Je, umewahi kusikia kuhusu kijana aliyekuwa na ndoto ya kutawala dunia na akaifanya iwe kweli
Hii si hadithi ya kubuni, bali ni historia halisi ya Alexander the Great, mfalme kijana aliyetikisa dunia yote kabla hata hajafikisha miaka 33. Kutoka Macedonia hadi Egypt hadi India, alishinda vita...