Bila uvamizi tutaendelea kukopa mpaka tuuze hii Nchi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,339
51,884
BILA UVAMIZI TUTAENDELEA KUKOPA MPAKA TUUZE HII NCHI!

Kwa Mkono wa Robert Heriel.

Tutaendelea kushikana Uchawi hapa mpaka Kiama. Akija Rais huyu utasikia oooh huyu Mzanzibar, nikija Taikon kuwa Rais utasikia oooh! Huyu sio Mtanzania ni msomali. Akija Rais kutoka Mbeya utasikia oooh huyu ni mzambia. Akija WA kutoka kigoma utasikia ooh! Huyu Mburundi yaani tutashikana Uchawi hapa tukishutumiana.

Niliwahi sema kwenye Uzi huu hapa 👇👇

Na Leo nasisitiza, tusipovamia mataifa mengine tutaendelea kukopa mpaka tunye mavi tushindwe kuyazoa.

Kama tumeamua kuendelea hatuwezi kwenda Kwa style hii tuendayo, nilishasema kamwe hatuwezi endelea Kwa kutegemea vikodi mshenzi tunavyokusanya Kwa wananchi wetu wenyewe. Ni pesa ndogo Sana kuiendeleza nchi hii. Labda Kama tunahitaji pesa ya Kula tuu lakini kama ni maendeleo makubwa hakika tunapaswa kufanya uvamizi mkubwa.

Mbona Sisi tumevamiwa? Mbona Sisi tumewekwa mtu Kati hatusemi, hatuoni sijui! Sitaki nionekane mnoko lakini pia siwezi kukubali kuwa mnafiki.

Nilishatoa kanuni ya Msingi wa maendeleo kuwa kuna kunyonya na kunyonywa. Lazima uchague upande hapo. Kuna kuvamia na kuvamiwa lazima pia uchague upande.

Je Kama tumekataa kuvamia ni wazi tumechagua upande wa kuvamiwa. Kumaanisha tumechagua kunyonywa, na tutanyonywa haswa.

Sisemi kumtukana yeyote isipokuwa najaribu Kueleza kuongea na mtu Fulani hapa ambaye akinielewa na siku akichukua nchi hii Ajue chakufanya.

Niliwahi mwambia Hayatti Magufuli anapoteza muda wake, halikadhalika nikamwambia juzi juzi Rais Samia kuwa asipokuwa makini atapoteza muda wake bure.

Natamani system nyeti za nchi zielewe ninachokizungumzia. Tunahitaji kuamua Kwa makusudi kufanya Jambo kuu lenye manufaa litakalobadilisha mwelekeo wa nchi yetu kuendelea.

Mimi sitaki kuelezea Uvamizi tuliofanyiwa na Wahindi katika nchi yetu hivi leo nisijeonekana mjuaji wakati bado Mimi mdogo.

Sitaki Kueleza Uvamizi unaoendelea wa Wachina kwenye nchi yetu unaoendelea nisijeonekana mpiga kelele Kwa walaji.

Uvamizi wa Wazungu kila mmoja wetu anaujua kwenye taifa letu hivyo sinahaja ya kuueleza.

Sijajua nchi jirani zetu Kama wametuvamia au laa.

Uvamizi unaweza fanyika kwenye sekta ya viwanda, sekta za utalii, biashara na makampuni Makubwa, migodi, mashamba na masuala mengine ya kiuchumi. .

Uvamizi unaweza fanyika kiutamaduni, Kidini, kisanaa Kama muziki, maigizo na fasheni za mitindo za mavazi.

Sitaki kuelezea Uvamizi wa vikundi vya kihuni vya magenge ya wahalifu, vikundi vya waasi, na wezi wenye silaha wa misituni waibao Mali Kwa kujipa Itikadi Fulani.

Hata aje profesa gani kutoka wapi hawezi iendeleza nchi hii pasipo kuvamia mahali Fulani la nchi zingine, hawezi kuendeleza nchi hii pasipo kunyonya Kwa nguvu zote nchi zingine.

Mtu hawezi kunenepa Kwa kujila yeye mwenyewe lazima ale viumbe wengine, lazima mtu ili unenepe na uwe na Afya njema lazima ule mbogamboga, nyama za wanyama wengine, nafaka n.k lakini huwezi kuwa na Afya njema au kunenepa Kwa kujila wewe MWENYEWE.

Nchi haiwezi kusonga mbele Kwa kujinyonya yenyewe, aidha ikubali kunyonywa au kunyonya mataifa mengine Kwa kujinufaisha yenyewe.

Naweza kuwa naongea Kama mwanafalsafa lakini ujumbe wangu ni halisi Kwa akili ya kawaida tuu.

Hata uingie CHADEMA, au CUF au ACT hakuna watakachofanya zaidi ya kupoteza muda wao.

Nchi za Afrika haziendelei Kwa sababu hazijaamua kuendelea Kwa kuvamia mataifa ya Ulaya na Asia.

Nasisitiza huwezi kunenepa au kuwa na Afya Kwa kujila wewe mwenyewe.

Tutaishia kukopa na kujiingiza kwenye madeni makubwa yatakayozidi kututia mahali pagumu zaidi.

Kama wao hawaogopi kutuvamia Kwa nini Sisi tunasita kuvamia wa size yetu ndugu zangu. Mbona tumezubaa zubaa Sana.

Au tunataka. Tuendelee kuvamiana wenyewe Kwa wenyewe Kama ilivyokawaida yetu?

Mimi nipo zangu huku Makanya nimepumzika nikiendelea kutafakari.
Karibuni Makanya.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro
 
Acha tuendelee kuendekeza weledi wa kitanzania na uzalendo wakimaslahi kwa wenye nafasi, kuuzwa nje nje, Wala hakuo mbali.
 
Tutaendaje kuvamia nchi nyingine wakati kwetu tunampasuko, si tutapigwa kweli kweli au tutazamia huko huko, Jiwe aliamua kwenda na watu wake wa kanda ya nyonyo. Taifa linatafunwa na ubaguzi na umimi,
 
Ha

Hapa ukiomba paspot tu ukavamie nchi nyinhine upate pesa za kujenga nyumbani mizengwe kibao.
 
Pumba katika long form😅
 
Back
Top Bottom