hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Unene sio sifa ni ugonjwa, kwa hii speed NHIF itaelekea kubaya. Tubadilike

    Habari wana JF, Kadri siku zinavyozidi kwenda watu wenye uzito ulipitiliza wamekuwa wakiongezeka kwa kasi sana. Kwa Nchi za wenzetu wanauchukia sana unene kutoka na athari zake lakini cha kushangaza Tanzania ni Tofauti mtu anaponenepa hupewa sifa nyingi sana ikiwemo kuonekana maisha ameyapatia...
  2. JamiiForums Tanzania Hii huwa inakuwaje kuwaje?

    Wakuu mimi nina swali moja tu leo. Kwanini mwanamke akikuelewa halafu wewe huna muda nae basi anakuletea shobo nyingi, ila ukithubutu kumtongoza tu basi anakuwa ni mtu wa kuona aibu muda wote hata usoni hakuangalii? Anakuwa kama kaingiwa na woga flani yani hata salamu kukupa inakuwa changamoto...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, chama kinachojali wanyonge na masikini kisingekubali tozo kama hizi. Hii sio CCM aliyoiasisi Mwl. Julius

    Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi! Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kesi hii anaweza kulipishwa?

    Wakuu, Huyu mjamaa ana ofisi mahala ya duka, walikuja watu wakamwomba waweke mali zao wanakuja zipitia Mali zikawekwa nje zina samani ya laki 7 zikapotea ambapo aliechiwa alipata dhArula Je, anawajibika kulipa mahakamani mad
  5. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi hii Solidarity Fund ya Ndugu yetu Mwigulu!

    Wakati bado waziri wetu wa fedha anaendelea kutapa tapa kwa vigugumizi akielezea mambo ambayo naamini hata yeye mwenyewe moyoni mwake anajua anatekeleza wajibu tu na si ukweli, tunaambiwa ni namna ya watu wengi, wananchi washiriki kwenye kuchangia SOLIDARITY FUND! - hebu nisaidieni ufafanuzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Soma hii kwa ufanisi, maisha utayapatia

    Mwanangu leo kabla hujalala naomba unisikilize kidogo, ninalo neno nahitaji kukuusia huenda likakufaa kimaisha. Kama si leo basi kesho na kama si kesho basi mtondo .. Mwanangu tupo chini ya mbingu, sababu ya Mungu. Yeye asiye na majungu, mwenye upendo usio na ukungu agaae riziki kwa mafungu...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Stori ya kuhuzunisha sana

    Katika ukanda mmoja wa Kusini wa Bara la Asia, palikuwa na mfalme mmoja ambae alitawala himaya yake kwa weledi na ufanisi mkubwa mno. Mfalme huyo alikuwa akipenda sana haki na utiifu mno, kiasi kwamba aliwaadhibu vikali mno wale wote walioenda kinyume na sheria na taratibu za himaya yake...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni kali, polisi wenye daladala wanaiibia serikali

    Hii ni fedheha na ukosefu wa nidhamu wa hali ya juu. Polisi kuiibia serikali, tena kwa jinai mchana kweupe ni kielelezo cha uozo ndani ya polisi. Mama Samia kafanya kweli katika kulitumbua jipu hilo maana limeota mizizi. Hao maafisa wahusika ni lazima wapelekwe mahakamani kwa uhujumu uchumi.
  9. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "acheni kulalamika tafuteni hela" ni mbinu ya kuzuia watu kusema ukweli au kudai haki zao?

    Kwa sasa kumekuwa na watu wengi sana wakitumia hiyo kauli. Je, inawezekana ni mojawapo ya mbinu ya kuwafanya wananchi waache kusema yanayowasibu kuhusiana na haki au stahiki zao?
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Mkenda dhambi hii ya udahili vyuoni isisubiri tamko la Rais Samia

    Elimu ndio chombo pekee kinachoweza kuwakutanisha mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini katika ofisi moja na mgahawa mmoja. Takwimu zinaonyesha kuwa shule binafsi za msingi na sekondari nchini ni ghali kuliko za serikali lakini ndizo zenye mazingira mazuri ya kujifunzia na kutoa ufaulu mkubwa kwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

    Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu, Naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine. Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi. Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu. siku...
  12. JamiiForums Tanzania Sikieni, hii inanishangaza

    Majuzi rafiki yangu alikopa pesa huko sijui mgodi sasa alipoanza kudaiwa ni mesage ya Mgodi ila siku ingine ni namba kama namba. Sasa kajuaje anadaiwa na huku ni kitu cha siri. Hata ukiwa na hela kwenye account unaanza kupigiwa na simu za ajabu ajabu. Naonelea wazo tu. Je, kama ni watu...
  13. JamiiForums Tanzania Dawa hii ya meno, ya mitishamba ipo wapi tena?

    Kuna dawa za mitishamba zinauwezo mkubwa sana. Kama kuna dawa ilikuwa inaitwa ngetwa dfp kama nitakuwa nimekumbuka vizuri, sijui hii dawa imepotelea wapi, iliokoa jino langu. Nilikwenda hospitali ya meno, dokta akaniambia hili jino ni la kung'oa, ilikuwa miaka kadhaa iliyopita na upachikaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania PR and journalism

    Jamani naombeni msaada kuhusu hii coz ya journalism and public relations je ni nzr kwa hapo baadae kuweza kuajiriwa na kujiajiri
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndio mashine ya kuzalisha matairi ya pikipiki kwa kutumia takataka, Tz hazijafika bado?

    Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini jamii hii itelekeze familia Zanzibar?

    Ndugu Watanzania kila mtu anayo haki ya kuishi maisha popote pale kwa kuzingatia misingi ya sheria ya ukaazi wa eneo husika. Nasikitishwa na baadhi ya watu ambao kwa matakwa yao waliamua kuhama kutoka Tanzania bara na kuja visiwani Zanzibar kwa ajili ya kutafuta riziki zao kutelekeza familia...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni lini SIDO wataunda mashine hii ya kuzalisha ‘Sprocket’ za pikipiki?

    Soko la ‘Sprocket’ za pikipiki ni kubwa sana Tanzania, na uzalishaji wake ni rahisi na unawezekanika kwa teknolojia rahisi sana. Je, ni lini SIDO wataanza kuunda na kusambaza mashine na ujuzi huu kwa maendeleo ya taifa letu? Sehemu ya tozo itumike kwenye R & D badala ya kujenga Ikulu hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Hii hali ni ushamba,ushirikiano au elimu?

    Nimefika wilaya ya ludewa mkoani njombe nimeshuhudia kama sherehe za ndoa nne kila anayepitisha tukio hili lazima akodi gari si chini ya kumi na kwakuwa mji mdogo watazunguka eneo lote la mjini hapo.Kituko wajasiriamali wasiyoalikwa wapo tayari kuacha biashara zao kusindikiza wakiwa wanacheza...
  19. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa simu ya Xaomi Redmi 9A niambieni mnaweza kunishawishi ninunue hii simu?

    Hii simu ina ubora gani na inarate sh ngapi?
  20. JamiiForums Tanzania Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…