hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wanaume siku hizi tumekuwa kama Jogoo

    Wasaalam. Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi. Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza. Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo. Nawasilisha.
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa kamili kwa wateja. Hardware Store: Hii ni biashara ambayo inajihusisha na kuuza vifaa vya ujenzi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaofahamu: Hizi scale za walimu katika mashirika ya umma PSTS zikoje.

    Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa mwezi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaofahamu: Hizi scale za walimu katika mashirika ya umma PSTS zikoje

    Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS. Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Jezi hizi za Simba SC hazina mshindani

    Watu wengi huangalia rangi na vitu vingine... Mimi binafsi napenda jezi iwe na Collar tu na isiwe na marangi rangi sana. Rangi moja yenye collar kwangu huwa jezi isiyo na mshindani. Simba hatimae wametoa jezi kama walikuwa kichwani kwangu.
  6. JamiiForums Tanzania Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

    Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi ni ibada ambazo Mkristo mnazishiriki halafu mnalalamika mambo yenu yamefungwa

    Ibada ni utamaduni wa kiroho kati yako na kile unachokiabudu kwa kujua au kwa kutokujua. Mungu wa Wakristo aitwaye Jehova amekataza watu wake wasifanye ibada zisizompendeza ambazo hizo kwake ni ibada za kishetani. Jehova aliye Mungu Mkuu kati ya miungu wote, amekataza Watu wake wasishiriki...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiwa na sifa hizi wewe ni mjivuni , unaringa, na unajiona bora kuliko wengine

    20 WAYS TO KNOW WHEN YOU ARE ARROGANT Arrogance destroys glory, it is more deadly than cancer. One might be arrogant without even knowing, that is why there's need to read through this points carefully and observe areas that needs to be worked upon for positive change: 1. When you cannot...
  9. JamiiForums Tanzania Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

    Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye. Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi hapa benki kubwa/bora duniani, Afrika bado changamoto. Tatizo ni nini?

    LIST OF LARGEST BANKS The following are lists of the largest banks in the world, as measured by total assests By total assets Industrial and Commercial Bank of China China Construction Bank Agricultural Bank of China Bank of China JPMorgan Chase Mitsubishi UFJ Financial Group Bank of...
  11. JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha: Kama huna sifa hizi sahau kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa kiongozi hapa Tanzania

    Ndugu mtanzania mwenzangu, Wewe unayetamani siku moja kuwa kiongozi wa taifa hili kwa kuteuliwa au kuchaguliwa ni vyema ukafahamu siri hizi ili kama hauna sifa hizi uanze kujipanga mapema. Zipo sifa ambazo ukiwa nazo ndipo utaweza kuwa kiongozi wa taifa hili. Na hizi zinatumika katika mataifa...
  12. JamiiForums Tanzania Msiohudhuria hizi party msije kwenda. Hii ni premium party ya Jumamosi week juzi

    Humu ni ushetani tu hakuna kingine.Sitarudia kabisa kuingia
  13. JamiiForums Tanzania Kwani Siku Hizi Hatuli?, Mbona Paka Kalala Jikoni?

    Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Udini, Ukanda na sasa Utanganyika na Uzanzibari; hizi mbegu zisipopigwa marufuku kwa vitendo hatutobaki wamoja

    Mwenyenzi Mungu alipotupa rasilimali alitupa pia mtu wakutupatia uhuru; mtu huyo alipopewa mamlaka yakutuongoza alipewa pia mbinu sahihi za kutuleteta pamoja. Mbinu hizi zilipitwa tunu na zilipandwa kwenye nafsi za watanzania . Baadhi ya mambo yaliyotuleta pamoja yalikuwa. 1. Lugha- pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kesi hizi Watanganyika tujiandae kuwa ombaomba

    Nchi inakoelekea ni dhahiri imekula kwetu. Kwa hali hii, ni hatuna sababu yakuidikiliza CCM kwenye mkataba wa DP World.
  16. JamiiForums Tanzania Kwenu mliowahi kuogeshana kwa hizi scrub, tupeni uzoefu wenu nasi tuweze kunogesha mapenzi.

    mliowahi kuitumia kwa kuogeshana mtupe uzoefu hapa zinaongeza ashki ? zina maajabu yapi mengine ? na
  17. JamiiForums Tanzania Je wajua Nyimbo za taifa za nchi hizi, hazina maneno?

    Spain, San Marino, Kosovo, na Bosnia and Herzegovina. Watakuja mbumbumbu na kuanza kusema chai
  18. JamiiForums Tanzania Acheni kupotosha watu. Hakuna mwana CCM aliyehongwa, CCM inauwezo wa kununua hizi pikipiki

    Mnapotosha kila mahala. Kisa tu mnaona picha ya Rais Samia.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Fedha za kununulia kanga, vitenge na pikipiki za CCM pamoja na kufanya mikutano zimetoka ndani ya Chama au ni za Serikali?

    Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo. Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini...
  20. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa sasa hawakupi msaada mpaka alale na wewe kwanza

    Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani. Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week. Akaniambia sawa niende nikachukue kwake Mbezi jana jioni. Nimeenda tukapiga stories na kupata msosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…