Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania.

Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu

Hans Macha
Ernest Massawe
Arnold B.S Kilewo
Harold Temu

/...........................................................

1. Patrick Schegg

Net worth on the DSE: $23.5-million / 57,598,500,000 Tshs/=

Holdings: NMB Bank PLC, CRDB Bank PLC

2. Aunali Rajabali

Net worth on the DSE: $23.4-million / 57,353,400,000 Tshs/=

Holdings: NMB Bank PLC

3. Sajjad Rajabali

4. Hans Macha

Net worth on the DSE: $6.4-million / 15,686,400,000 Tshs/=

Holdings: CRDB Bank

5. Ernest Massawe

Net worth on the DSE: $5.3-million / 12,990,300,000 Tshs/=

Holdings: TOL Gases Limited

6. Murtaza Nasser

Net worth on the DSE: $2.7-million / 6,617,700,000 Tshs/=

Holdings: Tanzania Portland Cement
.

7. Sayed Kadri

Net worth on the DSE: $2.1-million / 5,147,100,000 Tshs/=

Holdings: Tanzania Portland Cement, Swissport Tanzania, Tanzania Cigarette Public Limited

8. Said Bakhresa

Net worth on the DSE: $1.5-million / 3,676,500,000 Tshs/=

Holdings: Tanzania Portland Cement

9. Arnold B.S Kilewo

Net worth on the DSE: $1.1-million / 2,696,100,000 Tshs/=

Holdings: 5.68-percent of TOL Gases, 0.013-percent in Tanzania Breweries

10. Harold Temu

Net worth on the DSE: $$720,000
1,764,720,000 Tshs/=

Holdings: TOL Gases.

>> SOURCE / CHANZO <<
 
Watanzania weusi waliomo

4. Hans Macha
5. Ernest Massawe
9. Arnold B.S Kilewo
10. Harold Temu
Mbona mitaji yao kama ya kawaida sana! Dola milioni moja na kitu na mwingine Dola laki saba! Ina maana hakuna wakinga,wapemba,wasukuma au waha wenye uwezo wa kununua hizo hisa kwa mjibu wa mKUU WA MKOA WA Njombe Antony Mtaka?
 
Hii ni biashara inahitaji elimu ya stocks na uwe na exposure ya maisha ya nje, hapa ukicheki haya majina unaona wanatokea kule ambako shule zilianza kitambo sana na walipata exposure ya kusoma ulaya mapema zaidi, hao wengine suala la elimu bado mwamko ni mdogo, wapo kwenye biashara ambazo hata ukiishia darasa la saba ama form 4 unaweza kwa kutumia uzoefu tu.
 
Kununua Hisa ni hobbies
 
Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania.

Katika top 10. Weusi wapo wanne tu

6 waliobaki wote ni weupe.

1. Patrick Schegg

Net worth on the DSE: $23.5-million / 57,598,500,000 Tshs/=

Holdings: NMB Bank PLC, CRDB Bank PLC

2. Aunali Rajabali

Net worth on the DSE: $23.4-million / 57,353,400,000 Tshs/=

Holdings: NMB Bank PLC

3. Sajjad Rajabali

Net worth on the DSE: $23.4-million / 57,353,400,000 Tshs/=

Holdings: NMB Bank PLC

4. Hans Macha

Net worth on the DSE: $6.4-million / 15,686,400,000 Tshs/=

Holdings: CRDB Bank

5. Ernest Massawe

Net worth on the DSE: $5.3-million / 12,990,300,000 Tshs/=

Holdings: TOL Gases Limited

6. Murtaza Nasser

Net worth on the DSE: $2.7-million / 6,617,700,000 Tshs/=

Holdings: Tanzania Portland Cement
.

7. Sayed Kadri

Net worth on the DSE: $2.1-million / 5,147,100,000 Tshs/=

Holdings: Tanzania Portland Cement, Swissport Tanzania, Tanzania Cigarette Public Limited

8. Said Bakhresa

Net worth on the DSE: $1.5-million / 3,676,500,000 Tshs/=

Holdings: Tanzania Portland Cement

9. Arnold B.S Kilewo

Net worth on the DSE: $1.1-million / 2,696,100,000 Tshs/=

Holdings: 5.68-percent of TOL Gases, 0.013-percent in Tanzania Breweries

10. Harold Temu

Net worth on the DSE: $$720,000
1,764,720,000 Tshs/=

Holdings: TOL Gases.

>> SOURCE / CHANZO <<
Aisee,
Sayed Kadri yule jamaa kaajiriwa pale Exim Bank, Posta ndo ana hela zote hizi?
 
Hii ni biashara inahitaji elimu ya stocks na uwe na exposure ya maisha ya nje, hapa ukicheki haya majina unaona wanatokea kule ambako shule zilianza kitambo sana na walipata exposure ya kusoma ulaya mapema zaidi, hao wengine suala la elimu bado mwamko ni mdogo, wapo kwenye biashara ambazo hata ukiishia darasa la saba ama form 4 unaweza kwa kutumia uzoefu tu.
Mo Dewji

Holding 49% Simba SC 😀😀
 
Mbona mitaji yao kama ya kawaida sana! Dola milioni moja na kitu na mwingine Dola laki saba! Ina maana hakuna wakinga,wapemba,wasukuma au waha wenye uwezo wa kununua hizo hisa kwa mjibu wa mKUU WA MKOA WA Njombe Antony Mtaka?
Kama we unawajua basi weka hapa maana hao ni kwa mujibu wa chombo kinachohusika na hisa.

Ukimtaja mkinga ujue asilimia kubwa ya mitaji yao ni mikopo toka taasisi za fedha.
Sasa mikopo huwezi kwenda kununua hisa.
Hisa hununuliwa kwa cash.
 
Wewe una dólar ngapi mkuu
 
Kama we unawajua basi weka hapa maana hao ni kwa mujibu wa chombo kinachohusika na hisa.

Ukimtaja mkinga ujue asilimia kubwa ya mitaji yao ni mikopo toka taasisi za fedha.
Sasa mikopo huwezi kwenda kununua hisa.
Hisa hununuliwa kwa cash.
Nimewaambia MDA mrefu mkinga ndio kwanza anaanza,mchaga ndio mkongwe mkinga kaja juzi tu hawzi kumfkia mchaga Hata Siku moja
 
Back
Top Bottom