa kinga kwa mihimili yote

    Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA. KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
  2. JamiiForums Tanzania Kujadiliwa kwa hoja za CHADEMA zaidi ya hoja za Bungeni ni Jambo linalotafakarisha

    Toka CHADEMA ianze ziara zake nchini, Hoja zake imekuwa zikijadikiwa zaidi kuliko za Bunge. Suala la kataiba Mpya ambalo lilichagizwa na BAVICHA pale Baracuda limepelekea kuzua mijadala mizito kila kona nchi. Limewaibua mpaka Waziri Kabudi kutoka mafichoni, Kabudi toka ameteuliwa kuwa waziri wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Hoja tano ngumu za mchakato wa Katiba Mpya kuanzishwa tena

    Ni kweli katiba mpya na bora inahitajika kulingana na mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kitekinolojia nchini na duniani kote. Inawezekana kabisa tangu 1977 nchi imepita kwenye changamoto nyingi za kiutawala, kiuongozi, kisiasa, kijamii na kiuchumi hivyo uwepo wa mahitaji mapya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mbowe hajaweka bayana hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya

    Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa kukusanya ushahidi kutoka vyanzo vya kuaminika, kuhakiki hoja za mfumo tawala na hoja za mfumo wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Napingana na Aloyce Nyanda kwenye hoja ya "Wembe uleule" ya Mdude Nyagali

    Kwanza, Alloyce Nyanda kwa nafasi yake katika jamii apaswi kuwa mtu wakuhubir au hata kujaribu kuutukuza ukabila. Yeye Sasa ameshakuwa zao la jamii. Pili, kauli ya Mdude nyangali kwamba Atatumia Wembe uleule aliotumia kumnyoa mtanguliz wa Rais aliyepo kumnyoa aliyepo ni kauli thabiti na ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Clouds alalamikia kutishiwa na Haji Manara

    P R I S C A - K I S H A M B A ! - Mwandishi / Mtangazaji wa clouds fm ametishiwa kudhalilishwa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara. "KOSA LANGU NINI? Leo nilikuwa sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa klabu ya Simba SC na waandishi wa habari za michezo mkutano ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Kosa la karne kwa CCM ni kujitenga na hoja ya Katiba na kuwaacha upinzani watambe nayo

    Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'. Nimeangalia trend mpaka sasa huko mitandaoni, nimesikitika kuona kwamba kila mwana CCM ambaye ataongea kuhusu katiba mpya, basi...
  8. JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya kuunguruma kipindi cha Malumbano ya Hoja Julai 1, 2021

    MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA KATIKA TELEVISION YA ITV SAA 3:00 USIKU KESHO SIKU YA ALHAMIS USIKOSE KUFATILIA
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wana hoja gani kwa sasa?

    Niko najaribu kuhusianisha mafanikio ya Mama na uwepo wa hoja za kimaendeleo kutoka vyama pingapinga hususani CHADEMA. Miaka mitano iliyopita wapinzani walinyanyaswa sana, walipewa kesi za uongo, walifungwa jela pia mali zao zilitaifishwa. Wapinzani hao hawakuruhusiwa kufanya siasa, kila...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Yuko wapi gwiji wa hoja Return of Undertaker?

    Kiukweli kuna wadau wa hapa jf ambao ukiwakosa kwa muda mrefu lazima ujiulize. Huyu Return Of Undertaker amepotelea wapi?
  12. JamiiForums Tanzania Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

    Baadhi ya Watanzania wenzetu wana matatizo sana. Wanapenda kushadadia mambo bila kufanya tafakuri. Kama mtu anasema mtapata hasara mkivunja mkataba fulani ndio apigwe risasi? Mtu akisema tutumie akili kudili na masuala ya kisheria ndio apigwe masasi? Serikali hii hii inatakiwa kumlipa Lissu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hoja ilikuwa nini kwa Wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na TAKUKURU?

    Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine. Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa Bunge wa CHADEMA wanaostahili kuhojiwa?
  14. JamiiForums Tanzania Wabunge wana haki ya kudai nyongeza ya mshahara, hoja yao isikilizwe wasipuuzwe

    Habari wadau, Naona kuna vugu vugu sasa wabunge kutaka kuongezewa mshahara maana hauwatoshi, binafsi nadhani wana hoja ya msingi ni vyema wakasikilizwa. Wengi tulikuwa tunajua wabunge wanalipwa pesa nyingi sana kutokana na kazi kubwa wanazozifanya lakini nilipofuatilia kiasi anacholipwa mbunge...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

    Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya. === Mnazikumbuka sababu ya NASSARI kuvuliwa ubunge? Nchi zenye vetting system, kwa sababu zile za Nassari kutelekeza shughuli za Bunge na akaenda kula maisha Beverly Hills, USA, akashindwa kuheshimu kanuni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumshikirikisha Rais Samia hoja ya Katiba mpya, tumhoji sababu za mchakato wa awali kufia mikononi mwake na Mzee Samuel Sitta

    Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu ya kikao kumfikishia ujumbe Mhe. Rais kuhusu katiba. Yeye anafahamu mwanzo mwisho wa mchakato...
  17. JamiiForums Tanzania Ileje, Songwe: Hoja 38 za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) tangu 2009 bado hazijajibiwa

    ILEJE: Hoja 38 za tangu 2009 bado hazijajibiwa RC Mgumba ageuka mbogo kwa Baraza la Madiwani. SONGWE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amegeuka mbogo kwenye Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ileje baada ya taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG kuonyesha...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Napingana na hoja ya wapinzani kuonana na Rais, inafifisha mapambano dhidi ya udhalimu

    Wapinzani kukutana na Rais nikubariki adhabu inayotolewa na watawala dhidi wa wananchi. Naaamini wapinzani wanapofanya siasa bila kuweka mashirikiano na utawala uliopo wanakuwa na nguvu kubwa yakuikosoa serikali na kuwasemea wananchi kuliko kwenda kupeana mikono kusiko kuwa na tija kwa Taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo hoja ambazo Bunge letu linapaswa kuzijadili

    Nilikua nawaza kwamba: Lingejikita kujadili hoja nzito zifuatazo. 1. Uanzishwaji wa Viwanda ili kuongeza ajira 2. Ujasiriamali kwa vijana na lioneshe maeneo Mahususi 3. Uwekezaji wa kigeni ili kuongeza ajira 4. Mitaji kwa vijana 5. Matumizi halisi ya elimu ya Watanzania 6. Tafiti na maendeleo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa Uhuru wa kufanya Siasa umerudi, una hoja yakusimama jukwaani?

    Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena. Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…