hisa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi zoezi la ununuzi wa Hisa linavyofanyikaa

    Mwekezaji anayetaka kununua hisa atafuata taratibu zifuatazo: a) Kuwasiliana na dalali wa soko la hisa na kumweleza kusudio lako la kununua hisa b)Kujaza fomu maalum za kununua hisa na kulipia hisa unazotaka kununua c) Dalali ataweka fedha kwenye akaunti maalum ya benki kwa ajili ya kununua...
  2. J

    JamiiForums Tanzania UCHUMI: Hisa ni nini?

    Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 100,000 mwekezaji huyu anamiliki 10% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki kampuni. Stahili...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya soko la hisa na sababu za kupanda na kushuka kwa bei za hisa

    Hisa zikishatolewa na makampuni ya umma haziwezi kurudishwa mpaka kampuni itakapofilisika. Lakini hisa zinaweza kuhamishwa kutoka mmiliki mmoja kwenda kwa mmiliki mwingine. Hivyo kama mtu anayemiliki hisa atahitaji kubadilisha hisa zake kuwa pesa hatoiomba kampuni kumfanyia hivyo bali atatafuta...
  4. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Marekani litufumbue kitu Waafrika

    Soko la Hisa la Marekani na baadhi ya nchi zilizoendelea yako very flexible kiasi ambacho kampuni kushuka au kuongezeka net worth ndani ya masaa ni jambo la kawaida sana. Chukulia mfano Corona ilivyoweza kufanya makampuni kama zoom kuinuka kwa kasi na hisa zake kupanda chati kwa kasi, au hivi...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Hisa za CRDB zimeanza kupanda bei kama mwaka jana (2020)

    Habari wana JF @ Soko la hisa, UTT AMIS na Hatifungani CRDB Bank PLC ni kampuni mojawapo iliyoorodheshwa hisa zake katika soko la hisa la DSE. Hisa za CRDB zimekuwa zikifanya vizuri katika soko la hisa la DSE kwa urahisi wa kuuza au kununua, mabadiliko ya bei na kutoa gawio wa wanahisa wake...
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya Iphone yawa mabaya, hisa za Apple zimeshuka sababu ya mauzo dhaifu

    Mauzo ya Iphone yamekua madogo kuliko matarajio ya kampuni ya Apple kupelekea hisa za kampuni kushuka kinyume na matarajio Apple. https://mobile.reuters.com/article/amp/idUSKBN27E3FP?__twitter_impression=true
  7. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na Mifuko ya UTT

    Habari za kutwa wana JF. Matumaini yangu wote mu wazima na mnaendelea vizuri kwa ujumla. Kwa muda mrefu nilikuwa nafatilia juu ya uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na mifuko (DSE) ya UTT ila bado sijaelewa mambo yanaendaje na nilitamani sana kuwekeza katika maeneo hayo nikaona...
  8. IAfrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania, Rwanda na Uganda zaunda soko moja la hisa

    Nyakati zabadilika kweli. Tanzania Uganda, na Rwanda zimeungana kuunda soko moja la hisa. Tumetoka siku za COW hivi sasa nchi za Africa mashariki zinaendelea kuitenga Kenya. Kenya imepoteza deals kadha za ukanda huu kwa mda wa hivi karibuni but we still hold strong. Haya yote yanafanyika bila...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu au mtu ana hisa katika kiwanda cha kutengeneza ndege au kuna manufaa fulani ya kibinafsi wanayapata?

