hodi

The history of the Jews in India reaches back to ancient history. Judaism was one of the first foreign religions to arrive in India in recorded history. Indian Jews are a religious minority in India who have historically lived there with very sparse instances of anti-Semitism from the local non-Jewish majority. The better-established ancient Jewish communities have assimilated many of the local traditions through cultural diffusion. While some Indian Jews state that their ancestors arrived in India during the time of the Ancient Kingdom of Judah, others identify themselves as descendants of Ancient Israel's Ten Lost Tribes who arrived earlier. Some claim descent particularly from Ancient Israel's tribe of Menashe and are referred as the Bnei Menashe. It is estimated that India's Jewish population peaked at around 20,000 in the mid-1940s, and began to rapidly decline due to their emigration to Israel after its creation in 1948.

View More On Wikipedia.org
  1. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Mimi ni mgeni humu kutokea maeneo ya Mo Arena Bunju. Namtafuta mgonjwa wangu muhimu sana tulipotezana uwanja wa taifa baada ya goli la pili kufungwa baina ya Simba na Yanga. Sijui yu hali gani huko aliko?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi waungwana

    Hello wapendwa jukwaani,Mimi ni Mgeni kwenye jukwaa hili,nimependa kuungana nanyi ili kujifunza mengi kutoka Kwenu🙏
  3. Fundi kipara

    JamiiForums Tanzania Hodi Bandugu!

    Hodi Bandugu! Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, hivyo basi naomba ushirikiano wenu humu. Wadau wa mitandao ya kijamii msogee PM tupeane ushirikiano 🙏.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi

    Nimetoka ukooooo...Mgeni wenu humu naomba mnipokee
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

    Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, sasa ni nderemo na vifijo nchi mzima!. Na mimi kama Mtanzania mzalendo wa taifa letu, pale linapofanywa jambo jema lolote la kheri kwa mustakabali mwema kwa taifa letu, sina budi kujiunga na wengine wote wanaolitakia mema taifa hili kwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hodi wanazengo

    Mgeni ila nilikua mwenyeji nimerudi hapa
  7. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania RIP MWAMBA

    Leo ndugu zangu nitawapa mkasa uliotokea kwenye mapenzi katika kambi moja ya jeshi Mkoa WA pwani.Katika mahusiano ya jamaa mmoja ambaye alikuwa mjeshi jamaa tulizoea kila siku anapigiwa na mkewe sasa siku hiyo akakuta SMS za mapenzi Kwa mkewe ndio kisanga kikaanza hapo jamaa akaanzisha timbwili...
  8. Sandy360

    JamiiForums Tanzania Hodi! Hodi!

    Habari, mimi ni mgeni humu, naombeni ushiriKiano wenu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hodi wanajukwaa

    Natumai mko wazima wote, mimi mgeni naomba mnipokee.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Habari wana jukwaa. Mimi ni mgeni humu naomba mnipokee ndugu yenu.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hodi wana JF

    Nimefurahi kujumuika nanyi.
  12. DungaMawe

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    HODI HODI Salamu wakuu mimi ni mgeni huku naomba minipokee
  13. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi

    Wakuu salama? Jamani mimi ni mgeni nikaribie wapi naomba mwongozo au mwenyeji
  14. Kainetics

    JamiiForums Tanzania Post yangu ya kwanza: Hodi JF

    Hodi, humu. Kainetics. Naomba mnipokee. Nakaribia.
  15. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno hodi hodi?

    Kwa Kiingereza hodi unasemaje?? Anyways hodi humu jamvini. Mimi new member naitwa Afrocentric, kwasababu sijawa brainwashed na propaganda za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu n.k.
  16. Joannah

    JamiiForums Tanzania Weekend nikasema nipite kuhemea vitu huko masokoni na madukani, Basi Mambo ndio yalikuwa Ni hivi

    Hapa kwetu nyumbani Tanzania ndio tunalala Sasa kupumzisha mwili, Huko UGHAIBUNI ndio mnaamka sijui? anyways nitajua vizuri nikifika hukohuko.... Basi bwana, leo weekend nikasema nipite kuhemea vitu huko masokoni na madukani, Basi Mambo ndio yalikuwa Ni hivi🔥🔥 Picha linaanza. Amita Bachani...
  17. Rehema Chahe2022

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi mimi ni mgeni ninaomba munikaribishe humu jukwaani.

    Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hodi Jamani

    Nahisi mpo njema sana Mimi mgeni naingia leo. Asanteni sana
  19. Shed1

    JamiiForums Tanzania Habari! Shedrack David From Chugastan

    Habari! Shedy David from Chugastan hapa. Nami nasema hodi Jf. Hivi ni forum gani huwa inakua active sana humu niweke kambi huko?
  20. Arakei

    JamiiForums Tanzania Ni kweli bora kuwa Guest kuliko Member?

    Hodii! Id ni Arakei, nmejikita kwenye Graphics, i.e Graphics Design, Digital Art Painting, Photo Manipulation , Photo Restoration na mambo ka izo... Napenda andika , ziwe idea, maoni, stories nk. Nadhani napenda andika kuliko kuongea. Wengine wanaziita aibu. Nadhani ni introvert. Napenda...
Back
Top Bottom