hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Hizi kampuni za kukopeshana online credit companies bado hazijafungwa zote zipo zimebaki na zinasumbua binadamu

    Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
  2. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hizi Terms and conditions za UTT AMIS naziona kama kandamizi, msaada kwa anae elewa zaidi anifafanulie

    Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS. Katika harakati za kutafuta maarifa kuhusu UTT AMIS nikaperuzi kwa site zao niweze ona pia vigezo na masharti walivyoweka...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

    Habarini, Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi. Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata mwanamke hata mmoja wa kukuvulia nguo, labda ununue wadada wanaojiuza barabarani. Cha ajabu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

    Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:- 1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani? 2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu 5 zitakazopelekea rais Samia kuukosa urais 2025 hizi hapa…

    1. Mkataba wa DP World. 2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro. 3. Utekaji na mauaji. 4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama. 5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
  8. Trainee

    JamiiForums Tanzania Tigo na Vodacom achaneni na tabia hizi or otherwise mtoe posho kwa wateja wenu

    Unawapa taarifa ya mtandao kusuasua wanalazimisha kukuelekeza settings za simu usipokuwa makini wanajidai wameshasolve tatizo na wanakukatia simu Kwa yule ambaye yupo makini anawabananisha wanakosa hoja basi wanaanza kuuliza maswali kibao yasiyo na kichwa. Eti mteja anaulizwa kama tatizo hilo...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hesabu za Yanga kwenda robo fainali ni hizi hapa, nje ya hapo hatoboi

    Yanga kabakiza mechi 4. Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani. Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini. Anatakiwa kupata sare mechi 1. Akiwa na point 10 anaenda robo fainali. Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo. Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

    Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
  11. Joannah

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

    Morning, Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga? Unaenda nazo kupika, kufua, kuosha vyombo? Mpaka chooni? Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika...
  12. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Kama hizi ndio sababu za Tanzania kujitoa kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika (AfCHPR), basi tuna tatizo sana la Utawala Bora

    Tanzania ilijitoa rasmi kwenye Mkataba wa Kukubali Mamlaka ya Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika (AfCHPR) mnamo Novemba 2020. Sababu kuu zilizotajwa ni pamoja na: 1. Matumizi Mabaya ya Haki za Kisheria: Serikali ya Tanzania ilidai kuwa baadhi ya watu binafsi na mashirika walikuwa...
  13. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

    Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii. Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya...
  14. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu uko wapi siku hizi? Ni nini kimekupata mpigania haki?

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa. Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana...
  15. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa perfume za Tom Ford. Ipi ni the best kati ya hizi?

    1. Black orchid 2. Ombre leather 3. Oud wood Leta opinions, Ipi ni the best kwa experience yako.
  16. Dilan

    JamiiForums Tanzania Ndoto hizi zina maana gani?

    Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu.
  17. Mchafuu

    JamiiForums Tanzania Umekuwa ukisumbuliwa sana na mahusiano basi fata sheria hizi sheria ya 5 itakushangaza

    DATING RULE 01. Usimpe au kumfanyia mwanamke wako mambo makubwa ambayo hauwezi kumfanyia maisha yake yote au ku maintain moja kwa moja. Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako utakayoweza kufanya hata ukimuoa. DATING RULE NUMBER 02. Mchumba akikukubali na akawa anakupenda kweli, kazi yake ni...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nieleweshwe hizi zawadi za Jackpot zinavyotolewa

    Kuna jambo limekuwa linanitatiza muda mrefu. Embu wadau nielewesheni. Mfano jackpot ya Sportpesa inasema jackpot ni 1.2B, ila kuna zawadi kwa kupata mechi 16/17 hadi 12/17 na zawadi zinatajwa. Cha kushangaza, ukija kuangalia matokeo na zawadi zilizotolewa ni kiduchu sana kulinganisha na ile...
  19. TANESCO

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  20. BigBro

    JamiiForums Tanzania Hizi taa za kumulika barabara za Morogoro nini shida?

    Moja kwa moja kwenye mada: Kuanzia Kimara Stop Over zimewekwa taa za sola za kumulika barabara kwenye vituo vya daladala hadi Kilvya Madukani na pale Kibamba Shule zimeenda hadi barabara ya Kibwegere kifikia Kona Bar, lakini mbona zinang'oka sana? Kama mfuatiliaji, angalia zile zaa za juu...
Back
Top Bottom