Aiseeh!
1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua.
2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake aliyevunjwa miguu.
3. Video inamuonyesha Jovin akipokelewa huko kwao Arusha kama sijakosea.
4...
Merry Christmas to all good people. Kama unaona hii salamu haikuhusu, basi sio mbaya. Mimi sina hiyana.
Salaam Alaikum. Hii salamu ukiondoa lugha, kimuktadha haina mipaka. Ni kwa vile tu imenasibishwa na uislam. Hata hivyo wapo wakristo katika hizo nchi za kiarabu wanaitumia salamu hii...
WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure.
2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia.
3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
Nchi imeshabadilika baada ya maelfu ya mauaji ya Watanzania kufanyika bila hatia, hivyo wananchi wamejaa na chuki, hasira, visasi, sumu n.k dhidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia.
Watanzania hawa wapo ndani na nje ya nchi hivyo chochote kinaweza kutokea Sasa kulingana na haya...
Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu
Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana
Sisi wengine hakuna kinachotuhusu hivyo ni vyema tukachunga ndimi zetu. Mwenye jukumu la kutekeleza matakwa yao ni serikali...
Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno.
Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.