Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi.
Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana kwani wengi ndio huingiza pesa kupitia platforms hizi.
Mtandao wa FACEBOOK na YOUTUBE hazifanyi kazi...
Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani
Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni nazo mbali.
Sehemu nilipo kumeanza mgao wa umeme, Siku ya jana (Jumanne) nikaingia Facebook...
Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
Kwenda kununua madini Congo - Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi, watu wengi maeneo hayo ni masikini kwa sababu hawana njia bora za kuuza au kusindika madini hayo. Mara nyingi huuza kwa bei ya chini sana kwasababu ya ukosefu wa miundombinu, soko na amani. kwenda utaenda vizuri tu lakini kutoka ni...
A KANGAROO court is an informal term for a legal proceeding that disregards recognized standards of law or justice, often characterized by unfairness and a predetermined outcome. It implies a biased or illegitimate tribunal where the rights of the accused are not respected, and the proceedings...
Wakuu,
Hivi ni lini sasa wanasiasa wa Kibongo watafahamu kwamba hizi drama zao tunazijua na kwamba zimeshapitwa na wakati
Mimi binafsi sijawahi kuona nchi zilizoendelea kama Marekani mwanasiasa anabebwa kama hivi. Kwanini hizi drama za wanasiasa kutaka kuonekana wanapendwa zinakuwa huku kwa...
NGUVU NA UWEZO WA AJABU WA ADAMU
Adamu, akiwa kiumbe wa kwanza kabisa kuumbwa na Mungu, alipewa mamlaka makubwa na uwezo wa kipekee juu ya viumbe wote wa duniani. Tofauti na wanadamu wa leo, Adamu hakuwa na hofu wala upungufu wa nguvu. Biblia inasema:
“Kisha Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa...
WANAOPENDA SANA MAHABA
Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi
Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
Tips za ujenzi
Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary
1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana)
2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30
3.Weka treatment nzuri ya waterproof kati ya bati na ukuta
4.Gata ya zege ya kukusanyia maji iwe treated na waterproof na iwe pana...
Wasioamini kwamba Yesu alikufa msalabani kwa ajili yetu, wanakosa baraka nyingi ambazo Mungu ametupatia kupitia mateso, kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo. Zifuatazo ni baadhi ya baraka hizo kuu:
1. WOKOVU WA ROHO ZETU
Biblia inasema wazi:
"Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe...
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
Siku hizi kuna dhambi nyingi zilizopachikwa majina mazuri au ya kisasa. Kwanini? Hii ni hila ya shetani ya kuzipunguzia uzito au kuzipa uhalali katika jamii. Kwa njia hiyo shetani anawafanya watu waone kuwa dhambi ni kitu cha kawaida, cha kuvutia, au cha kupendeza na hivyo wanavutwa kutenda...
NUKUU ZA LEO
A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela.
😎. "Uhalali wa kiongozi haupimwi kwa nguvu ya silaha bali kwa nguvu ya hoja na uwezo wa kuwaunganisha anaowaongoza" Mahatma Ghandhi.
C). "Uhaini si kuzuia...
Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina
Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
Jana Waziri wa Viwanda na Biashara ametunga amri inayozuia wageni kutoka mataifa ya kigeni kufanya baadhi ya biashara kama zilivyoainishwa kwenye amri hiyo. Amri hiyo imetungwa kupitia kifungu Cha 14A(2) Cha Sheria ya Leseni za Biashara yaani Business Licencing (Prohibition of Business...
Kuna hizi video zina trend Sana mitandaoni zimetengenzwa kwa AI me sio mtalaam Sana wa mambo ya computer ila Niko interested kujua hizi Sura za watu ni kwamba kweli ni Sura za watu zipo kiuhalisia au wame generate automatically kabisa na kwamba katika ulimwengu huu hazipo
Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.