Mazishi ya Rais Kibaki: Wabobezi wa protocols, hii imekaaje?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu naangalia mazishi ya mzee Kibaki kule Othaya.
.
Kuna jambo sijaelewa kwenye protocol naona ameanza kuingia Ruto then Raila Odinga then Rais Uhuru Kenyatta.
.
Hii imekaaje kwa nyie wabobezi wa Protocol?
 
Protokali za nchi ipi, Kenya au Tanzania? Ila kama unamaanisha kwamba rais alifaa 'kuingia' baada ya naibu wake basi hujakosea. Hapo ndio ushawishi wa Raila na uswahiba wake pia na rais Uhuru umetufikisha. Tinga siku hizi anazindua hadi miradi ya serikali na bado yeye tu ndio kiongozi rasmi wa upinzani. Usituulize sana kuhusu protokali jombaa, hata sisi wakenya pia inatukanganya sana.
 
mnatandikana makwenzi live sio? Mi nangoja August!
 
Kiujumla maandalizi yote ni ya hovyo sana.Nimeshangaa sana hata kaburi jinsi lilivyoandaliwa si kwa hadhi ya Rais.Hata vijana wanaorudisha udongo hawako organized.Kwenye kurusha udongo hakuna protocol pia jinsi kaburi lilivyoandaliwa pale angeweza kudondokea mtu kule shimoni wakati wa kurusha udongo.Aise yaani ni kama maazishi ya mjumbe wa nyumba kumi.

R.I.P Kibaki
 
Ni kazi ya Naibu wa rais kuwapa hao, "non government' officials nafasi ya kuongea
 
Back
Top Bottom