Pesa ni ukafiri ndani ya dini hizi mnazo

Pesa ni ukafiri ndani ya dini hizi mnazo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,374
Leo nimefikiria kwa nini diamond kawa msimamizi wa harusi ya jux.
Mi sijawai kuona anayekusimamia harusi hajaoa.

Dini hipo kwa maskini tu.
 
Dini na madhehebu ni biashara za watu , Mungu hana dini wala dhehebu ana imani tuu
 
Chukua chuma hikoo...Ile sio ndoa ni mkataba wa kibiashara
 
Back
Top Bottom