hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii

    Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi hii, kiini cha kila tatizo tulilo nalo inaonekana ni katiba mbovu; mlio kwenye system, naomba mtujuze, inabadilishwa lini?

    Kiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme hivyo na awajibishwe endapo hatoifuata. Mfano leo ukaniambia kwamba tunakupa madaraka fulani, na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania tuibadilishe hii katiba. Yaani Rais alitaka kuchoma shamba la mikorosho halafu hafanywi chochote?

    CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu. Yaani Askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji? Aliyesababisha hayo haguswi?! Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe...
  5. JamiiForums Tanzania Ajali ya Roli Daraja la Ubungo Asubuhi hii

    Alikuwa amebeba mbao. Inasemekana dereva gari ilimshinda ndio mwisho wa siku trailer likakatika kutoka kwenye kichwa na kuanguka.
  6. JamiiForums Tanzania Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

    Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli. Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali. Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia. Haitashangaza Tundu...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga hii naifananisha Barcelona ya 2008-2011

    Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11 Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol. Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta. Yanga hii ni bora na...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la Nchi Hii ni CCM

    CCM wanavyohandle maoni ya Ndugai, inaonyesha kabisa kwamba hata tukiwa na katiba mpya na katiba ya CCM ikabaki kama ilivyo; bado haratakuwa na demokrasia katika nchi. Wabunge wetu wataendelea kuwa waoga wa kuisimamia serikali ndani ya Bunge la JMT na nje ya Bunge. Kwa CCM wengi, wanachama...
  9. JamiiForums Tanzania Taasisi ya URAIS inadharaulika sana awamu hii ya sita

    Tukifuata itifaki ni kwamba pale unapomu address kiongozi mkuu wa nchi basi ni vyema kutanguliza maneno mfano “ Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan” baada ya hapo inafuatiwa risala. Ama unapotoa risala ikakulazimu kumtaja Rais wa nchi basi ni vyema kuzingatia itifaki ya utambulisho kwa kum...
  10. JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi mikopo ya awamu ya tano ilikua ya ajabu sana, ukweli ndio unajulikana sasa

    Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuskimu nyumba hii

    Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, public toilet, dining, sebure na stoo . Ina urefu wa 10.6m na upana wa 9m, vyumba vyote vinaukubwa wa 9 sqm. Naomba mchanganua wake, gypsum powder zitahitajika ngapi, rangi ya naji nyeupe ndoo ngapi, white cement kwa skimming ya kuta za nje ngapi, whether...
  12. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya huwa anasema mengi kwa picha au maneno machache

    Fact
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wadada: Huwa mnafanyaje mpenzi wako akiwa na hii tabia?

    Habari. Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto. Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wakivurugana wanafukuzana, CCM wakivurugana wanapatana na kuombana msamaha. Hii imekaaje?

    Wanabodi naomba mnisaidie kuelewa shida iko wapi, maana tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini, tumeshuhudia vyama tofautitofauti vya upinzani vikiibuka na kujipatia wafuasi wengi na hivyo na hivyo kuwa tishio kwa chama tawala. Kwa kumbukumbu zangu ni kwamba ilianza nccr mageuzi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba hii ni ndogo au kubwa?

    Naomba kuuliza nyumba yenye urefu na upana wa futi 30 hiyo ni nyumba ndogo au kubwa?
  16. JamiiForums Tanzania Godbless Lema na John Mrema wameizungumzia vizuri sana hii ishu ya Mikopo na Ndugai

    Anaandika Godless Lema: “Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH. Ndugai ni mzigo mzito sana...
  17. JamiiForums Tanzania Bila uvamizi tutaendelea kukopa mpaka tuuze hii Nchi

    BILA UVAMIZI TUTAENDELEA KUKOPA MPAKA TUUZE HII NCHI! Kwa Mkono wa Robert Heriel. Tutaendelea kushikana Uchawi hapa mpaka Kiama. Akija Rais huyu utasikia oooh huyu Mzanzibar, nikija Taikon kuwa Rais utasikia oooh! Huyu sio Mtanzania ni msomali. Akija Rais kutoka Mbeya utasikia oooh huyu ni...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Je hii mimba ni yangu ama si yangu, wajuzi nisaidieni.!!

    Mambo vipi wakuu.. Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde. Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021 akasema anajiskia kulala lala na uchovu. Basi ikapita hiyo siku then kesho yake tena akaleta hizo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, ni wazi kwamba watu wanamdharau (wanamchukulia poa)

    Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR "..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii

    Kwema Wakuu! Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa. Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima😀😀😀 na bado akawa anaogopwa??😀😀 Ila Lisu Kiboko tuacheni utani. Lisu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…