JATU PLC ipo kwenye soko la hisa?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
504
1,000
Huyu JATU anajiita JATU PLC, Public Limited Company maana yake yuko kajiorodhesha kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Sina hakika kama yuko kwenye soko la hisa ila ninacho jua ni aina ya upigaji anao ufanya.

Nashangaa mamlaka husika zimelala, haiwezekani ujiite PLC then uendeshe mambo gizani.

PLC maana take hata mahesabu inatakiwa fedha ya mwaka yawekwe wazi kila mtu ayaone.

Mnaolimiwa na JATU PLC sijui kama mnalijua hili
 
M2WAWA2

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
885
1,000
Unajua soko la wenye kiu ya kutapeliwa ni kubwa. Utapeli wa aina na aina hautakaa ukaisha kama wenye nyota ya kutapeliwa wapo!! HAKUNA MTU WA KUKUZALISHIA FEDHA. amka wewe KENGE!!
 
TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
801
1,000
Acha basi roho mbaya mwanaaaa, wateja wa kuwatapeli wapo wengi, sasa yanini tualibianee, na few tafuta wajinga wengine maisha yaendee
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,947
2,000
Tayari kuna notice ya kususpend mauzo ya hisa zao.
Kasome ipo kwenye website ya DSE.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Mar 25, 2018
2,498
2,000
Dah jana kuna dada, kaenda kununua hisa za laki tatu, namjua juu juu, nimemuhoji inakuaje iyo jatu, blah blah nyingi.
Duh kwaiyo wameshamkamua?
Mpe hii asome

Screenshot_2021_0609_214553.jpg
 
KingOligarchy

Member
Sep 28, 2013
84
150
Hapa kuna ukosefu wa taarifa unaosababisha Upotoshaji wa Mambo

NOTICE OF SUSPENSION
Kampuni ya JATU imekuwa suspended kwenye soko la hisa kwababu inafanya IPO kwa mara ya kwanza.
Kampuni ya JATU ilikuwa ipo Listed na inatoa audited financial statements zote
Kampuni ya JATU imeingia kwenye kipindi cha IPO sasa hivi.
Kuna mwandishi amesema JATU ni kampuni ya UTAPELi, je ametapeliwa nini? au utapeli uko wapi? Tuache habari za kupotosha UMMA kwenye mambo usiyo na ufahamu nayo. leta Hoja ya msingi mezani na sio UMBEYA

PFA : JATU PROSPECTUS , JATU FINANCIALS FOR 3 YEARS
 
Attachments

 • File size
  14.9 MB
  Views
  22
 • File size
  1.9 MB
  Views
  11
 • File size
  501.5 KB
  Views
  7
 • File size
  894.5 KB
  Views
  12
 • File size
  14.9 MB
  Views
  9

ba4

Member
May 20, 2021
55
125
Kuhusu JATU PLC.

Je wapo au wanatambulika kwenye solo la hisa la Dar es Salaam au Dar es Salaam Stock of Exchange (DSE)

Please ningependa kutambua jinsi wanavyo operate na namna atakavyopata faida.
 
Kijitonyama

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
249
250
Hapa kuna ukosefu wa taarifa unaosababisha Upotoshaji wa Mambo

NOTICE OF SUSPENSION
Kampuni ya JATU imekuwa suspended kwenye soko la hisa kwababu inafanya IPO kwa mara ya kwanza.
Kampuni ya JATU ilikuwa ipo Listed na inatoa audited financial statements zote
Kampuni ya JATU imeingia kwenye kipindi cha IPO sasa hivi.
Kuna mwandishi amesema JATU ni kampuni ya UTAPELi, je ametapeliwa nini? au utapeli uko wapi? Tuache habari za kupotosha UMMA kwenye mambo usiyo na ufahamu nayo. leta Hoja ya msingi mezani na sio UMBEYA

PFA : JATU PROSPECTUS , JATU FINANCIALS FOR 3 YEARS
Ebu tuangalie mtu aliyelima hekari moja mwaka jana na mwaka huu anapata nini (kama atakipata)

Gharama za kulima shs. 904,200
Kati ya hizi, wanakukopa 2/3 =shs. 602,800
Wewe unlike shs 301, 399

Mwaka huu wamesema wamevuna gunia 22 kwa ekari.

Kwa hiyo:
Wao wananunua gunia moja kwa shs. 56,000

22 x 56,000 =shs. 1,232,000 (Hii ndio pesa wanayokwambia ni faida) kwenye vikaratasi.

Hawakwambii yafuatayo.

Tax 2% of 1,232,000=24,640
Kuna gawiwo (hili ni kichaa tu ndo anaweza kulielewa) shs. 3000 kila gunia =3000 x 22 =66,000
Mkopo wao 2/3 =602,800
Eti mwaka huu kulikuwa na ongezeko la shs. 53,000 kwenye gharama za kilimo.

Kukodisha ekari moja ni shs. 100000

Jumla ya makato yote haya ni shs. 846,440

Chukua sasa faida yako shs. 1,232,000-shs. 846,440 =shs. 385,560

laki 385,560 ndo hela utakayopata baada ya kusubiri mwaka mmoja.
Sasa hii laki tatu kuja kuipata! Unaweza kusubiri hata miezi mitatukabla hawajakupa, kupokea simu yako nk.

Sasa jiulize. Wewe ungejilimia mwenyewe muda wa mwaka mzima ungekuwa wapi?

Ukiongeza usumbufu wao? By the way, katika huo muda, wanakulazimisha kununua kilo 100 za chakula. Hiyo inapunguza sana balance yako ya laki 3.

Sasa hii ndio Jenga Afya Tokomeza Umaskini??

Au "lima na sisi ondoa stress"?

Pima mwenyewe na chukua hatua! Kama kuna mtu wa Jatu anayepinga hizi data aje hapa aseme. Maana huko nyuma nimeona mnaleta karatasi.
 
tony92

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
1,151

Hawa jatu ni janja janja sana

Kuna kadada kanafanya kazi hapo kalinishawishi nijiunge nao nikampiga maswali akaishia mitini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom