hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima, naomba uiangalie hii video hadi mwisho

  2. J

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale PC HP ProBook 655B Inauzwa

    Nauza HP ProBook 655B ikiwa katika hali nzuri na bila kipengele. Specifications: RAM: 4GB Storage: 256GB HDD Processor: Intel Core i5 Processor Speed: 2.5GHz 💰 Bei: TSh 270,000 📞 Kwa mawasiliano: 0793965294
  3. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaogopa nini? Weka namna hii vigezo

    Nimeona wengi wanatafuta wake au waume Nawapa mwongozo 1. Jitambulishe jina 2. Shughuli zako (si lazima kuweka kipato) 3. Umri wako 4. Watoto (Body count si lazima) 5. Jinsia (Me au ke) kulingana unatafta kuoa au kuolewa 6. Mawasiliano yako 7. Sehemu unapoishi 8. Ikibidi hata elimu yako...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani? Jaji wa Namibia anakuja kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Kumbuka Rais wa Namibia alikuja juzi hapa, Tanzania

    Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

    Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura ! 1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka nikaitwa encyclopedia ya shule (Britanicca) dawati langu lilijulikana hata kwenye hoja za kikanda na...
  7. JamiiForums Tanzania TISS siku ikishafikia steji hii muwezi kuzuia huyu mnaye mshikilia ?.

    Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030. Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo. Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
  8. JamiiForums Tanzania Ardhi yako ni yako hata bila Hati? Rasimu hii inasema ndiyo, na inaweka Ukuta dhidi ya Unyang'anyi

    Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...
  9. O

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Nchimbi agoma kujiuzulu

  10. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa, hoja za wapinzani hazijibiwi. Kilichobakia ni watu kutishiwa kukamatwa na kutekwa. Kwa namna hii hakuna maridhiano.

    Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM. Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi. Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio nchi inayochukulia poa raia wake zaidi duniani

    Utaijua tu Pombe kali za bei rahisi, kichupa kizima 2,200 nusu 1,100, zipo za 2,000 mpaka nusu 1,000 Bima raia wake wamekata bima za kupata tiba mahospitalini lakini ikitokea wamezidiwa na kwenda hospital husika wanaambiwa bima haifanyi kazi wanabidi walipie Cash ndio wapate huduma Police...
  12. JamiiForums Tanzania JE HII KWELI WAKUU?

    Kuna hii kampuni inajiita adsblog unatumia link unajiunga lakn Kuna fee 14,500. Kazi Yako ni kufundisha wageni kiswahili online. Kuna aliyewahi kusikia kuhusu hl au utapeli?
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi ? Nione kama naweka mjengo wa 3

    Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035 Nimependa muonekano wake ! Je inaweza cost vipi leta mchanganuo Britanicca
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni mjinga tu anayefikiri kuna Dira nzuri ya 2050 kwa mfumo huu wa siasa (Katiba hii)

    Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni muuzaji wa jerseys na una hii jersey, pliz check me

    2003/2005 edition
  16. JamiiForums Tanzania "Muache Avae Atakavyo Bado Mdogo" – Je, Sentensi Hii Inawajenga au Inawaangamiza Watoto?

    Kumwambia mtoto "muache avae atakavyo bado mdogo" kunaweza kuonekana kama jambo la kawaida, lakini kwa hakika ni kauli inayoweza kufungua mlango wa kumlea mtoto bila mipaka ya maadili. Mtoto ni kama mti mchanga; ukimnyoosha akiwa mdogo, hukua akiwa sawa. Lakini ukisema "bado mdogo" katika kila...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio sura mpya ya chama cha democrat huko marekani

    Mdada wa kisomalia mjihad na ana support vikundi ya kigaidi Jamaa wa kiarabu, mkomonisti anaepinga marekani na kumsifia china Mwingine huyo kutoka asia, ana support ushoga wa kuvuka mipaka na kuruhusu wanaume trans kuingilia michezo ya wasichna pure US is cooked, soon magharibi wataona moto...
  18. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Jaribu Laptop hii tuone.

    Unapewa na Type C charge yake… Nec versa pro👇 Intel Pentium/Core m3✅ Ram 4GB✅ Ssd 128GB✅ Processor 1.6GHz✅ Kioo inch 12.5✅ Ni nyembamba sana kama wembe✅ Port zote za msingi zipo mfano HDMI✅ Charge masaa 2 to 3✅ Kioo chake ni full display✅ Bei 300,000/= Tu📌
  19. JamiiForums Tanzania Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

    Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue. Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi, ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia, Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa 🤔. Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana...
  20. JamiiForums Tanzania Malizia hii wikiendi kwa kuendelea kukataa pombe na ulevi. Jilinde dhidi ya kufirisika, magonjwa, talaka, kudumaa na kufanya vituko ukiwa umelewa

    Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako. Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…