Trend ya wanawake wa kunyoa vipara imesababishwa na nini?

Mwaka wa tatu ninakata

Siyo nakata "babashopu" za uswahilini.
Ninakata Kule mlimani tower.
Kukiwa kuna sherehe nataka kubadilika ninaweka extension au navaa lace wig.
Maisha ya kunyoa raha sana.
 
Mwaka wa tatu ninakata

Siyo nakata "babashopu" za uswahilini.
Ninakata Kule mlimani tower.
Kukiwa kuna sherehe nataka kubadilika ninaweka extension au navaa lace wig.
Maisha ya kunyoa raha sana.
Nielekeze aunt na mie, mie nanyoa kule Sinza kuna classic saloon.

Mlimani tower sijapajua nielekeze.
 
Back
Top Bottom