hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hii tafsiri mbaya sana kwa kiongozi wa nchi

    Hali ngumu Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki Maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa Maduka yake kufanya Biashara Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni Miezi 12 ya kujaribu kuuza Maduka yake kwenye Nchi za Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Serikali endeleeni kuichekea hii hatari hadi hapo Simba watakapotafuna mmoja

    Naelezwa hiyo Park yenye wanyama wakali wakiwemo Simba ipo huko Kilimanjaro na inafanya biashara hasa ya utalii wa picha na kwalo hujipatia kipato jambo ambalo ni jema. Lakini ipo siku Simba hao wanyama watamtafuna mtu nawaambia na hapo ndipo utaona Serikali ikitoa tamko la kuifungia. Ni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii mengi yanatokana na kutoheshimu ujuzi na nidhamu

    MATATIZO YA NCHI HII MENGI YANATOKANA KUTOKUHESHIMU AKILI KUBWA. Na Thadei Ole Mushi. Morogoro wametangaza Mgao wa Maji, Dar wameshatoa ratiba ya mgao wa maji, Huko mjini kila mahali Majenereta yananguruma kuashiria kuwa kuna tatizo la Umeme japokuwa waziri January hajatutangazia. Tuliwapa...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mvuha, Morogoro pana joto siyo la kawaida, hii hali italeta maafa

    Kwa yeyote aliye hapa Mvuha atakubaliana namimi kwamba hili joto siyo la kawaida. Hebu tupashane habari za jotoridi hapo ulipo.
  5. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwajili ya mashabiki wa Fid Q na muziki wa Hip Hop tu

    Habari wakuu, Naomba kunanza na Track hii ya Fid Q ft Juma nature, SIRI YA MTUNGI. Naandika mistari ya hii ngoma nitakapoishia atendelea mwingine hadi track kuisha, kisha mkuu mwingine anaweka track tunapita nayo. Song: Siri ya mtungi Fid Q ft Juma Nature Verse no: 1 Nilipotoka...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii show ya Fally Ipupa, Kinshasa itaweka rekodi ambayo haitavunjwa kirahisi.

    Wakuu nimesoma mitandaoni kuhusu show ya Fally Ipupa huko kwao Kinshasa nikabaki kinywa wazi. Huyu jamaa yuko serious. Hakuna longolongo. Yaani pamoja na kufanya promo kwa mbinu zilizozoeleka lakini kijana akaamua kukodi ndege kadhaa kwa ajili ya kutangaza show mjini Kinshasa. Tazama picha jinsi...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lema: ACT Wazalendo hawakujenga ofisi. Wamechukua iliyokuwa ya CUF. Hii ni mpya hii ofisi ya Act imewauma sana Chadema

    Sikiliza
  8. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kuhusu hii kozi naomba msaada wa kimawazo

    Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA. Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa. Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate. Natanguliza shukrani 🙏
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hatua sahihi kwa mzazi kuichukua?

    Nauilza tu waungwana
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (betting) hembu njoeni tuzijadili hizi point alizopewa Yanga sc dhidi ya Geita Gold leo hii.

    Mazee hapa kuna kamtego nini nikitia kamilioni nikimpa yanga si nitanemeka, alafu kama kuna kitu kinaniambia acha ujinga 😂😂
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

    Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito. Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Nape ondoka Wizarani bila shuruti, kwa sasa hupendwi na Wananchi na Mungu pia

    Sitoandika mengi hapa kwako Nape, Yani vifurushi leo unakuja na lugha laini ila ikipita miezi kadhaa wazunguka huko huko huenda kutekeleza malengo yako, maana mmeishajua mwenye nchi wasahaulifu, watapiga kelele, ila nyie mwala mema ya nchi, hivi mwafikili hizi pesa za dhuluma mtazikwa nazo...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hivi unamchukuliaje mtu wa namna hii?

    HIVI UNAMCHUKULIAJE MTU WA NAMNA HII? Anaandika, Robert Heriel Hivi unamchukuliaje mtu ambaye kazaliwa mjini lakini hajasoma? Yaani kuna shule na vyuo vya kutosha lakini yeye hajasoma, yaani Hana hata elimu ya diploma wakati vyuo hivyo amezaliwa amevikuta. Hivi mtu wa namna hiyo...
  14. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kufuta namba ya mtu kwenye simu yako na ukarudi kuihifadhi tena baadaye?

    Waslaam wakuu, Kuna hili suala ambalo limenitokea mara kadha naomba kuwashirikisha, sijui huwa linawatokea na nyie ama ni mimi pekee yangu tu. Kuna muda ambao una rafiki yako ama mpenzi wako huwa mnaaminia sana, ila ikatokea siku mkaahidiana mambo fulani ila mmoja wenu haswa rafiki/mpenzi wako...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC wamefanikiwa 100% kwa hii 'Unbeaten Record' yao na 'Propaganda' madhubuti

    Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa kwa sasa Klabu ya Yanga imejipanga vyema hasa kwa upande wa Propaganda muwe mnaelewa/mnatuelewa. Ukweli ni kwamba Yanga SC siyo wapumbavu kama labda ambavyo tunaweza kudhani kwa wao kuikuza hii 'Unbeaten Record' yao katika Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  17. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania 🚨 CHEKI HII: Passo inauzwa $ 240, Kama Laki Tano na Nusu tu

    Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri mwenyewe, kama ni wasee wa ku import manzi unaweza amua kukomaa na mshindi tu... . Kikifika hapo...
  18. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Biashara kuna kupata Pesa nyingi?

    Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi. Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa chini wa tsh ngapi? Pia kama kuna mtu kwa hapa Dar anaweza shauri eneo zuri kwa biashara au...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Miafrika ndivyo tulivyo. Inashangaza sana akili hii ya Serikali

    Hata aibu hawaoni. Halafu kuna mtu anakuja anazungumzia mabeberu sijui na nini. Hebu soma hapa. Uliza hao wanaoenda Qatari ni wazungu? Kama ni waafrika waulize wanaenda kwa pesa zao? Unasoma unagundua wanametengewa bajeti na Serikali. Wanaenda Kombe la Dunia Qatar watu 327. Wanatumia kodi za...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
Back
Top Bottom