hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hongereni TPDC kwa hatua kubwa kama hii

    Juni 8 wiki iliyopita TDPC na UDSM walifunga mkataba wa kujenga kituo kikubwa cha kuchataka gesi asilia eneo la UDSM karibu na Hosteli za Magufuli. Kito hicho Kitatazama barabara ya Sam Nujoma. Lengo la kujenga kituo cha CNG (Compressed Natural Gas) ni kurahisha upatikanaji wa gesi katika...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wajuzi wa mambo

    Habari zenu? Swali kwamba utajuaje kama mpenzi wako anafika kileleni muda unapokuwa unamsugua au hajafika kileleni hata kama kakuambia amefika. Au unatambuaje kuwa huu mguno wa mahaba ni kweli imemkolea au hapa anaigiza hana lolote. Tuambieni ili tuwe tunakuja na mbinu zote 🤣😉
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana ya kustaafu?

    Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine. Je, ipi maana ya kustaafu ?
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni Dawa ya Kuisahau hii Kauli inayokataa kabisa kutoka Ubongoni mwangu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
  5. JamiiForums Tanzania Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km kwa US$2.1 bilioni (Sh4.89 trillioni). Wakati tunajua umewapa kandarasi CCECC. Katika mfumo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa kabla ya WWI Arkansas na mwaka 2022 kuna wao ramani kuwa na nyumba kama hii

    Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji. Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni kodi ya kichwa tu. Kuna watu wana nyumba zenye hali mbaya zaidi ya hii si vijijini tu bali hata mijini.
  7. JamiiForums Tanzania Hofu hii inasababishwa na nini na kwanini haikuwapo wakati wa kupigania uhuru?

    HOFU HII INASABABISHWA NA NINI KWANINI HAIKUWAPO WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA? KUSUPA HAPENDEZEWI NA KUSEMA KUWA CHIEF MKWAWA ALIKUWA MUISLAM ANASEMA: ‘’MOHAMED SAID USICHEZE NA HISTORIA YA WAHEHE, WAPO WANAOIJUA VILIVYO! ETI MKWAWA AJIITE ABDALLAH? HIVI KWELI WEWE UNAMJUA...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

    Aisee tafuta BREAKING BAD.bonge la dude
  9. JamiiForums Tanzania Natamani kuwa fisadi: Nifanyeje Kuishinda hii hali?

    Wakuu heshima kwenu, nahudumu katika kitengo cha manunuzi katika taasisi moja ya umma (sita itaja). Kila mara ninapokuwa nikitekeleza majukumu yangu kuna roho ya ufisadi inanijia, ukweli nikwamba huwa naiba ila sijawahi kuiba zaidi ya laki 5 hata kama manunuzi ni makubwa vipi. Tamanio langu ni...
  10. JamiiForums Tanzania Hii App ya NaPA ya postcode imekosewa sana

    Serikali inapswa kuwa makini sana kama ndio wanasimamia hii App. Hayo majina ya mito yamekosewa sana. Huo mto uliopewa jina la Karanga sio jina lake halisi na sio mkubwa. Mto unaoitwa karanga ni huo nilioweka alama x na huo ulioko kwenye mshale unaitwa Nsoo.
  11. JamiiForums Tanzania Kacha hii ndio ishara ya mapenzi ya jinsia moja au biashara ya ngono?

    Habari? Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua. Wakati mwingine wanavaa zote mbili kwa pamoja. Je, wanavaa kama mapambo pasi na dhumuni lolote au ni ishara ya mapenzi ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nimekamata text hii kwa mke wangu. Hivi wanawake mna nini?

    Nimekamata txt hii kwa mke wangu, hivi wanawake mna nini?
  13. JamiiForums Tanzania Wamasai, Wasukuma sasa imetosha, karne hii ya 21 muache kutembeza mifugo nchi nzima

    Naliangalia suala la Ngorongoro, Loliondo, Handeni na sasa huko Songea, Katavi na hata wale waliovurumishwa bonde la Ihefu kwa jicho tofauti. Imefika muda wenzetu hawa Waasaai, na siye wasukuma na jamii za kifugaji, inabidi kubadilika na wakati. Watu wanaisi karne ya 17 kwa kutembeza mifugo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hii picha ina Maana Gani kwa Kinachoendelea Ngorongoro?

    Huyu Mtalii kavaa kimasai inaonekana anafurahia pia kuwa karibu na wamasai ,Nini maana Je wamasai ni sehemu ya utalii walipaswa kuachwa? Na kama wakiondoka je itapunduza watalii wanaokuja kwa Ajili kuwaona na kuvaa hizi Nguo?
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Ninakutana na changamoto hii kwenye Ajira Portal!

    Habari wakuu, Changamoto ninayokutana nayo kwenye ajira portal ni baadhi ya kazi zinafeli kuapply kwasababu ya kigezo cha degree ya kwanza (BSc). Nina Masters ya Environmental Science na Bachelor ya Environmental Conservation. Kwa mfano wanahitaji assistant lecturer wa Environmental science...
  16. JamiiForums Tanzania Ni vyema mkiwa mnatoa 'Press Releases' kama hii pia mtuambie wenye Akili sababu ni nini au kumetokea nini sawa?

    Kocha wa Makipa, Tyron Damons atakuwa sio sehemu ya benchi letu la ufundi baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu. Tunamtakia kila la heri huko aendako. Chanzo: Simba Sports Club Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa Simba SC kuna matatizo huwa hamtuelewi ila nashukuru Mungu taratibu tu yale...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dunia hii ya sayansi na teknolojia Kiongozi wa chama form 4, katibu form 6 mtatoboa kweli? Wanachama si ndio itakuwa bora liende? Fanyeni mabadiliko

    Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi. Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia. Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati. Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
  18. JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni suala la muda tu, nilijua lazima Harmonize atusue kwenye hii game

    Kuna watu tumejaliwa vipaji fulani vya kusoma alama za nyakati na kutabiri mambo yajayo. Zaidi ya miaka miwili nimekuwa nikimfuatilia huyu mwanamziki Harmonise tangu ajitoe kwenye label ya WCB. Na kiukweli kabisa matendo yake na attitude yake ilinifanya nione uwezekano mkubwa wa huyu mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Badala ya Vyeti kutofanya vizuri mtaani nimeanza na hii business (Party and rental Items )

    Habari ndugu zangu. Badala kukaa kipindi kirefu benchi na pirika kutafuta ajira Nimekuja na hii Idea (Party and rental Items ) maswala ya upambaji .Hii business nzuri sana na yenye faida nzuri kwa mwenye kukodisha vitu na yule mpambaji . Tuanze na mkodishaji vitu - huyu mtu mtaji wake ni...
  20. JamiiForums Tanzania Hii Video Clip ninayoiona ya Waziri Mkuu akiwa huko Ngorongoro anashangilia na kuimba pamoja na Wanajeshi wa JKT inamaanisha nini?

    Je, ndiyo 'mnatulazimisha' tuamini kuwa Safari ya 'Watanzania' kuhamia 'Msomera' ilisimamiwa 'Kijeshi' na 'Vipigo' juu au?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…