hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Walimu wa Hisabati, hii inaweza kutusaidia kufaulisha Wanafunzi na kulipenda somo hili

    Habarini za humu JF Elimu, Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa! MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU 1. Lugha adhimu ya kiingereza iwe mikononi mwa wanafunzi kwa vyovyote vile hasahasa grammatical and...
  2. Anayeweza kunitafsiria ndoto hii

    Mimi siyo mwandishi mzuri. Hivyo mtanisamehe kwa makosa yoyote ya kiuandishi yaliyopo kwenye wasilisho la ndoto hii. Kabla ya kuielezea ndoto hii, nimekumbuka kuwa leo ni siku ya kumbukumbu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Alfajiri kuamkia leo tarehe 26/04/2022, nimeota ndoto ya...
  3. Haya maneno yana ukweli kiasi gani?

    Kwema Wakuu! Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili. Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
  4. Boti iliyookotwa Zanzibar hii hapa, Wanajeshi waifanyia uchunguzi baada ya hofu ya mabomu

    Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo, Rashid Hadid Rashid amesema hakuna mabomu yaliyokutwa katika boti iliyookotwa kando kando mwa fukwe ya bahari ya Bwejuu kama ilivyodhaniwa na baadhi ya wavuvi walioisogeza boti hiyo ufukweni RC...
  5. Intelligence ya UKRAINE katika Vita hii imekuwa nzuri na yenye Ufasaha kuzidi ya Urusi

    Nipo nasoma soma taarifa fulani na kuzufanyia analysis, nikakutana na taarifa ya huyu Gen. Oleg Mityaev huyu alikua ni General wa 4 wa Russia kuuawa vitani Ukraine. Kufa kwa mmoja au wawili ni hali kawaida vitani, lakini kufa kwa Generals 9 si jambo la kawaida. Ikumbukwe, Russia iliteua...
  6. Nimekutana na Hii Hapa Mbagala

    Tumekukumbuka . Ndio ujumbe nikiiona kwenye gari Moja Hapa Mitaa ya Mbagala. . Ni Kweli Tumekukumbuka Mzee Wetu?
  7. Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa?

    Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano. Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne. Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi...
  8. Simba; sawa tunajua mnapenda uchawi, ila ndio muufanye bila kificho hata ugenini? ni aibu sasa hii

    Ni nini huu upuuzi?
  9. VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

    Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!! Tazama na...
  10. Kwanini Rais Putin anawaomba Wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hii

    Tangu vita vimeanza hii ni week ya tatu putin amekuwa akisika mara kadhaa akiliomba jeshi la Ukraine na wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hiii lakini bado madogo wanakomaa Je, ni kwanini Putin anawataka wanajeshi wa Ukraine kusalender?
  11. Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  12. Nimekutana na laana ya dunia

    Daaaaah, nime mwomba Mungu ingiliekati utuokoe tena. Nilikuwa nimetulia sehem nasubiri foleniipungue nielekee home mida ya saa 3 hivi usiku. Akaja jamaa mmoja smart yuko poatu na begilake mgongoni. Akawakama anapita pale nilipo, gafla akarudi pale nilipo mimi akanisalimia mambo vipi. Tukapiga...
  13. Picha: Huu ni mziki na outing za miaka hiyoo. Wazee wa zamani hii ni miaka ya 60s au 70s. 80s nilikuwa na ufahamu hazikuwepo hizi swagga.

    Ni habari picha
  14. Serikali yatangaza kufuta NGO 29 baada ya kuomba kwa hiari

    Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya mwaka 2002 inaujulisha umma kuwa imefuta NGOs 29 kuanzia Aprili 22, 2022 kama ifuatavyo; Source: Malunde
  15. S

    Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

    Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho. Ni tweet ya Haki Ngowi.
  16. Shida ya wanaume humu ni hii

    Mtu anakaa single kisa avatar yake. Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria. Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau. Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje...
  17. S

    Aibu: Picha za Mameya wa jiji la Dar tokea Uhuru zimebandikwa ukumbi wa Karimjee isipokuwa ya Isaya Mwita

    Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu. Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya Uhuru, Mpaka Meya huyu wa Sasa. Wanatambua Mameya wa Kizungu na Kihindi ila Wamegoma Kutambua Meya wa...
  18. Wajuzi wa masuala ya fix matangazo ya kazi mitandaoni. Hii inanisunbua sana

    Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
  19. Phone4Sale Nauza hii simu

    Nauza simu bei poa Nimu ni Nokia original Model 1280 Nataka tsh 25000/= 0679 100 690
  20. Hii video kuhusu Yesu Kristo ilikusudia nini hasa?

    Waliorekodi hii video walikusudia nini hasa kwamba Yesu kristo alipiga watu mateke.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…