hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aisee, wanawake mtatunyoosha, hii clip imenifikirisha sana, naenda kupima DNA watoto wangu wote

    Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke. Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip...
  2. JamiiForums Tanzania Wasanii, Chukueni Tahadhari Hii Katika Mikataba ya Matangazo

    Ni muhimu sana kwa wasanii kuhakikisha mnajidhatiti kwa kuwa na uwakilishi madhubuti wa kisheria katika usimamizi wa masuala yenu ya sanaa. Ikiwa mwaka bado ni mchanga na ikiwa tunaendelea kushiriki katika wiki ya sheria, nimelazimika kutumia kalamu na taaluma yangu kutoa rai hii kwa wasanii...
  3. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kuhusu tathmini ya uharibifu wa shamba baada ya mifugo kuharibu shamba?

    Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
  4. JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya uchawi kwenye hii biashara ya huyu Ustadhi

    Twende kwenye mada direct! Kuna Ustadhi ana duka la samaki wabichi mtaa mmoja huku Dar. Kaweka vijana 2 wanauza. Sijui ni ndugu zake au ni wafanyakazi tu. Hili duka la samaki bei ni ya kawaida tu kama maduka mengine. Samaki wake na maduka mengine wapo pia. Cha ajabu anapanga foleni ya wateja...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kushughulika na mtu huyu

    Nimejaribu kuomba msaada imeshindikana. Mie nilikuwa sina mpenzi nikawa na mtu friend with benefits. Sasa nipo na chibabu nikasema ngoja nimwambie kuwa mie sio single tena. Weeeh! Akawaka akadai yeye hajui hilo saivi yupo kama ananikomoa dah! Anaandika message za mapenzi, kero za hapa na pale...
  6. JamiiForums Tanzania Soma vitabu ndani ya App hii kwa malipo ya Tsh 7,000 kwa mwaka

    Habarini. Makatabaapp. Inakuletea vitabu mbalimbali vya kiswahili kwa ada ya 7,000(Kutokana na kupanda kwa gharama ada ya sasa ni Tsh 10000 kwa mwaka. Tunaomba Moderator watusaidie kuweka 10,000 badala ya 7,000 kwenye title) kwa mwaka. Vitabu humo unaweza kusoma hata ukiwa offline. Tucheki...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Simba hii tujiandae CAF kutoka

    Mpira wa Jana na Dodoma Jiji Yes Tumeshinda lakini Mwanasimba yeyote hajafurahi sana kwa sbb uwezo wa kupass ulipotea kabisa jana. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Simba aliyewez kuwa na utulivu. Simba why hawawez kufanya passing passing kuwa creative kwa maana hiyo michezo ya CAF inayokuja kazi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Nipashe lifungiwe baada ya Serikali kuchunguza habari hii

    Gazeti la Nipashe liliandika kwa kichwa cha habari kikubwa kuwa Watoto wafundishwa kulawitiana shuleni Watu wengi walishtuka lakini mimi Nilishikwa na wasiwasi kuhusu ukweli wa hii habari hasa ukizingatia gazeti hili lilikuwa nalijua kwa kuandika habari kwa mtindo wa "sensationalism", kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania CCM watatema ndoano au watakubali kunaswa na hoja za wapinzani?

    Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu...
  10. JamiiForums Tanzania Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

    walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wa vijijini ndiyo huwa wanalipa mikopo nchi hii, wanatakiwa kupewa kipaumbele kwenye matumizi ya hiyo mikopo

    Karibu asilimia mia moja ya mikopo ya nchi hii inalipwa na toka uhuru imekuwa inalipwa na watu wa vijijini. Unapoenda kulipa mikopo lazima utumie fedha ya kigeni, yaani dola. Sasa nchi yetu inapataje dola? Ni kwa kuuza bidhaa nje ya nchi. Wazalishaji wa viwanda vya ndani ambao wanauza humuhumu...
  12. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
  13. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kugundua makosa ya hii floor plan

    Hapo katikati pana uwazi wenye upana wa 3m hadi 3m
  14. JamiiForums Tanzania Siri ya popobawa Miaka ya 90 na Ushoga miaka yetu hii

    Mpaka leo files zake zimekuwa classified. Hawataki kusema ukweli hasa nini kilitokea na ikawaje wakayafungulia yale majini yakaanza kuwa yana waingilia wanaume kinyume na maumbile. Al maarufu Popo Bawa. Ulikuwa ni Uganga ilio fail sehemu. Yaliletwa toka huko Arabuni kwa minajiri flani...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Ila elimu yetu hii; Mungu atusaidie tu. Sasa hivi ni mwendo wa kugomewa tu kwanini watoto hawazungumzi Kiingereza!!

    Hadi tarehe 31.3.2023 watoto wote wa f1 inabidi wajue kiingereza.....lazima! Sasa hivi kuna maufuatiliaji yanayofanyika karibu kila siku tangu tarehe 9 zilipofunguliwa shule na moja ya jambo kubwa linaloangaliwa huko ni uzungumzaji wa kiingereza. Matokeo mabovu ya Form 2 ya 2022 yamechangia...
  16. JamiiForums Tanzania Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

    Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake. Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶ Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

    Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie. Nitatoa mifano 5 1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF...
  18. JamiiForums Tanzania Hii simu ijae picha zangu tuuu

    Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu. Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima..... Kaka kazi unayo Ila mwenzenu week...
  19. JamiiForums Tanzania Trend ya wanawake wa kunyoa vipara imesababishwa na nini?

    Hii trend ya wanawake kunyoa vipara hasa huku uswahilini ni uchawi tu na kuamini ushirikina nothing else .
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nifanyeje juu ya hali hii ya maisha yangu?

    Wakubwa kwangu shikamoni, wadogo kwangu habari zenu ? Hongereni kwa majukumu na afya njema, poleni mnaoumwa Mungu akawajaalie mpone. Ndugu, Nilizaliwa miaka 31 iliyopita. nilipenda sana kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi, sikufanikiwa kutokana na umri wangu kupita ule unaotakiwa, kukosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…