hoja

  1. JamiiForums Tanzania Wito: Mdahalo uitishwe baina ya Lissu na viongozi wa CCM kuhusu hoja ya 'ubaguzi wa kimuungano'

    Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika yenye kuathiri mustakabali wa maisha ya watanganyika moja kwa moja. Lissu ametoa hoja zake akijificha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Salaam, Shalom. Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo. Cha kushangaza wanaibuka viongozi tena wenye hadhi ya juu kabisa kimamlaka na kumjibu TUNDU Lissu kiujumla jumla tu. Anauliza...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wawaeleze Watanzania bara/ Watanganyika sababu na faida za muungano kwa hoja nzito

    Raia wengi wa Tanzania bara au kama wengine wanavypenda kujiita Watanganyika ni kama vile hawaelewi faida za muungano, hawafahamu wananufaika vipi na huu muungano. Kila mara ambapo hoja za muungano zinaibuliwa wanachama wengi wa chama tawala huwa wanapenda kusema tutaulinda muungano na kurudia...
  4. JamiiForums Tanzania Hoja Sita za Kutaka Mabadiliko ya Mifumo ya Uchaguzi, Haki na Kulinda Rasilimali za Nchi

    Uchambuzi wa ACT Wazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25. Utangulizi. Tarehe 29 April 2024 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bunge liliijadili na kuidhinisha kiasi cha Shilingi Bilioni...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Nape kuwa Samia ameruhusu maandamano na kumrudisha Lissu nchini ni ya kipuuzi. Hivi anaelewa Katiba?

    Ama kweli ujinga hauondolewi na taji/cheo (the crown does not change the mind). Nape ni mfano wa mtu mwenye cheo lkn mjinga. Kauli kwamba "Lisu alikimbia nchi halafu Rais Samia kamrudisha",...." rais karuhusu maandamano" ....ni kauli zinzothibitisha jinsi Nape asivyo na uelewa wowote kuhusu...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene ana hoja ila simuamini

    Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "Mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo: - Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na...
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya sababu za kukataa kuoa, hoja zangu ni katika mtazamo wa kukataa kuuishi Ujinga na Upumbavu

    Shalom, Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa. Na katika hili sipo hapa kusema msioe bali iwe ni afya kujadili na kutambua haki ya kila mtu kupanga na...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    “Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali. Waziri Simbachawene ametaja tuhuma za Luhaga Mpina kama ifuatavyo Mpina anasema Ilani na Utekelezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Upinzani anzeni kuibua hoja na sera mbadala za kulikomboa taifa, acha kudandia na kuongelea upuuzi wa wana CCM

    Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM? Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM? Kwani kuna jipya lipi...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA tafuteni hoja, bwawa kujaa maji ni jambo la kawaida duniani kote

    Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere. Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani. Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wanaosema lile ni goli na wanaosema sio goli wote wana hoja, matusi ya nini?

    Kumeibuka mabishano makubwa baada ya goli la Aziz Ki kuonekana halikuwa goli, hasira na ghadhabu za wanayanga ni za kiwango cha kimataifa, sijui ingekuwaje kama ngoma ingepigwa kwa Mkapa na matokeo yangeishia kwa Yanga kutolewa kwa penati. Wapo wanaosema lile ni goli kabisa, limevuka mstari wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Mbunge wa #Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Tsh. 2,000 kila Mwezi kwenye laini za simu na Tsh. 10,000 kukatwa kwa Wabunge, Wafanyabiashara na Wafanyakazi ili fedha hizo ziwe chanzo cha...
  15. JamiiForums Tanzania Misemo iliyoanza kutrend hapa JF na kuwafikia watanzania wote

    1. Single mother Watanzania wengi walikuwa hawajui single mother ni nani 2. Wanaume wa dar 3. Mizagumuo 4. Kataa ndoa 5...
  16. JamiiForums Tanzania Wana hoja, wasikilizwe

  17. JamiiForums Tanzania Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana. Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa unazomhonga anampatia. Yule Mkeo uliyemuoa kwa upendo yupo zake hotel anampa tendo Mwanaume wa hisia...
  18. JamiiForums Tanzania Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

    Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata.. Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
  19. JamiiForums Tanzania Dr Nkwasi: CCM hawana jipya, wanatafuta kiki kwa kutumia umbumbumbu wa wananchi

    Siku hizi wanasiasa na chawa wa CCM wakipanda majukwaani wanatumia muda mwingi sana kumsifia Rais Samia hata kwa mambo yasiyokuwepo hadi wanatia kichefuchefu. Utasikia "Rais katoa pesa kujenga bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, kajenga SGR na mirai mingi sana na anawalipa wafanyakazi mishahara"...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Ninaomba ushauri, nina ufaulu wa Phy D, Math D, Chem C, Bios C na Geo C na nahitaji kusoma Mechanical maana advance combination zinabalance arts, je nifanyeje? Na ufaulu huo na nikipata two?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…