hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Nchi imeshagawanyika hii watu wanataka reforms za kiuchaguzi ila mamlaka inajizima data

    Nchi imeshagawanyika hii watu wanataka reforms za kiuchaguzi ila mamlaka inajizima data. Sipati picha tunakoelekea kama kuna watu wachache watataka kupelekesha uchaguzi vile wanavyotaka wao ufanyike kisha wajitangaze ni viongozi wa nchi sijui itakuwaje. Kama watategemea jeshi na dola kuwalinda...
  2. Pesa ndo Kila Kitu kwenye Hii Dunia

    Tembea ufurahi
  3. Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

    Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
  4. Na hii inasikitisha sana yaani unapewa adhabu kwa kuwa wewe umemsikiliza Mkeo

    Wakuu kuna kitu kinanitafakarisha sana yaani kila nikikaa natafakari sana. Yaani Mwanaume ni marufuku kumsikiliza mkeo hilo kosa adhabu yake ni ya milele na ilikua imeanzishwa na Muumba Mwenyewe lakini ukiangalia kwa undani utagundua Mwanaume Adamu alionewa tu hakua na kosa lolote. Hivi ebu...
  5. Nimeanika mahindi nje nimekuta hali hii, Naombeni ushauri wenu

  6. Heche ni hatari kwenye siasa za nchi hii kiasi hiki?

    Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa... Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye...
  7. Jaribu ubunifu wa aina hii katika ujenzi wako wa nyumba. Simple, Unique and Healing

    Macho ya mtanzania hayawezi kuona vitu in details, ndio maana atahukumu mara moja kitu atakachokiona in terms of mazoea yake au kiasi cha tabu yake. Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa ubunifu wa hali ya juu, mbongo hawezi kuona simplicity na uniqueness ya hii nyumba basi atakuja na...
  8. Afadhali ushike jembe ukalime, kuliko kuomba sala hii

    Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo: Kibiblia, hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Bikira Maria amepewa jukumu la kuwa mlinzi wa taifa lolote. Mungu pekee ndiye...
  9. Baada ya Iran kuzima internet, Israel wanazidi kugeuzwa kuwa Gaza, ssbabu hii hapa…

    Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile) Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US, kwanini nasema ni mpango wa US? US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US...
  10. Wakuu, fawanews vipi tena?Siku ya tatu hii naijatibu imegoma

    Wakuu lile chimbo letu la kucheki mechi mbalimbali fawanews kila nikiingia hola, dah uhondo wetu wametuondolea nini?
  11. Jee hii video ni jibu toshelevu kwa machawa?

    Huyu jamaa kajibu hoja za machawa dhidi ya wakosoaji wa watawala? 👇
  12. Hivi kwanini waislamu wengi ndiyo wajanja wa nchi hii?

    Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa...
  13. Hivi kwanini waislamu wengi ndiyo wajanja wa nchi hii?

    Hivi sijui kwanini waislamu wengi ndiyo wanaonekana wajanja sana kwenye nchi hii kuliko watu wa dini nyingine? Je sababu ni ipi?au nini kinawafanya waislamu wawe superior na wajanja sana? Na wamestaarabika sana kuliko watu wa dini nyingine? Kila mkoa unaoenda waislamu ndio wameshika hatamu kwa...
  14. Nimeipenda hii plate number T 107 TZA

    Tuna utararibu wa kuwa na plate number binafsi pale mambo yanapokuwa ahueni Nimejitafuta nimejipata nimetungua Ford raptor ya kijani full body.. Nimeona mitaani kuna plate number special kama T 2030 SSH. Basi na mimi nimeona niwe na hii T 107 TZA mawazo yenu muhimu kwenye hili
  15. Kama wewe ni mfugaji wa kuku app hii itakusaidia kusimamia shamba kiurahisi mno

    Kabla hatujaanza kutengeneza Fuga, tulizungumza sana na wateja wetu, tukijitahidi kuelewa changamoto zao na kujibu maswali ya kila siku wanayokutana nayo katika shughuli zao za ufugaji wa kuku. Moja ya maswali yaliyoulizwa sana na ambalo tunafurahia kulitatua kupitia app yetu ni hili hapa : ⏳ Ni...
  16. Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

    Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
  17. Hii sio vita ya kisiasa, ni vita ya kiroho iliyopangwa mnamo mwaka 1871

    Wengi wanaangalia migogoro ya dunia ya leo na kudhani ni siasa, nguvu za kiuchumi au mivutano ya kimamlaka. Lakini Mwaka 1871, Albert Pike aliandika mpango ulioweka ramani ya vita vitatu vya dunia... • Vita vya Kwanza vya Dunia: Kuharibu falme na kuzalisha Ukomunisti • Vita vya Pili vya...
  18. Obrey Chirwa: Simba wakicheza kama walivyocheza hii leo watafungwa na Yanga

    Mchezaji wa Ken Gold Obrey Chirwa amesema kuwa kama Simba SC watacheza kama ambavyo wamecheza na Ken Gold kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga basi watafungwa lakini wakibadilika watapata sare "Simba kama watacheza hivi kwa Yanga watapoteza ubingwa, Simba kama watacheza hivi kwa Yanga...
  19. Hii ni miujiza siamini hata! Nahisi naota

    Leo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao . Ghafla tukaanza kusikia malumbano Sauti Kali ya konda ilisikika . "Kwa Nini hukunambia mwanzo... "We bibi mwanga nini "Mapema yote hii "Hujui iyo...
  20. Kwa Lissu hii inasikitisha sana aisee

    Chama cha CCM kabisaaa jueni hiloo hiki chama sina kadi ila nakipendaga tokea niwe mdogo japo baba yangu hakipendi na alikufa akisema hiki chama hakuna kitu . Sasa niliamua kukipenda pindi lowassa alipo shindwa kuwa raisi kupitia chadema nikaona niwe tu huko ila leo nimekwazwa why . MNAMTESAJE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…