hisa

  1. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Hii Minong'ono itaathiri bei ya hisa za CRDB?

    Agosti mwaka huu, CRDB ilikuwa trendy sana, market cap ya Tsh trilioni 3.6 na hisa zake ziliuzwa kwa zaidi ya Tsh 1,500. Kila mtu alitaka kuzinunua, akitumaini mambo yatazidi kuwa matamu, lakini ma-speculators walikimbia. Sasa mwenendo wa CRDB huko DSE unawapa watu tumbo joto, na licha ya...
  2. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka kununua hisa za CRDB: Case study of IT Outage

    Leo bei ya hisa moja CRDB ni shilingi 1150 ni muendelezo wa kuporomoka kwa bei za hisa za CRDB kutoka 1900. Najua kuna watu wanajiuliza au wanategemea ishuke zaidi au wanataka kununua saivi wkitarajia pandisho la bei kwa hisa hivyo market cap yao kuongezeka individually. Sasa swali linakuja...
  3. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Je, soko la HISA ni utapeli?

    Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika. Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake? Iweje Vodacom imepata faida ya 90bil ila hisa zake imebaki 580 ile ile? Tumezoea kuona masoko ya nje kama nasdaq, nyse, lse...
  4. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hisa za CRDB zimeshuka hivi

    Nimecheki leo Yani ni zero 0.00. Wiki mbili zilizopita ilikuwa 1500. Kwa hiyo nimepoteza 5million USD nilizo wekeza.
  5. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Viashiria vya msingi vya kuzingatia kabla ya kununua hisa za kampuni husika

    Moja ya swali muhimu la kujiuliza ni: “Nawezaje kuchagua kampuni bora ya kuwekeza?” Leo tuzungumzie qualitative fundamental factors ambazo ni muhimu sana kwa wawekezaji wa muda mrefu wanaotaka kupata ongezeko la thamani na pia magawio. Elewa Biashara ya Kampuni Wekeza tu pale unapofahamu...
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Hisa zilizotisha zaidi tangu january hadi August 2025

    Mkombozi Commercial Bank Plc ndio Kampuni iliyoongoza Kwa Ongezeko kubwa la Thamani pale Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) kuanzia Januari hadi Agosti. Hii ndio 10 Bora ya Kampuni zilizofanya Vizuri zaidi kwenye Ongezeko la Thamani (Capital Gain
  7. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja 👇

    🔑 RETURN ON EQUITY (ROE) 👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida. Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?” 📌 Jinsi ya kuipata ROE...
  8. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Je, unalenga nini katika uwekezaji wako kwenye soko la hisa: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?

    Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)? Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
  9. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania ❗️❗️Kama unamiliki hisa za Benki hakikisha uanaelewa hizi ratio mbili muhimu: CIR & NPL.❗️❗️

    🔎 Unapowekeza kwenye hisa za benki, kuna vipengele vingi vya kuzingatia. Lakini kwa mwekezaji makini, kuna ratio mbili muhimu zinazopima ubora wa biashara ya benki: 1️⃣ NPL – Non Performing Loans (Mikopo Chechefu) Hii hupima ubora wa mikopo inayotolewa na benki. Kadri kiwango kinavyokuwa chini...
  10. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Umenunua hisa za benki yoyote kwenye soko la hisa la Dar-es-Salaam?

    Sekta ya Bank inazidi kukua. Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko la 9% ukilinganisha na Sh1.09 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2024. Ukuaji huu umechochewa na...
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Moo kapewa 49 ya hisa za simba kwa bilioni 20, hii ni dharau na utapeli

    Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
  12. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

    Wakuu, Kama mnanifuatilia niliwekeza hela yangu zaidi ya Ml 60 mwaka jana na hisa zimenipa faida zaidi ya mara mbili hadi sasa. Ila kwa zilipofikia zimekuwa over-valued kuliko thamani yake ya kitabuni so ni risk kwa Wawekezaji wapya. Pia, kumbuka ni kipindi cha uchaguzi hiki external investors...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Hisa za CRDB zafika 1500 kwa hisa moja

    Neema kwa wawekezaji wote wa CRDB siku ya jana hisa moja iliuzwa kwa tsh 1510 .
  14. D

    JamiiForums Tanzania je wanachama wa simba tunaluhusiwa kuuza hisa zetu?? kuna kama 800k kila kadi kwa dp world na bakhresa

    I will be short kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card. Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia hisa za mo wakati wanachama tupo na kadi hazina hata faida. anyway ngivuu mmmoyaaa 😂
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Bei ya bitcoin ama hisa za CRDB pamoja na FOREX znapatikana vp? Twende pamoja

    Kwa wale ndugu zetu wa trading, hasa wa DSE na MT4/5, ulishawahi kujiuliza bei ya hizo securities zinapatikana vipi? >Bitcoin ni nini? Kuna majibu 2 Bitcoin ni aina mpya ya pesa inayotumia cryptography kama njia ya usalama wakati wa kuthibitisha miamala. Pia, wengine wanaweza kusema ni asset...
  16. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Vigezo vinne vya kuanza uwekezaji wa Hisa, Bonds & Hatifungani

    Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au vipande ni lazima ujipime kwanza. Je, uko tayari kiakili, kifedha, na kimtazamo? Makala hii...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania DR. Kigwangalla: Mimi ni Bilionea, Namiliki hisa kwenye makampuni

    "Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
  18. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa — gawio (dividends)

    🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. 📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio ni nini? Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au mbili...
  19. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 4: Faida ya kwanza ya uwekezaji kwenye soko la hisa — ongezeko la mtaji (capital gain)

    🔄 Kama utakumbuka, katika somo lililopita tulizungumzia maana ya soko la hisa, faida zake mbalimbali, changamoto na jinsi ya kuanza. 📍 Leo, tunachambua kwa undani moja ya faida kubwa ya uwekezaji huu — Ongezeko la Mtaji (Capital Gain). 1️⃣ Ongezeko la Mtaji ni Nini? Hii ni faida unayopata pale...
  20. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 3: uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE)

    🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji. 📍 Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
Back
Top Bottom