hodi

The history of the Jews in India reaches back to ancient history. Judaism was one of the first foreign religions to arrive in India in recorded history. Indian Jews are a religious minority in India who have historically lived there with very sparse instances of anti-Semitism from the local non-Jewish majority. The better-established ancient Jewish communities have assimilated many of the local traditions through cultural diffusion. While some Indian Jews state that their ancestors arrived in India during the time of the Ancient Kingdom of Judah, others identify themselves as descendants of Ancient Israel's Ten Lost Tribes who arrived earlier. Some claim descent particularly from Ancient Israel's tribe of Menashe and are referred as the Bnei Menashe. It is estimated that India's Jewish population peaked at around 20,000 in the mid-1940s, and began to rapidly decline due to their emigration to Israel after its creation in 1948.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wafanya ziara nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi la Comoro, ikiwa ni hatua ya awali ya kuanzisha ushirikiano wa kimkakati katika kuboresha huduma za afya visiwani humo, hususan hospitali ya jeshi. Ziara hiyo iliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
  2. Morning Joy Motors

    Hodi JF , Naomba Mtupokee Sisi Morning Joy Motors!

    Tunawasalimu wote kwa pamoja Ndugu Wana Jf , ni matumaini yetu kwamba nyote mko salama na kwa wale ambao wapo kwenye changamoto ni maombi yetu kwa MUNGU kwamba awafanyie wepesi kabisa. Naam mara baada ya salaam hizi naomba tujitambulishe kwenu Kuhusu Sisi ‎ ‎Sisi ni Morning Joy Co., Ltd...
  3. DuaZaMama

    Hodi Arusha Bado tunamsubiri SHOZINIGA?

    Wanasemaga kaskazini hatokagi fala. Sasa huyu jamaa anayejiita Paul Makonda, alitoa ahadi kama anaongea na wanafunzi wa chekechea—ahadi hizo ziko wapi? Kwa sasa yuko zake Morocco kwenye AFCON; no Shoziniga, no Makonda. Happy New Year watu wa Arusha.
  4. P

    Hodi Wana JF, Popobawa Nimefika na naomba mnipokee

    Wakuu mwaka Jana nilikuja kuomba kukaribishwa lakini nilikataliwa kutokana na jina 'popobawa', lakini Leo nasema Popobawa Nimefika na Sina Nia mbaya na members. Nikaribusheni popobawa.
  5. scientificall

    HODI TANGA YA MAZIWA NA ASALI

    Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye ramani ya machimbo nielekezeni nkatembee na kujionea yasemwayo. Nipo tanga mjini
  6. Arya Stark

    Mgeni nipokeeni - Nimejiunga rasmi sababu ya D9 na hotuba ya Samia

    Guys, guys, guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia. Kama kuna kitu natakiwa kukijua basi nifahamisheni. Kunihusu: Jinsia - KE Makazi - Pwani Kazi - Winga Umri - Gen Z Mahusiano...
  7. M

    Nahitaji kufahamishwa vifurushi vya DSTV vilivyo na mechi za UEFA

    Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo Kwa sasa ni bei gani ili niangalime timu yangu ya PSG wiki ijayo?
  8. kyagata

    Ni uzee umepiga hodi au nimerogwa wakuu?

    Za saizi wakurugenzi? Nimesononeka sana usiku wa leo,yani kuna pisi kali nilikua nimeipanga jana ikaingia kwenye mfumo,cha ajabu usiku kucha nimeishia kupiga viwili tu. Ni uzee au ndo nimerogwa?
  9. MI-40

    Hodi hodi Wana JF

    Salaam ,mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30, ni member mpya naomba mnipokee Wana JF.
  10. N

    Msanii chipukizi yupo hodi akijiuguza maumivu baada ya kurekodi audio milioni 1 na video ya milioni 5 halafu kapata views 200

  11. GoLC

    Hodi kwenu mimi "mgeni"

    Habari mabibi na mabwana. Hodi tena humu jukwaani kwa maana mimi sio mgeni humu kiasi hicho. Nimekuja kwa kusudi maalum, nalo ni habari njema hasa kwa ndoa zetu na wanandoa. Hivyo popote utakaponiona na kunisikia ujue kwa asilimia kubwa ni masuala ya ndoa na mahusiano hadi kieleweke. Tunajua...
  12. cutelove

    Hodi Dar, Nani wa kunipokea usiku huu

    Nategemea kufika saa 4 za usiku huu,mwana jf aliyena usafiri naomba unipokee stand ya Magufuli,njoo pm nikupe namba Kama upo serious Asanteni
  13. Ponjoro namba moja

    Hodi hodi wana JF

    Wana JF Mimi Ponjoro Namba moja nipo ukumbini. Nikaribisheni tafadhali
  14. bulajunior

    Hodi Kilimanjaro

    Habari wanajamii forum napenda kushirikiana na nyinyi kitu kimoja hasa watu makini kutoka mkoa wa Kilimanjaro. Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology. Nina safari ya kuja Kilimanjaro kipindi hiki cha likizo kwa ajiri ya kufundisha tuition kwenye masomo haya mawili japo ikitokea uhitaji wa...
  15. LIKUD

    Hodi hodi Mwanza: Zijue sababu za kiroho kwanini Likud anaenda Mwanza tarehe 19 May na kurudi Dar tarehe 23 May

    Nimegundua kwamba Mwanza kuna wanawake wengi Sana, Wazuri na sio Malaya, wasio na alama za weusi katikati ya mapaja. Hawajatumika sana. Na kikubwa zaidi wana " Jasho" Zuri. ( Jasho la mwanamke ni nini katika ulimwengu wa roho? A topic for another day) How did I know that about Mwanzanian women...
  16. Marry Diana

    Hodi humu ndani

    Jamani nawaombeni mnipokee ,nimetokea kuupenda huu mtandao tafadhali mnipokee
  17. T

    Hodi wana JF

    Hey wana jf mi ni mgeni humu jukwaani naombeni mnipokee
  18. makutupora

    Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

    Nina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha. Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia. Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au...
  19. Jackpiano

    Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  20. Mshana Jr

    Hodi humu

Back
Top Bottom