hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapiga pull wote

    Wakuu salamu popote mlipo, pia poleni na heka heka za kila siku maana kwa ground mambo ni magumu sana, tuendelee kujitafta. Nirudi kwenye key, kwa ufupi sana:...... "wewe legendary kama uliweza kujinasua na kutoka kabisa kwenye mfumo wa kujichukulia sheria mkononi, hakika siti yako ipo mbele...
  2. JamiiForums Tanzania Pasi hii umedumu nayo kwa muda gani?

    Kuna pasi alafu kuna hii pasi Ya kwako imedumu kwa muda gani?
  3. JamiiForums Tanzania Jenerali Mohammad Ali Fath Alizadeh wa IRGC aangamizwa leo hii!!

    Jenerali Mohammad Ali Fath Alizadeh kamanda wa kitengo maalum cha vikosi vya Al-Fatehin wa vikosi vya Basij, aliuawa katika shambulio la Israeli. Alizadeh pia alikuwa naibu kamanda wa vikosi vya ardhini vya Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran. IDF haitalalq mpaka ifyeke kizazi cha vibaka...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hii tabia ya Mishahara ya Walimu wa Science na wa Arts Serikalini kuchezewa itaisha lini?

    Walimu Ajira Mpya mwezi wa kwanza 2026 had leo hatujapewa pesa za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Babati, tunateseka hatuna hela ya matumizi. Pia Walimu wa Science na wa Arts huwa mishahara inatofautiana wa Science kwenye barua ya kazi tuliyopewa basic salary ni Shilingi 925,000 but...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hii bei ya mafuta wiki chache zijazo tutaiona ni bei ndogo

    Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda tutakutana na 6500 kisha hii bei ya leo itaanza kuonekana ilikua mteremko sana. chakuomba ni kwamba watu...
  6. JamiiForums Tanzania Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika: 1. Kujenga viwanda vya...
  7. JamiiForums Tanzania Angalieni hii ramani ya nyumba alafu mnishauri kitu

    Ndugu Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo Mimi nilikuwa na waza icheze kwenye square mita 72 au 81 square meter... Naombeni mawazo yenu na vipimo vizuri kadiri muwezavyo
  8. JamiiForums Tanzania Angalizo: Kuwaamini Wamarekani(US) ni kujichimbia kaburi, ona hii!

    Tumeona hivi karibuni, shughuli za ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi yetu na Marekani. Marekani kwa kifupi hawana urafiki na mtu yeyote au Taifa lolote. Watakumeza halafu kukutema mzima mzima. Msijesema wananchi hatukuwaambia!
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpaka leo TANAPA imeshindwa kulipa Madai ya Watumishi, tunaishi maisha magumu

    Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana. Shirika limeshindwa kulipa madai hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa. Pia limeshindwa kulipa stahiki nyingine ambazo baadhi ya taasisi ambazo ziko katika Jeshi la Uhifadhi zinalipa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, Barabara hii ipo nchini Nigeria?

  11. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje?

    Nafanya kazi na wachina Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina. Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full
  12. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, watu wameanza kuwazia uchaguzi 2030

    Habari wakuu Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia. Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda...
  13. JamiiForums Tanzania Media za Marekani zilivyoingizwa mkenge na familia hii na jinsi mtoto alivyofichua siri

    Mnamo tarehe 15 Oktoba, 2009, dunia ilishuhudia moja kati ya matukio ya ajabu na ya kushtua zaidi katika historia ya runinga. Tukio hili, ambalo baadaye lilikuja kujulikana kama "Balloon Boy Hoax," lilianza kama uokoaji wa maisha ya mtoto na kuishia kama kashfa kubwa ya utapeli. 1. Simu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachunguze hii ya mstuko wa moyo isijekuwa ni mstukizo wa moyo

    Katika awamu ya sita, wanasiasa watatu waandamizi wamekufa kwa 'mstuko wa moyo' au kuugua ghafla Alianza Job Ndugai. Alifuata Jenista Mhagama. Na sasa Wiliam Lukuvi. Je, walikuwa wanaugua kwa muda mrefu wakaficha au? Nani atafuata? Kunani?
  15. JamiiForums Tanzania Hivi wakristo mnaamini vipi hiki kitu? Embu tazama hii video

    https://www.instagram.com/reel/DWNBYQVD6iK/?igsh=cTY2aWVyZjc1aGNx
  16. JamiiForums Tanzania Fikiria: Mkeo anafanya usafi, anasogeza kochi, ghafla anakutana na chupi ya kike ambayo haijawahi kuonekana

    Unajua, maisha ya ndoa au mahusiano ni kama filamu ya action, lakini siku ukikutwa na "ushahidi" usio na maelezo, filamu inageuka kuwa ya mtihani mkubwa! Hebu fikiria, mkeo anafanya usafi, anasogeza kochi, ghafla anakutana na chupi ya kike ambayo haijawahi kuonekana kwenye bajeti ya nyumba hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Trump ahamisha furushi la lawama; asema yanayoendelea sasa ni mawazo ya Pete Hegseth. Yeye hajaanzisha hii vita.

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa hakuwa mwanzilishi wa mgogoro unaoendelea hivi sasa na Iran, huku akisisitiza nafasi ya Waziri wake wa Ulinzi, Pete Hegseth, katika mchakato wa kufanya uamuzi huo. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara, Trump alielezea majadiliano ya ndani...
  18. JamiiForums Tanzania KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS) Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi

    KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS) Ameandika Dr. dogoli kinyamkela 💀☠️ Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi. Wakristo huiita "kanuni ya kupanda na kuvuna". Wanasema "apandacho mtu ndicho atakachovuna". Kanuni hii inasema kwamba kile unachokitenda kwa watu...
  19. JamiiForums Tanzania Trump aipiga mkwara Greenland (Denmark) na NATO kuhusu vita ya Iran. Iran yasema safari hii itailinda NATO

    Niaje waungwana Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani. Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nakerwa na Kampuni hii kuni-SMS kila wiki kutaka kununua mkopo wangu wa HESLB wakati mimi siwajui

    Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), sasa nami nimeona niweke hapa kero yangu inayoendana na hiyo. Kuna hii kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…