hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

    Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue. Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi, ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia, Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa 🤔. Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana...
  2. JamiiForums Tanzania Malizia hii wikiendi kwa kuendelea kukataa pombe na ulevi. Jilinde dhidi ya kufirisika, magonjwa, talaka, kudumaa na kufanya vituko ukiwa umelewa

    Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako. Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Safari hii Iran lazima anyooshe maelezo kwa Trump!!

    Iran safari hii lazima watatema ndoano!!!
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wafanya biashara au mawinga nahitaji combination hii ya nguo

    Habari wakuu nilikuwa naomba kuulizia wapi ninaweza kupata combination kama hii?
  5. JamiiForums Tanzania Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON. Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa. Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Hatari Wakuu sikiliza hii Video

    Hellow wana JF. Nimeweka video hapo chini.👇👇 Watu wanamaumivu makali, watu wanauchungu mkubwa, watu wamekata tamaa kabisa, watu wamechanganyikiwa, watu wana vidonda vya moyo visivyo kauka, watu wana msongo wa mawazo, watu wameingiwa na ushangingi wakudumu. Ila Ninacho hitaji kusema hapa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali, TNMC tusaidieni. Watumishi hospitali ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA tunateseka

    Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa. Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea...
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa dhahabu hii? Nashindwa kuelewa

  9. JamiiForums Tanzania Huwezi Kukwepa Historia Hii na Ukabakia na Historia ya TANU

    Wajenzi Halisi" wa Tanganyika "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu." "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said). "Mbona mnaweka historia...
  10. JamiiForums Tanzania Elon Musk kaposti hii!

    they are coming …...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Huu ndo uwe Msingi mkuu wa Maridhiano

    Wadau, nimeona maoni ya wadau mbalimbali kuhusu kile kinachoitwa Maridhiano, wengine wakipinga, wengine wakiyaunga mkono na kila kundi likitoa sababu zake. Nimeona CHADEMA wametoa Masharti ya awali (pre conditions) kama 3 za Maridhiano 1. Mwenyekiti Lissu Aachiwe huru pamoja na wafungwa wote...
  12. JamiiForums Tanzania Kama tafiti zinavyoonesha ni kweli gen z sio wanywaji sana wa pombe ila sanaa yao kubwa ni hii hapa

    Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z kumbe hawaji pub kutafuta pombe bali kula jagina😁 Ndio kabisa, hakusa kizazi cha kifuska kama gen...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu mnaikumbuka hii siku?

  14. M

    JamiiForums Tanzania Karia ni familia, Pongezi kwake, Zifanyike kila jitihada Yanga asiingie kwenye vyumba vya kubadilishia nguo akatwe hadi points 20

    Sasa ni muda Yanga atupishe kidogo, na wengine nao waonje utamu wa ubingwa. 😄 Mkakati ni rahisi tu. Kila Yanga akicheza na Simba, Azam, Coastal Union au timu nyingine, pawe na tetesi za "dawa" dressing room au kama vipi wawekewe kabisa hizo dawa. Lengo liwe ni kuwafanya wasiingie vyumbani Si...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuwajua mamluki wanaotumwa kumchafua Heche ni hii

    Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama 1. Akiambiwa kuna tone tone haongei chochote 2. Akiambiwa free Tundu Lissu haongei chochote 3. Akiambiwa viongozi wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbona hii V8 ya Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho inatumika kwa shughuli binafsi ikiwemo kubeba mkaa na cement

    Kwa zaidi ya mwaka mzima sasa gari ambayo inatakiwa kutumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kwa ajili ya shughuli za kiofisi badala yake imekuwa ikitumika kwa shughuli binafsi nyingi ikiwemo za masuala ya shamba. Gari hilo lenye namba za usajili SU 42509...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili hii kwangua kwangua ya barabara kila mwaka ina tija gani?

    Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu Hapa tusaidiane...
  18. L

    JamiiForums Tanzania KERO HII BADO IPO, Bomba la Maji Linavuja tangu May Oleiron Mwanama Arusha.Taarifa zimetokewa Kwa wahusika tangu May.Hakuna hatua

    Kero ya Bomba la Maji kuvuja Oleiron Mwanama Reli Arusha tangu March haijafanyiwa kazi. AUWSA wanapoteza Maji na mapato lakini hakuna anayejali. Barabara imaharibiwa vibaya na Maji hayo,TARURA nao kimya.Uwajibikaji uko wapi siku hizi. Waziri wa Maji na Tamisemi ingilieni kati.
  19. JamiiForums Tanzania Je, iran akimshambulia ukraine, umoja wa ulaya utaingia katika hii vita?

    Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine. Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi. Will EU just watch?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosingiziwa na kushitakiwa kwa ugaidi. Mawakili kuweni macho na forced confessions. Soma hii case imetoka juzi

    Walipigwa wakateswa wakaandika uongo kujinusuru. Angali kesi hii ilivyoamuliwa . Ni kesi ya kutupa Bomu kule Arusha kwenye uzinduzi wa parokia ya katoliki mwaka 2013
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…