hodi

The history of the Jews in India reaches back to ancient history. Judaism was one of the first foreign religions to arrive in India in recorded history. Indian Jews are a religious minority in India who have historically lived there with very sparse instances of anti-Semitism from the local non-Jewish majority. The better-established ancient Jewish communities have assimilated many of the local traditions through cultural diffusion. While some Indian Jews state that their ancestors arrived in India during the time of the Ancient Kingdom of Judah, others identify themselves as descendants of Ancient Israel's Ten Lost Tribes who arrived earlier. Some claim descent particularly from Ancient Israel's tribe of Menashe and are referred as the Bnei Menashe. It is estimated that India's Jewish population peaked at around 20,000 in the mid-1940s, and began to rapidly decline due to their emigration to Israel after its creation in 1948.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Hodi wana JF

    Hey wana jf mi ni mgeni humu jukwaani naombeni mnipokee
  2. makutupora

    JamiiForums Tanzania Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

    Nina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha. Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia. Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au...
  3. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hodi humu

  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Tunduru

    Insha'allah, mwisho wa mwezi huu nitakuwa Tunduru kwa wiki moja moja Kati ya tarehe 23 hadi 30. Hoteli ipi nzuri ya kufikia? Viwanja? Vipi kuhusu utalii wa ndani? Nipeni kuhusu ABC zake. With much thanks in advance
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mke anahitajika

    Wakuu hodi humu, Nimekuja na nia ya dhati kabisa kutaka Binti mmoja tu awe nami, sijali kuhusu elimu yake. Awe tu katulia, life is too short kumanga manga. Kama nia yako imenyooka karibu PM Iko wazi tuanzie hapo. Nawasilisha
  7. kimboideas

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi JamiiForums

    Habari ya wakati huu mabibi na mabwana. Baada ya kuingia mtumiaji wa jamiiforums bila account kwa kipindi kirefu hatimaye leo nimejiunga rasmi. Asante.
  8. haszu

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini majirani wanapenda kugonga / kubisha hodi mlango wa nyuma

    Yani inakuaje mlango wa mbele upo, ila mtu anatoka kwake anabisha hodi mlango wa nyuma? Hata kama hakuna ukuta, unatakiwa ubishe hodi mlango wa mbele, sio busara kabisa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hodi wakuu! Nimerudi tena.

    Habari za humu wakuu. Nimerudi tena naomba mnipokee.
  10. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Hodi Dodoma,chakula Cha kipekee napata wapi maeneo

    Habarini Wana Dodoma, nimeingia hapa jijini Leo jioni toka Mbeya,mwenye kujua location ambayo naweza kupata chakula Cha kitofauti kabisa mathalani ugali wa mtama au uwele na nyama ya punda anielekeze ili nikirudi Mbeya ije kuwa sintosahau radha ya hicho chakula
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Hodi JF

    Mimi ni member mpya. Naomba mnipokee wana-JamiiForums.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Hodi humu, naomba mnipokee mgeni

    Ninafuraha Sana kuwa member wa jamiiforms nimekuwa nikitamani Sana kujiunga humu hatimae Leo nimefanikiwa naombeni mnipokee wakubwa.
  14. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Hodi humu jukwaani

    Natumai Amani na utulivu vimetawala katika familia hii. Katika ugeni wangu, naomba kujiunga nanyi, nami niwe sehemu katika platfom hii muhimu. Asante. Naomba kuwasilisha.
  15. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Hodi tena wakazi wa Dar es Salaam natafuta mno kifaa hiki

    Wasalaam. Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa. Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor. Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
  16. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Hodi waungwana

    Waungwana! Hapa ni mahala ambapo waungwana hukutana kwa lengo la kujadiliana,kuelimishana, kuonyana,kukosoana, kupongezana,kupeana ushauri na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali kwa njia ya kiungwana. Ili kutimiza lengo,waungwana watatumia “SIMULIZI ZA WAUNGWANA” kama rejea na mwongozo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wakuu

    Nawasalamu wote wana jf naomba kuungana nanyi mnipokee plS
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ni mgeni naombeni mnikaribishe

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa JF kwa muda mrefu hatimae leo nimekuwa miongoni mwa member naombeni mnipokee kwa mikono miwili
  19. R

    JamiiForums Tanzania Utambulisho member mpya: Hodi

    Hodi humu ndani
  20. kipchog

    JamiiForums Tanzania Hodi bandugu

    Mimi ni mgeni humu ndani naomba kujiunga nanyi.
Back
Top Bottom