hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu iliyonifanya hata nikienda kumtembelea ndugu yangu sibebi zawadi

    Za usiku siku imeendaje? Ilikuwa hivi nilikuwaga nakaa mkoani basi nikaenda kumtembelea binamu yangu nilikuwa natokea Mtwara nikanunua korosho nimpeleke zawadi nikampa nilipo fika sasa nikiwa najianda kwenda kuoga nikasia wanaongea itakuwa kanunua buku buku wana lahisisha mamb basi nikapotezea...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni RAM ya aina gani, DDR2 au DDR3?

    Msaada wa utambuzi wa hii RAM?
  3. JamiiForums Tanzania Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

    Mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele zake kilionekana wazi, imesababisha wa-Iran waseme imetosha, uzombi wa kidini hawautaki tena. Miji 80 ya Iran inatamalaki waandamaji. Nilishangaa sana FaizaFoxy anatetea huu ukatili kwa wanawake wenzake kisa mzuka wa kidini. ===== Large protests...
  4. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanaipenda sana hii kauli ambayo Rais Hichilema ameipinga

    Mara kibao CCM na wapiga mapambi wamekuwa wakisema "Rais anaangushwa na wateule/wasaidizi wake". Hii kauli Hichilema anaipinga vikali. Anasema uzwazwa wa wateule/wasidizi ndiyo unaakisi uwezo wa aliyewateua.
  5. JamiiForums Tanzania Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

    Kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona (planndemic disease) hii inawahusu,mkaleta ujuaji mkajidai mmesoma mnajua sana kuliko Rais wa nchi mwenye taarifa lukuki 🥺 ⚫Poleni sana Magonjwa ya ajabu ajabu yanapiga watu huko, infertility, heart attacks,blood pressure. "Msidhani kua...
  6. JamiiForums Tanzania Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

    Habari zenu wana JF wenzangu, Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo, kuendekeza siasa uchwara na kuangalia video za porn ili baadae wakajichue. Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia. Kinachotakiwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Hii fursa ppra je ni kweli ya 900 billion kwa vijana

    Wadau kuna vitu kweli watu wengi sijui ni elimu au shida inakuwa watu wanapiga hela kimya kimya nimesikiliza redio moja kuna jambo wanalizungumzia nimepata mshangao mkubwa sana kwamba serikali kumbe ina utaratibu maalum kwa vijana ambao mnaweza kujiunga na kwenda kujisajiri katika halmashauri...
  8. JamiiForums Tanzania Hii kisheria imekaaje? Je ni sawa kumuanika muharifu namna hii?

  9. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti Hii Naweza pata gari gani mtumba show room

    Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni 10 hadi 11 naweza pata gari gani show room .Hapo unatia funguo tu na kuondoka habari za kodi zisiwepo . Au nicheki kwa 0713 039 875
  10. JamiiForums Tanzania CHAPMAN CIGARETTE Naitafuta hii kitu naweza ipata wapi?

    Naitaka hii popote ilipo Tz
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa AIBU hii ya TRAB na TRAT ya Mwigulu, yafuatayo yanawezekana kutokea

    1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea 1. Kuondoa bunge live kuwaepusha na aibu CCM na wateule wa Rais na serikali kwa ujumla maana huyu siye wa mwisho. 2. Mwigulu anaweza kutemwa kama kutakuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Hii alama inaashiria nini kwenye account ya heslb?

    Habari zenu? Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo. Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Amani iwe nanyi. Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA! Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
  14. JamiiForums Tanzania Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

  15. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya viongozi kujifanya special kwenye matukio ya kijamii inanikwaza sana

    Kuna kitu nimekuwa nikikitafakari kwa muda mrefu, nikahisi yawezekana ni mimi tu fikra zangu ndiyo mbovu au za kizamani, lakini baada ya kumsikia Jaji Warioba akizungumzia suala hilo, nami nimepata nguvu kuamini kuwa ninachowaza kuwa ni tatizo basi inawezekana ni tatizo kweli Zamani nakumbuka...
  16. JamiiForums Tanzania Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

    Salaam, Kwa heshma na taadhima tunakumbushana; Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024] Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA. Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
  17. JamiiForums Tanzania Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Mungu nisingeumba dunia yenye hali ya sasa

    Kila nikitafakari changamoto ambazo baadhi ya watu wanapitia huwa naishia kusema ningekuwa Mungu nisingeiumba dunia hii jinsi ilivyo sasa. Hapa ninamaanisha ningeiumba bila uwezekano wa kuishia katika hali ya sasa. Ulemavu, magonjwa, vilio, mauaji, vita, ugaidi, ubakaji, rushwa n.k, vinaifanya...
  19. JamiiForums Tanzania Weka 'caption' kwenye picha hii

  20. JamiiForums Tanzania Nimeisikiliza hii hotuba ya Magufuli, nimeishia kutoa machozi tu

    Endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…