Mleta mada anajifanya hajui kwamba hilo eneo lote lilikuwa chini ya ulinzi wa wana usalama.Ni Rais yuko kazini, atafikiri hivyo tuu
Can you fly to KIA ?,😁mwenyekiti alienjoy sana,kikubww pesa hapa DunianiInategemea na uelewa wa mtu. Mbona hawa waligeana namba na tukio lao halikufanywa ishu?
View attachment 2205859
Mtu yupo Around 70 yrs wivu utoke wapi
[emoji16][emoji16]"Can you fly to KIA?"..Can you fly to KIA ?,[emoji16]mwenyekiti alienjoy sana,kikubww pesa hapa Duniani
2PAC- Money Over Bitches "MOB"Can you fly to KIA ?,😁mwenyekiti alienjoy sana,kikubww pesa hapa Duniani
Kama angetaka Uislamu asingeingia kwenye siasa za figisu, wizi wa kura, mipasho etc.Mara nyingi sana type hizo utakuja alishajiondoa zamani sana, kwa maana hata Kiislamu tu Mwanamke haruhusiwi hata tu kumpa mkono kwa maana ya kusalimiana Mwanaume asiye Mume wake.
No respect!
Sasa Wanausalama hapo ,wanaingiaje...?! Au hujamueleea!?Mleta mada anajifanya hajui kwamba hilo eneo lote lilikuwa chini ya ulinzi wa wana usalama.
Utakuwa sio wivu bali ni upumbavuSisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857
Namaanisha kwamba mume au mke hauwezi kuwa na wivu kama utakuwa na uhakika kuwa mtu unaemuonea wivu hawezi kufanya jambo lolote maeneo ambayo hayaruhusu yeye kufanya kile unachofikiri.Sasa Wanausalama hapo ,wanaingiaje...?! Au hujamueleea!?