hisa

  1. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Hisa za TCC and TBL😡

    Kwa wanunuaji na wauzaji wa hisa; nielewesheni hisa za TCC and TBL zimelalaje for almost 2 years now when watu pombe na sigara Km kawa tu? Kuna nn hapo?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania matajiri wakubwa katika soko la hisa la Dar es Salaam

    Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo. https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
  3. hery_edson

    JamiiForums Tanzania List ya Matajiri 10 katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) mpaka Juni 26, 2023

    Ifuatayo ni list ya matajiri 10 katika soko la hisa la dar es salaam (DSE) mpka kufikia siku ya tarehe 26-06-2023, kama ilivyoandikwa na THE BUSINESS WIZ siku ya tarehe 30-06-2023. The 10 richest Tanzanians on the Dar es Salaam Stock Exchange Patrick Schegg a former Hedge fund manager, owns the...
  4. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kununua hisa za NMB au CRDB

    Wadau nimeona serikali ikipokea gawio la hisa za Nmb bank na CRDB bank hivi karibu kama billion 45 hivi wadau kwa anayejua haya maswala ya hisa za hizi bank mbili ningeomba anifafanulie kidogo na vijana tufaidi uwekezaji wa taifa letu japo najua muitikio utakuwa mdogo karibuni wadau kwa michango...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Mihayo azungumza kuhusu Twiga Cement kununua hisa za Tanga Cement, akemea uvunjaji wa sheria

    HATIMAYE Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ameamua kuvunja ukimya kwa kueleza kuwa wanasheria waliipotosha Serikali na Mawaziri kuhusu kuendelea na mchakato wa kampuni ya Saruji ya Twiga kununua hisa za Tanga Cement wakati mahakama ilizuia kuwapo kwa muunganiko wa kampuni hizo. Pia amesema tayari...
  6. MZALENDO TZ

    JamiiForums Tanzania Benki ya NBC Yakabidhi Gawio la Tsh Bil 20 Kwa wana hisa wake, yajivunia mafanikio.

    Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
  7. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Kama unataka unataka hela ndefu weka mzigo kwenye hisa za Tanga cement PLC

    Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi. Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta. Asante
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Bashe punguza kujiamini kana kwamba una hisa ki uongozi na aliyekuteua

    Bwana mdogo Bashe kwa siku za hivi karibuni umeonyesha hali ya kujiamini iliyopitiliza huku ukisahau kwamba wewe ni mteule na mda wowote uteule wako unaweza kutenguliwa. Tatizo la vijana wengi huwa mnavimba vichwa mnapopata kuaminiwa na kusifiwa na mteule japo kwa mambo kadha wa kadha...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement

    SERIKALI IMETOA UFAFANUZI KUHUSU UNUNUZI WA TANGA CEMENT UNAOFANYWA NA TWIGA CEMENT Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement, kuwa umefuata taratibu za kisheria na kwamba kampuni inayopinga ununuzi huo ya Chalinze Cement imeshafutiwa usajili...
  10. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Natamani kufanya uwekezaji kupitia hisa lakini sifahamu chochote

    Habari zenu wana jamvi, kama kichwa kinavyojieleza kiukweli natamani sana kufanya uwekezaji kupitia hisa lakini sifahamu wapi nitaanzia hasa kuyapata hayo makampuni na miongozo mbalimbali. Kama kuna mtu anaelimu juu ya jambo hili anifunze, ahsanteni.
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  12. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kununua hisa NMB au CRDB

    Wadau poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza jinsi ya kunua hisa za NMB au CRDB ni mpaka uwende DSE. Kingine je faida za hizo hisa zake kwa aliyejiunga zikoje naomba mwenye uzoefu tafazali maana napenda sana uwekezaji nimevutiwa na platform mbali mbali nilizokuwa napitia nimeziona pia...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kinachokwamisha Simba kuuza hisa zake ni kitu gani?

    Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
  14. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu hisa za kampuni binafsi (shares of private company)

    HISA ZA KAMPUNI BINAFSI Hisa za kampuni binafsi ni hisa zinazomilikiwa na watu wachache ambao wamealikwa na kampuni kushiriki katika umiliki wake. Kampuni binafsi mara nyingi hazina nia ya kuorodheshwa kwenye soko la hisa na kuuza hisa zao kwa umma. Kwa kawaida, hisa za kampuni binafsi...
  15. Slowly

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Sallam SK ni mwakilishi wa Apple music East Africa na Diamond ana hisa Zikiii?

    Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani. Inavyoonyesha WCB hawakwepeki kwenye Sanaa ya bongo , utawatukana unavyojua Ila ukiingia studio unawakumbatia bila kujua. Wakazi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Kenyatta yapata gawio la Tsh. Bilioni 58.7 za Hisa inazomiliki NCBA Bank

    Familia ya Kenyatta imepata Tsh. Bilioni 58.7 kwa mwaka mmoja kutokana na umiliki wao wa hisa za NCBA Group baada ya mkopeshaji wa daraja la juu kukaidi kushuka kwa soko la hisa na kuibuka kuwa hisa bora zaidi katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE). Hisa za NCBA zilipanda kwa asilimia 57.94 mwaka...
  17. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Imegundulika kwamba Kampuni ya JATU PLC iliyosajiliwa DSE ni ya kitapeli

    Tanzania haiishi vituko. Soko la Hisa la Dar es Salaam wanafuatilia kampuni ambayo imesajiliwa kwenye soko hilo inayoitwa JATU PLC. Hii ni kutokana na hisa za kampuni hiyo kushuka kutoka TZS 2,900 hadi TZS 290 sawa na angulo la asilimia 90. Angalia hapa. Swali la kujiuliza, kabla ya...
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji akamatwe mara moja kwa udanganyifu na arudishe hisa zote bila kupewa chochote

    Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani? Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
  19. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi. Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha. Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume...
  20. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Njoo tushirikiane chukua hisa katika jukwaa langu(online community)

    Njoo uchukue share kwenye jukwaa langu TangaTalk kwa Tsh 20,000 ni 50% njoo dm
Back
Top Bottom