    Inafika hatua naanza kujiuliza hivi kwasababu sioni ni kitu gani au ni faida gani inayopatikana kiasi cha kushawishi watu hawa kuendelea kununua hizi ndege. Unawezaje kuendelea kuwekeza hela nyingi katika biashaara ambayo inakutia hasara au huoni faida yake? Nawaza sana juu ya hili
  10. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mo mwenye hisa 49% Simba atoe bilion 20 na wengine wenye hisa 51% hawatoi hela yeyote

    Swali kwa wana Simba na wengineo: Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%. Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama wengine wamiliki wa 51% hawaulizwi bilion 22 wao wanaziweka lini? Naona kama mo ananyonywa vile...
  11. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa toeni elimu Kuepusha kama mambo ya Desi na Mr. Kuku

    Najaribu kujiwekea Akiba ya hivi visenti vyangu kwa kuangalia tofauti ya taasisi mbali mbali. Kitu kinachonishangaza ni kwamba utaratibu wa mamlaka kutoa elimu ya kwenye haya masoko ya hisa imekuwa mgumu binafsi nimekwenda zaidi ya mara kadhaa DSE na UTT ila kiukweli sijaelewa chochote mbaya...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania JATU PLC ipo kwenye soko la hisa?

    Huyu JATU anajiita JATU PLC, Public Limited Company maana yake yuko kajiorodhesha kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Sina hakika kama yuko kwenye soko la hisa ila ninacho jua ni aina ya upigaji anao ufanya. Nashangaa mamlaka husika zimelala, haiwezekani ujiite PLC then uendeshe mambo gizani...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Marekani kuondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko yake ya hisa kwa kukiuka masharti ya CAG wa Marekani

    Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kuiwekea mbinyo China, sasa Marekani inatarajia kuziondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko ya hisa ya Marekani kwa kutofuata kanuni za ukaguzi wa Marekani. Kanuni za ukaguzi wa Marekani zinataka kila kampuni inayouza hisa zake Marekani ikaguliwe...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hisa Tanzania, faida inapatikana?

    Nimeshawishiwa ni wekeze kwenye hisa, naambiwa hii ndio future. Wale mliowekeza huko, future mmeisha iona? Je, ni mahala sahihi kuwekeza?
  15. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wale wenye hisa Tol Gas hivi mmeona gawio?

    Hii kampuni ya Tanzania oxygen Tol Gas hakika imekua pasua kichwa kwa wanahisa wake. Ndio ya kwanza kuingia soko la hisa Dar es salaam ila hawajawahi kutoa gawio tangu wameingia soko la hisa hadi jpm juzi alipoanza kukaba mashirika na kampuni zenye hisa za serikali kutoa gawio ndio wametoa...
  16. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwa zaidi ya miaka 20 haijawai kutokea soko la hisa la Dar (DSE) kushindwa kufanya biashara ya hisa kama ilivyotokea tarehe 5, hakuna kuuza wala kunun

    It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
  17. OLS

    JamiiForums Tanzania Unajua maana ya kushuka kwa bei za hisa?

    Kutokana na Covid19 makampuni mengi yametangazwa bei zake kushuka kwa kasi, hasa nchi zilizoendelea. Kushuka kwa hisa mambo kadhaa kwa wanunuzi wa hisa, lakini pia huashiria kitu kwa kampuni husika ambayo hisa zake zimeshuka Hisa zikishuka bei huwa, watu hawana hela ya kununua hisa, hela huwa...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Imefika wakati watu tujikite kwenye biashara ya kununua HISA

    1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hisa zikiuzwa soko la hisa Nani huwa anahakiki kuhakikisha pesa zinaingia akaunti za wateja waliouza hisa kwa wakati?

    hivi hisa Mfano mtu umeuza Nani huwa anahakiki kuwa hisa za Fulani zimeuzwa Leo na kuhakiki kuwa hizo pesa zinaingia kwenye akaunti ya mhusika kwa wakati? Na gawio la wanahisa likitoka nani anayehakiki kuwa Hilo gawio linaenda kwa wahusika kwa wakati? Moderators msiipeleke hii habari jukwaa...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania iruhusu Watanzania kumiliki utajiri wa dunia kwa kuruhusu ununuzi na uuzaji hisa masoko makubwa ya hisa duniani

    Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia huzalishwa kwenye hayo masoko Pia Kuwezesha nchi kuwa na pesa nyingi za kigeni badala tu ya kutegemea mauzo...
Back
Top Bottom