hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dawa hii ya meno, ya mitishamba ipo wapi tena?

    Kuna dawa za mitishamba zinauwezo mkubwa sana. Kama kuna dawa ilikuwa inaitwa ngetwa dfp kama nitakuwa nimekumbuka vizuri, sijui hii dawa imepotelea wapi, iliokoa jino langu. Nilikwenda hospitali ya meno, dokta akaniambia hili jino ni la kung'oa, ilikuwa miaka kadhaa iliyopita na upachikaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania PR and journalism

    Jamani naombeni msaada kuhusu hii coz ya journalism and public relations je ni nzr kwa hapo baadae kuweza kuajiriwa na kujiajiri
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio mashine ya kuzalisha matairi ya pikipiki kwa kutumia takataka, Tz hazijafika bado?

    Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini jamii hii itelekeze familia Zanzibar?

    Ndugu Watanzania kila mtu anayo haki ya kuishi maisha popote pale kwa kuzingatia misingi ya sheria ya ukaazi wa eneo husika. Nasikitishwa na baadhi ya watu ambao kwa matakwa yao waliamua kuhama kutoka Tanzania bara na kuja visiwani Zanzibar kwa ajili ya kutafuta riziki zao kutelekeza familia...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni lini SIDO wataunda mashine hii ya kuzalisha ‘Sprocket’ za pikipiki?

    Soko la ‘Sprocket’ za pikipiki ni kubwa sana Tanzania, na uzalishaji wake ni rahisi na unawezekanika kwa teknolojia rahisi sana. Je, ni lini SIDO wataanza kuunda na kusambaza mashine na ujuzi huu kwa maendeleo ya taifa letu? Sehemu ya tozo itumike kwenye R & D badala ya kujenga Ikulu hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Hii hali ni ushamba,ushirikiano au elimu?

    Nimefika wilaya ya ludewa mkoani njombe nimeshuhudia kama sherehe za ndoa nne kila anayepitisha tukio hili lazima akodi gari si chini ya kumi na kwakuwa mji mdogo watazunguka eneo lote la mjini hapo.Kituko wajasiriamali wasiyoalikwa wapo tayari kuacha biashara zao kusindikiza wakiwa wanacheza...
  7. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa simu ya Xaomi Redmi 9A niambieni mnaweza kunishawishi ninunue hii simu?

    Hii simu ina ubora gani na inarate sh ngapi?
  8. JamiiForums Tanzania Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, Nguvu unayoitumia Kutuhamasisha 'Kusensabika' ungeitumia kumwambia Rais apunguze Tozo tungekuona wa maana

    Mbona Viongozi Wenzako wengine hawana hiki Kiherehere kama ulichonacho? au huo Unaibu Uwaziri sasa Umeshauchoka na Unajipendekeza kwa Mama Ili ikimpendeza sasa akuteue Waziri Kamili kabisa? Tafadhali hebu hamishia hii Nguvu Kubwa unayoitumia kutuasa Kusensabika kwa kumwambia Rais ( Mama )...
  10. JamiiForums Tanzania Singida Big Stars yakamilisha usajili wa mchezaji kutoka Argentina

    Tozo tunazochapwa ndizo zinafanya hii kazi ? klabu ya Singida Big stars inayomilikiwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imeweka rekodi Tanzania kwa kuwa klabu ya (1) kusajili mchezaji kutoka Argentina Anaitwa Miguel Alejandro Escobar, ana umri wa miaka (27) tu ni kiungo mshambuliaji Bila...
  11. JamiiForums Tanzania Sensa na Changamoto ya Intaneti: Karani wa Sensa Akutwa Juu ya Mti akitafuta Mtandao Butiama, Mara

    Ni huko wilaya ya Butiama kwa Baba wa taifa hili Mwl J. K. Nyerere. Kwa jinsi ambavyo viongozi wetu wasivyopenda kukosolewa, si ajabu karani huyu wa sensa anafukuzwa kazi kwa kuposti picha hii na kueleza changamoto hii. Anaweza kuwa charged kuwa anahujumu zoezi la sensa. ======== Makarani wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kukutana na biashara hii, ni ya kweli au utapeli?

    Wakuu kwema? Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE. Kwenye hii kitu kuna group lao, mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na...
  13. JamiiForums Tanzania Siri ya Mwigullu Nchemba hii hapa

    Hatimae nahisi nimetegua Kitendawili cha Tozo! Maumivu ni makubwa hasa kwa wale ambao ndio Kwanza wanaanza maisha achana na vizazi vilivyotangulia. Lakini kwa nini hali iwe hivi? Kwa nini kipindi hichi? Je, ni mpaka lini? Jibu ni hili hapa. Kabda ya kulaumu tutulize jazba na tujiulize nani...
  14. JamiiForums Tanzania Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  15. JamiiForums Tanzania AMUZZ, hii bar ambayo ipo Moshi, Kilimanjaro imenikosha sijawai kuona shangwe kama hili

    Kumbe Moshi, Kilimanjaro ndio kumewaka namna hii hakika hakuna mpinzani nimejaribu kutupia hapa vibweka vyake uploading imeshindikana ni hatari sana labda mnaweza kuchungulia insta, mimi ni mpenzi wa viwanja lakini cha namna. hata vilivyopo hapa Dar, havikamati hili shangwe! WASALAAM.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nyaraka inayothibitisha kwa Mangi Marealle alimuunga mkono Julius Nyerere UN hii hapa. Uongo kwamba Marealle alipinga uhuru ni kwa maslahi ya nani?

    At the invitation of the President, Mr. Fletcher-Cooke, special representative of the Administering Authority for the Trust Territory of Tanganyika, Marealle II, Paramount Chief of the Chaggas, and Mr. Julius K. Nyerere, President of the Tanganyika African National Union, took places...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye hii namba +255784686681 ni tapeli.

    Wakuu kuna mtu anatumia hii namba +255784686681 kutuma sms kwenye simu mbalimbali na kujifanya yeye ni ofisa wa jeshi la wananchi kwamba kuna nafasi zimetoka apigiwe simu, ukimpigia na kumhoji maswali akishagundua umemstukia unaishia kuambulia matusi. Namba imesajiliwa kwa jina la Gervaz Lyeiza
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume tuna siri sana ila siri hii, hapana

    Tukiendelea kungoja makarani wafike Wakuu kuna suala nalitafakari nakosa jibu nisaidieni! Iko hivi wengi wetu tunachangamoto za ndoa hasa kutokumwamini mwenza kwa matokeo ya mbeleni kwa ndoa kuvunjika kwa dalili unazoziona. Wanaume nafikiri tunaweka usiri ambao mwishowe ni hasara za mali...
  19. W

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwezo unaoweza tishia ulimwengu ni pamoja na system hacking kuanzia mifumo ya si mpaka computer

    Je! Unajua unaweza kudukua Iphones? Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia? Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea, inawezekena! Swala la kudukua...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndio sensa ya kisasa na yenye tija kuliko zote tangu uhuru

    Licha ya mapungufu machache, mfano karani na mwenyekiti wanazunguka bila hata reflector na kofia utadhani ni bibi na bwana wanatafuta shamba hapa Kijijini lakini hii Ni sensa super Sana. 1: Maswali yanayoulizwa yakifanikiwa Serikali itakuwa na taarifa nyeti Sana za raia wake kila Kona. Kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…