hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

    Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba. Anayemjua vizuri atupe za ndani
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ndio simu 49 zitakazozuiwa kutumia WhatsApp kuanzia 2023

    Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
  3. JamiiForums Tanzania Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

    Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala. Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
  4. JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Godfrey Nyange Kaburu kwanini amekatwa katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa Dhambi hizi Mbili Kisheria angetufaa?

    1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba. 2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakristo tujirekebishe katika hizi nyimbo za maombolezo

    Hainiingii akilini kwa nini wakristo wanaoamini kwamba Yesu ameshinda mauti lakini ikitokea mmoja wetu amefikia mwisho wa uhai wake tunakisujudia kifo badala ya kutangaza ushindi juu ya kifo. Nimekulia kwenye kanisa Katoliki na hizi nyimbo za maombolezo zinanitia kisirani kabisa. Fikiri wimbo...
  6. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango, mvua zinazonyesha zisije kuwasahaulisha utekelezaji wa makubaliano na Wahariri ili kusalimisha uharibifu kwenye Mto Ruaha Mkuu

    Saalamu, Siku chache zilizopita tulishuhudia mjadala makini ulioitishwa na wanahabari huku mgeni rasmi alikiwa makamo wa raisi huko mkoani Iringa. Dhina ya mkutano ule ilikuwa ni kumpatia mh mpango taarifa za kiuchunguzi juu ya chanzo cha mto ruaha mkuu kukauka kwani mpaka siku wanafanya kile...
  7. JamiiForums Tanzania Tafadhali TANAPA angalieni hali ya vyoo vya umma Serengeti na Ngorongoro Crater

    Hichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa na Ngorongoro mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
  8. JamiiForums Tanzania Nasikia Washindi wa Mwaka wa Majukwaa JamiiForums 2022 watapata hizi Zawadi zifuatazo

    1. Gari Mercedes Benz new Model 2. Simu Kali kama anayoitumia Rais wa Marekani Biden 3. Kiwanja atakakochagua Yeye 4. Kwenda Kupumzika na Wanyama Serengeti National Park 5. Ofa ya kwenda kufanya Shopping Dubai ( UAE ) 6. Watatunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

    Habari wakuu. Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya sikukuu. Bila kuwachosha sana, nimeweza ku save jumla ya shilingi milioni 64 hadi sasa, kiasi hiki nimeweza kukisave kuanzia mwezi April mwaka huu kutoka kwenye mshahara wangu. Nipo mkoa wa Dodoma. So far, nimefikiria kuwekeza katika...
  10. JamiiForums Tanzania Taarifa hizi za Mradi wa JNHPP zimefichwa kumlinda nani?

    Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi" Ni sababu zipi zilizosababisha watanzania washindwe kuambiwa Mradi utakamilika lini? Ni sababu zipi zilisosababisha...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Walimu wakuu siku hizi wamekuwa wasimamizi wa Majengo

    Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena! Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru mwili wa aliyefia Polisi ufukuliwe, uchunguzwe

    Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020. Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hizi namba mpya za magari

    Nipo halmashauri moja hapa nchini,nimekuta Kuna Gari Lina kibao chekundu namba za njano.namba zinaanza na ZT XXXX.Naomba kujuzwa maana yake.
  14. JamiiForums Tanzania Hizi pisi za mitaa ya Airport Dodoma ni balaa

    Wakuu kama nilivyo wajuza kuwa nimehamishiwa Karagwe kikazi, nimepitia Dodoma kukamilisha kazi fulani kabla sijaenda kuripoti Karagwe. Leo nimepata hamu ya kutembeza bakora nikapewa chimbo moja mitaa ya Airport, aisee kuna mademu wakali sana, bei ni 5000 vichakani, nikaona sio kesi nikachagua...
  15. JamiiForums Tanzania Tabiri nani atashinda katika nafasi hizi baada ya ya Kombe la Dunia kuisha hii leo?

    Mwana Jamii Sport ikiwa tunaelekea Mwishoni kabisa Mwa Mashindano Makubwaaa Duniani ambayo yamefanyika pale Qatar kwa Ma-Sheikh upi utaburi wako katika Nafasi hizi? 1. Mfungaji Bora Hadi saa hizi 2. Goli kipa Bora 3. Kinda Bora Wa Mashindano 4. Top Assistman 5. Mchezji Bora wa Mashindano...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hizi sadaka ambazo wahubiri wakristo wanazipigia debe mpaka mapovu yanawatoka ni kwa sababu zinaingia mifukoni mwao?

    Huwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kama na wewe unataka kuujaza Uwanja wa Mkapa, kuaminika na kuabudiwa na wengi tembelea nchi hizi

    Nenda nchini Msumbiji hasa ile miji yenye madini mengi kisha mtafute Mganga wa hapo atakupika vyema Nyota na Utaujaza Mkapa Stadium. au nenda nchini Congo DR mtafute Msanii Kofi Olomide au Mwanafunzi wake kimuziki Fally Ipupa kisha waombe wakukutanishe na Waganga wao Hatari na Nyota yako...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
  19. JamiiForums Tanzania Sera ya Acha Ball litembee na vijana wa siku hizi

    Acha bollo litembe anasema coach wa Simba. Ustaadhi Juma Mgunda. Vijana wamechuku huo msemo kwa sasa wanatembeza balls zao sana kwenyw mahusiano. Wasione kuna upenyo wanapitisha Ball. Wasione kuna uwazi wanataka ku score. Mi nadhani kuna haja ya kujitathmini. Si kwamba kwa kuwa miguu basi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Zama hizi ni sahihi kwa mkaka kumuoa binti bila kumuonja?

    Kungwi mie leo niko katika mtanziko mkubwa. Nimepata mteja jana alikuja kupata ushauri wa masuala ya mahusiano na ndoa. Kuna mkaka ana mdada ambaye anamhudumia kwa mwaka wa pili sasa kwa lengo la kuoana. Lkn dada huyu mwenye miaka 24 tu amegoma katakata "kutoa mchezo" mpk ndoa. Hataki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…