Kuna mwanaume wa aina hii mwenye afya na uhuru ?

Kuna mwanaume wa aina hii mwenye afya na uhuru ?

Mupepe.jpeg

Kahali Ka Hewa Kapo Murua Mnoo,,Kwa Eneo Nililobahatika Kuishi Juzi,,Jana Na Hata Leo,,,Wacha Nikunje Skanka Bomba Kadhaa,,Niistiri Nafsi Yangu...​
 
Mimi hapa. Nakaribia 50yrs sinywi pombe,sivuti Sigara/bangi ,sichezi kamali sihongi wala kununua wanawake. Anyway hivi kumnunulia mkeo au gf kitu ni kuhonga?
Hapo kwenye sigara/bangi umekoseq sana GT.
 
Ujana maji ya moto sana vitu vyote nimefanya hapo ila kamali mwaka huu byebye amebaki pombe though nakunywa mara moja au mbili kwa mwenzi.
 
Back
Top Bottom