hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba hii ya Baker Inatisha: Yanga tujiandae kisaikolojia

    Simba hii ya Baker inainyesha kutisha kweli kweli; Yanga tujiandae kisaikolojia, Yanga hii tumekuwa butu sana kwenye kushambulia goli la mpinzani na vile vile tumekuwa lege lege sana kwenye kilinda goli let. Simba inaonekana kuwa imara sana kulinda goli lao na vile vile wana makali ya...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii, hata mimi lazima nitishie kukifuta ili bosi aone nafanya kazi

    KATORO next break KAHAMA then KANDA MAALUMU. Lazima waombe poo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bodi ya PSSSF kutenguliwa: Kama hii ni kweli, we need to do more!

    Samia amevunja bodi ya wadhamini ya PSSSF kwa sababu iligoma kupitisha kutoa fedha za wastaafu kwenda kujenga uwanja wa ndege Serengeti ili kuboost biashara zake na mtoto wake. Bodi ilikataa kwa kudai mradi huo hauwezi kurejesha hizo fedha wakati kuna wastaafu wengi wanadai hela zao na...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wa serikali au watu wengine wanaosapoti au kushiriki kufanya maovu chini ya hii regime haramu

    Ukweli ni kwamba muda wa regime hii ovu kuanguka haupo mbali.viongozi au watu walioshiriki kufanya maovu hakika wataadhibiwa baada ya hii regime ovu kuanguka na muda huo umeshafika. Regime mpya inayokuja nauhakika itawachukulia hatua watu wote walioshiriki kufanya maovu kama utekaji...
  5. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wenza kupost vijembe WhatsApp status mnapotofautiana sio nzuri

    Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine. Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni...
  6. JamiiForums Tanzania Tazama hii nyumba tunaijenga Kiluvya Madukani May 2026

    Kwa kazi za kujenga nyumba za kisasa nitafute 0743 257 669 napatikana Dsm. Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master 2 self seble jiko dinning jiko store prayer room
  7. JamiiForums Tanzania Nimeamini hakuna anaekujua zaidi ya wewe

    Kadri umri unavyozidi kusogea, nimekuja kutambua ukweli mzito kuwa no one knows who you are. Unazaliwa, unapewa jina, unaanza kufunzwa emotionally, matukio yatokeayo na namna ya kurespond. Unapata ufahamu unaenda shule, unamaliza unapata kazi, uaoa au kuolewa, unazaa then na wewe unaanza...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Arusha Mjini – Loliondo umepanda kutoka Sh 18,000 hadi 28,000, LATRA hii ni sawa?

    Jamani sisi Wanangorongoro tunateseka sana wakati wa kusafiri kutoka Arusha Mjini kwenda Loliondo, kinachotusumbua ni upandashwaji wa nauli kiholela bila ya kufuata utaratibu uliowekwa na LATRA. Kampuni ya Loliondo Coach ndiyo kampuni pekee inayotuhudumiwa. Nauli ilikuwa ni TSH 18,000...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio kalenda ya Shakira 2026

  10. M

    JamiiForums Tanzania Kagame :" Rais wa Congo hakushinda uchaguzi huru" Kwa hii milio PK kashikwa pabaya na Félix Tshisekedi ?

    https://www.youtube.com/watch?v=oRSdtN4PaWI “Mnajua jinsi rais wa sasa alivyoingia madarakani? Aliitwa tu ofisini, na huyu mtu akadhani anafanya makubaliano mazuri, akaikabidhi mamlaka. Pia mnajua kwamba kulikuwa na mashahidi, marais wa nchi mbalimbali? Mnajua hilo? Mmoja wao akiwa rais wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nchi hii imefitinika. Huyu na wahuni wenzake alimkaba Warioba na leo ni Waziri!

    Habari picha Pia soma: CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba
  12. JamiiForums Tanzania The plane Crash that Will be Comforting the Nation in one of African Countries 2026/7

    The Lord is near to the brokenhearted and saves the crushed in spirit. He gives strength to the weary and increases the power of the weak. I urge… that petitions, prayers, intercession and thanksgiving be made for all people— for kings and all those in authority, that we may live peaceful and...
  13. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Walokole kweli hii mistari huwa mnaisoma....au kudonoa donoa bibilia

    ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo...
  15. JamiiForums Tanzania Sio vibaya kutumia Tsh 2,000,000/= kutoka kwenye akiba yako kumfurahisha mama yako kwenye hii siku yake

    Post za watsapp status, Insta, Facebook na X hazitoshi. Chomoa angalau 2m toka kwenye akiba yako mfurahishe mama. Spoil her Happy mother's day
  16. JamiiForums Tanzania Hii Tuzo Waziri anahusika.

    Kama siyo uhusika WA moja Kwa moja basi Uchawa umeingia michezoni rasmi.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Chama akipewa uraia ndio Taifa Stars itafanya vizuri? Hii CCM imekosa maono. Hawafikirii kuboresha maisha ya Walimu wanafikiria porojo

    Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana. Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu. Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hii ni IP address ya nani: Mbona kuna mashimo mengi yako wazi?

    Kwa wale wadukuzi..... Nmap scan report for 212.7.194.67 Host is up (0.00099s latency). PORT STATE SERVICE 7/tcp open echo 9/tcp open discard 13/tcp open daytime 21/tcp open ftp 22/tcp open ssh 23/tcp open telnet 25/tcp open smtp 26/tcp open rsftp 37/tcp...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi kila mtu tapeli

    Weka comment nzuri inayoendana na Siasa itakayo maanisha hii picha. Mshindi namwekea bundle
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kuwa Chadema ni IMANI. CHADEMA ITASHINDA. SIKILIZA CLIP HII

    Chadema ni Imani. Imejengwa kwa imani katika mioyo ya watu, including me and you!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…