hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TRA tunaomba update ya hii kauli ya Rais

    TRA mnakumbuka hii kauli ya Rais? Mmefikia wapi? Jana nimesikia TRA kwa upande wa kodi ya majengo wamepata msamaha wa riba kuanzia July hadi December. Mbona kwa wafanyabiashara zingine hatusikii kauli ya TRA? Mnangoja nini?
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeenda! Imeenda! Hiyo Imeenda! (Naomba Tafsiri Ya Salamu Hizi)

    Kuna chemistry kati ya watu hawa wawili?
  3. JamiiForums Tanzania Kwa sheria za Tanzania hii watafungwa wengi

    Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2. Kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika hapa ni kiingereza wakati sheria hiyo inaenda kutumika kwa mtu anaetumia lugha ya kiswahili. Sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Hii aibu mwisho wake lini, wanajeshi wa Urusi watoroka kwa baiskeli

    Walioachwa nyuma wakati wenzao walitoroka kwa magari, wameishia kuiba baskeli na kutoroka nazo ili tu waokoe maisha yao...vijana wa Ukraine wanaendelea kutembeza kichapo.... Russian soldiers abandoned by their units in the eastern Kharkiv region of Ukraine fled in disguises on bicycles...
  5. JamiiForums Tanzania Dr. Mpango alikuwa sahihi juu ya tatizo la hii nchi

    Imagine kiongozi mkubwa serikalini anaenda kwa mganga. Hii amwamu kila kiongozi anamganga wake ndio maana kila mtu muoga muoga kufanya maamuzi kwa faida ya watanzania. Dr. Mpango alishawaambia nyie viongozi acheni mambo ya imani za kishirikina, unakuta Mbunge, Waziri, Mkuu wa Mkoa au wa Wilaya...
  6. JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

    Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndio punje ya Haradali aliyoizungumzia BWANA YESU KRISTO

    Hii ndizo punje za Haradali. Ukiwa na imani ndogo kama punje ya Haradali unaweza kuihamisha milima.
  8. JamiiForums Tanzania Kweli mdomo uliponza kichwa, "Anaepinga ahamie Burundi" hii kauli najua anaijutia sana sana kuiropoka

    Jamaa atatumbuliwa hilo liko wazi kama uchi wa mbuzi lakini atakua katolewa kafara ili wakubwa wake wapate sifa. Siasa achana nayo yote yaliyotokea walishauriana na kuafikiana ila mzigo wa lawama anatupiwa yeye alafu wakubwa wanashangiliwa. Tengeneza tatizo kisha tatua tatizo. Walimuweka...
  9. JamiiForums Tanzania Dah! Urusi wameachia hiki kifaa kikachukuliwa kizembe sana, hii hasara sasa

    Wanajeshi wa Urusi sasa hivi hawajali, wanatoroka na kuacha vitu vya gharama sana almradi wanusuru maisha yao, nafikiri mpaka hapo, mataifa yote duniani yana cha kujifunza.... Hiki kifaa hatari cha kukanganya au kuzuia miale au signal jamming kimeachwa Ukraine wajichukulie tu.. Ukrainian...
  10. JamiiForums Tanzania Hii sentensi ina maana gani?

    Hii sentensi ina maana gani wakuu? "If I send a letter with a cashier's check, how long does it take to get to you from the U.S?"
  11. JamiiForums Tanzania Kama una ndugu yako anahitaji Kazi/Ajira sheli kuuza mafuta Mdada au Mmama mjuze habari hii

    Kuna nafasi ya Mwanamke/Mdada Sheli Kama unamjua Mtu anayejiheshimu ,smart na yupo tiyari kufanya Kazi mpe habari Unakuja PM Mshahara unajulikana Update Wamepatikana watu tyari so nafanya nao mazungumzo ili waweze kufika kazini Kama watapendezwa na salary
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ila hii nchi iliwahi kupata wanasiasa aina yake aisee!

    "Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mhe. Paul Makonda, amezindua zoezi la kupuliza dawa katika maeneo tofauti ya Mkoa wake Ili kuua vidudu vinavoeneza ugonjwa wa Corona (COVID 19)"
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe aina hii ya uchawi hata nchi zilizoendelea upo?

    Haya mambo nilidhani yapo Tanzania 🇹🇿 tu na nchi zetu, kumbe ni dunia nzima. Watu hawataki ufanikiwe kwa namna yoyote, watakuroga kwa maneno yao ya kichawi. Hata kama sio mchawi, ukisema tu, tutaona kama utafanikiwa, moja kwa moja unakuwa umeingia kwenye kundi la wachawi.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Naarifiwa wiki hii wanaopita kwenye barabara za Mwendokasi Kimenuka wanakamatwa na maafisa wa UDART, hawaangalii Jeshi, Polisi wala nani

    Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi. Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jersey kama hizi nitazipata wapi wakuu?

    Kwema wakuu? BOCA JUNIORS wana jezi kali sana , nitazipata wapi kwa hapo dar?
  16. JamiiForums Tanzania Zembwela wa Wasafi FM: Kutokana na hii Kero ya Tozo Lukuki natabiri 90% ya Wabunge hawatorudi tena Bungeni 2025

    "Kama kweli Watanzania wakijielewa na kutuliza Akili zao na kwa hali ninayoiona sasa Mitaani kutokana na Hasira za Tozo Lukuki huku Maisha yao yakizidi kuwa magumu kuna Uwezekano 90% ya Wabunge hatutokuwa nao tena Bungeni mwaka 2025" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Hillary Daud a.k.a Zembwela...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya huku kususia chaguzi ya vyama vya siasa hususani CHADEMA?

    Habari JF Kumekuwa na Tabia ya kususia Chaguzi kwa baadhi ya Vyama hususani CHADEMA, kwa namna navyoelewa kususa haijawahi kuwa suluhu ya tatizo labda kipindi cha utoto tu napo wazazi walikuwa wanaweza kukupotezea tu. Hivyo nikawaza kwa kina sana nikapata tafsiri zifuatazo zinaweza kuwa sahihi...
  18. JamiiForums Tanzania Ifahamu SIRI hii kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa faida yako maishani

    Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo: 1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani. 2...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

    Ni miaka 36 imepita tangu pale mvulana huyu azaliwe kwa furaha ya wazazi iliyoje kupata mtoto wa kiume wakifahamu wameleta mwana wa kuwaongezea ukoo na kuwafanya wajivunie kwa kupata wajukuu na huenda vitukuu na vilembwe, masikini pasina kufahamu kuwa mtoto huyo ana mapungufu makubwa ambayo kama...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ikiruhusiwa hii wangapi mtaenda kudai mpunga wenu?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…