historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Historia ya Saida Karoli

    WASIFU WA SAIDA KAROLI Jina Kamili: Saida Karoli Tarehe ya Kuzaliwa: 4 Aprili 1976 Mahali alikozaliwa: Kijiji cha Rwongwe, Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoa wa Kagera, Tanzania Lugha: Kihaya, Kiswahili, Kiingereza (kidogo) --- MAISHI YA AWALI NA ASILI YA KIPAJI Saida Karoli alizaliwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Historia ya Rais Ibrahim Traoré na Jinsi Anavyopendwa na Vijana Wengi wa Afrika.

    Katika zama hizi za mabadiliko makubwa duniani, bara la Afrika linashuhudia kuibuka kwa viongozi vijana wanaojaribu kuvunja minyororo ya ukoloni mamboleo na kuchochea ari ya kizalendo. Miongoni mwa sura zinazong'aa zaidi ni Kapteni Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso. Kupitia uongozi wake wa...
  3. JamiiForums Tanzania Me too ya Harmonize na Abby Chams: Moja ya nyimbo kali kuwahi kutengenezwa kwenye historia ya Muziki wa Tanzania.

    https://youtu.be/qCOsfkUKMfI?si=bMgpLjfzFdFBAqSx
  4. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Historia ya Idd Amini Dada kuua watu na kuwatupa mto Kagera

    Kwa kizazi cha sasa hakiwezi kuijuia hii historia, wala haisimuliwi tena, nakumbuka tulikuwa tunavisoma vile vitabu tukiwa bado wadogo na kuona jinsi gani huyu mtu alivyokuwa mnyama. Nakumbuka Askari wakiwa wanawapiga watu huku wamewafunga kamba mikono, wengine wakiwalenga shabaha na mambo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya mpira wa miguu

    Historia ya Mpira wa Soka (Football) Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi kubuniwa kwa sheria za kisasa. kwa mujibu wa Kitabu cha Historia ya MichezoGoldblatt, David (2006)...
  6. JamiiForums Tanzania Bollywood yawachonganisha waislamu na mabaniani huko India.Wanataka kuifuta historia iliyoandikwa na waislamu iliyoiletea maendeleo taifa hilo

    Dini ya uislamu katika usasa wake iliingia bara hindi punde tu baada ya utume wa Muhammad saw.Hiyo ilikuwa ni karne ya 7.Baada ya hapo wakaingia waislamu kwa makundi kutokana na sababu mbali mbali. Waislamu walivutiwa mno na tamaduni za watu wa eneo hilo kuanzia dini zao na aina ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    1. Asili ya Pasaka ya Kiebrania (Passover) Pasaka halisi, inayojulikana kama Pasaka ya Kiebrania (Hebrew Passover), ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Musa katika Agano la Kale. Inatajwa kwa mara ya kwanza katika Kitabu cha Kutoka 12, ambapo Mungu aliwaagiza Waisraeli kuchinja mwana-kondoo...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya mpira wa miguu

    Historia ya Mpira wa Soka (Football) Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi kubuniwa kwa sheria za kisasa. 1. Asili ya Soka: Asili ya soka inatokana na michezo ya zamani kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania Historia ya NEEMA (Safari yako inaendelea)

    Kuna historia ndani yako inayoshuhudia kuwa hata katika giza zito, nuru iliwahi kuchomoza. Pengine sasa umechoka, Mwili umelemewa, moyo umevunjika, na ndoto zako zinaonekana kwa mbali kwenye upeo wa macho yako. Lakini historia yako haijaisha bado. Historia yako inajua kusimama tena, kusamehe...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro, hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
  11. JamiiForums Tanzania Katika mstari wa leo, Maisha yakiwa ndoto ya kudra na historia, je, ni nani atauvunja ukuta ili tuweze kuona mbele?

    Bila shaka wote mko vizuri wakuu… Okay, kuna watu husema wako na full control ya maisha yao lakini in reality hakuna mtu ambae ako na full control ya maisha yake kwa maana maisha yamegawanyika katika mafungu manne, na kwenye hayo mafungu manne ni fungu moja tu ndio ambalo mtu anaweza...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila kujali chama au cheo tofauti na Nyerere ni kiongozi gani nchini ana ueledi, unyenyekevu, uwajibikaji na utekelezaji?

    Bila kujal chama au rank, tofauti na nyerere ni kiongozi gan katika historia ya taifa letu anatik box za ueled, unyenyekevu, uwajibikaj na utekelezaji Moja ya kitu cha kishujaa niliwahi kuona ni pale Nyerere alipo admit makosa yako katika hii interview aliyofanya tena akihojiwa na mtu alie...
  13. JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Historia ya Karume

    https://youtu.be/XIa2ltkf0u4?si=HWHNYLJcPJFEI439
  14. JamiiForums Tanzania KARUME Day: Historia ya Karume na Mapinduzi

    https://www.youtube.com/live/tgpm1rOJpeM?si=voIwGe_Sw_H7wvmh
  15. JamiiForums Tanzania G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Historia Kupitia Maneno ya Kawaida

    Ushahidi wa Historia Kupitia Maneno ya Kawaida Maneno tunayoyatumia kila siku yanaweza kutufundisha mengi kuhusu historia. Mfano mzuri ni neno "algorithm," ambalo linatokana na jina la mwanasayansi wa Kipersia wa karne ya 9, al-Khwarizmi. Hapa chini ni hadithi za kuvutia nyuma ya baadhi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde

    Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde. Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi upasuaji wa ubongo kwa kutumia teknolojia ya akili unde ‘Brain Lab- Neuro Navigation System’ ambayo husaidia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Historia: Je, wajua historia ya taifa la Thamud? kwanini watu wa mji huu waliangamizwa na Mungu?

    Amani itawale. Watu wa taifa la Thamud walipata kuishi katika nchi/mji uliofahamika kama Al-Hijr kaskazini magharibi mwa taifa la Saudi Arabia hivi leo. Ni watu waliokuwa na nguvu sana na utimaku wa viwiliwili ,walikuwa na maarifa mengi ya ujenzi kiasi kwamba majumba yao waliyajenga kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Magomeni na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/DrvRASg0n_M?si=-WYJZqPRWbtkwjmU
  20. JamiiForums Tanzania Historia ya taifa la Israel

    1. Utangulizi Historia ya taifa la Israeli ni ya kipekee, ikiwa na mchanganyiko wa imani, vita, uhamisho, na marejeo ya kiroho. Waisrael, watu wa Mungu, walikulia katika mazingira ya kihistoria ya Mashariki ya Kati, na hadithi yao inaanza na hadithi ya uumbaji na mkataba wa Mungu na baba zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…