hoja

  1. L

    Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

    Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu mimi: Urefu: sentimita 185 Muonekano: Mwembamba, mweusi Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
  2. ERoni

    Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

    Heri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani. Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza...
  3. kagoshima

    Aliyetoa hoja na waliokubaliana kuteka na kuua watanganyika kama njia ya kuwanyamazisha aambiwe imeshindwa na haina mashiko

    Kama kuna mtub huko serikalini aliye pendekeza kuwepo project ya kuteka na kuua watanganyika ili kuzima ukosoaji mwambieni project ime fail. Maana sasa output zake sio poa kabisa. 1. Inchi imechafuka kimataifa, 2. Ukosoaji unaongezeka, 3.Serikali inachukiwa na kuwa isolated na wananchi 4...
  4. Pascal Mayalla

    Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa: Ikitokea Umeitwa Mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani?

    Wanabodi, Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
  5. M

    Unajua ili katika betting, Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa

    Kuna kitu nimekitafakari katika betting Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu Lakini ukweli ni kuwa tukitaka kufanikiwa katika beating Haya ndo mambo muhimu ya kuangalia sana kwenye...
  6. O

    Hoja za Heche zimejaa harufu ya usaliti. Haya yafanyike kabla ya kufanyika maridhiano yoyote yale

    Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya...
  7. B

    Baada ya Gen Z wa Majirani kutusulubu kwa hoja na mipasho ndio tumekuja na propaganda ya Mrusi Guy?

    Ni kwamba hayo mambo ya kujaribu kudiverge vijana na jamii kwa kufabricate matukio ya ngono Wale Gen Z wao walishavuka hiyo level. Kwa sasaa genz wao wako bize na ku advance teknolojia tumizi na level za anga za mbali. Hii mchezo na movie za connections zingefanya kazi kwa wabongo au waganda...
  8. Liverpool VPN

    ""The Russian Guy"" hoja inayojidhihirisha kuwa Ndoa kwa kizazi hiki ni "Upuuzi Mtupuu""

    Twende direct kwenye mada .... Mmejionea wenyewe wake zenu walivyo "paparika" kwa russian guy. Yaani zile ndio tabia halisi Yaani wale ndio mlioa Ila kuna "case" mbili zimenisikitisha sanaaa .... 1. Mdada alitumia gari alilonunuliwa na mumewe na kuwekewa mafuta na mumewe ili kwenda kwa...
  9. Sifi Leo

    Mh Rais Nina hoja nisikilizwe, waliochoma soko la kariakoo wapo mbona mnawaacha? Sasa ushahidi tulio utoa mbele ya kamati tulikuwa na tumepoteza Muda?

    Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
  10. Pascal Mayalla

    BigUP Balozi Dkt. Nchimbi kukubali hoja za Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi, kuhusu yaliyopita Oktoba 29 si ndwele, tugange yajayo ya Tume ya Uchunguzi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo Leo naanza na asante na Pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kitendo cha yeye ambale ni Makamu wa Rais wa JMT, kukuikubali na kuiunga mkono kwa asilimia 100%...
  11. M

    Wayahudi ndio watu wanaoongoza kwa ukaidi hapa duniani licha ya kuwa Mungu alishawabainishia hoja zilizo wazi kabisa. Walimdai Musa awaoneshe Mungu

    Mayahudi ni moja ya jamii ya watu waliofadhiliwa sana na Mungu huko zamani kwasababu walipelekewa mitume mingi sana ila wengi wao waliwakanusha na hata kufikia kuwaua. Wakati Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) alipohamia katika mji wa Madinah kutoka makkah alikuta jamii kubwa sana ya...
  12. Genius Man

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana. Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
  13. Idugunde

    Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  14. R

    Kihongosi: Kuna watu wameishiwa hoja wamegeuka kuwa vyama vya vurugu, wamepoteza mvuto

    Kuna watu wameishiwa hoja wamegeuka kuwa vyama vya vurugu, nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya demokrasia na katiba yetu inatutaka hivyo na chama cha mapinduzi tunaheshimu demokrasia ya vyama vingi sasa kunawatu wameishiwa hoja, hawaaminiki na watanzania, hawana ushawishi wamepoteza mvuto...
  15. H

    Hoja zinahitaji majibu ya hoja si lebo

    Hoja zinahitaji majibu ya hoja, si lebo. Kila jamii inayodai kukomaa kiakili na kidemokrasia lazima ikubali ukweli huu wa msingi. Pale mtu anapouliza swali, anapokosoa sera, au anapoonyesha dosari katika uamuzi fulani, anachohitaji ni majibu yenye mantiki na ushahidi. Kumjibu kwa kumuita...
  16. F

    HOJA NZITO: Sheria ni kwa nani?

    Tunaona magari ya serikali yanayoonekana wazi kabisa kuwa mapya Prado za 2024/2025 lakini yanatembea na namba za usajili za zamani za miaka ya 2000, mfano T 220 ATZ. Hii ni akili ya kawaida au ni dharau kwa jamii? Je, serikali haijui kuwa mfuatano wa namba unaendana na mwaka wa usajili? Au...
  17. Dalton elijah

    Askofu Bagonza :Kenani Kihongosi Ana Hoja Lakini Kaishika Kichwa Chini Miguu Juu!

    Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza. Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee...
  18. C

    HAKIKA WANAOKATAA NDOA WANA HOJA, KAMA WAKE WENYEWE NDIYO HAWA?

    Hebu tazama hii, sina mengi ya kusema! Ila kwa hakika tulio ndoani tunavumilia mengi Sana. Hapa ni mke wa mtu, ana watoto kabisaaa, na mume WA madhabahuni! Nachoka Baba yenu, Nachoka sanaaaa!
  19. Liverpool VPN

    Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

    Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ...... 1. Namjua John, Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende. John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara. Ghafla...
  20. Mshana Jr

    Askofu Rweyongeza: Kuna watu na makundi yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja, akifananisha tabia hiyo na akina Herode waliokataa kumpokea Yesu Kristo, Mfalme...
Back
Top Bottom