hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta kazi kwenye pharmacy Mtwara au Ruvuma

    .
  2. Crazy! Hivi kuna nchi inaongozwa vizuri sasa hivi Dunia hii?

    Naona kama kuna mtandao mkubwa Dunia nzima ambao umejipanga kuharibu na kubomoa mfumo wa Dunia kama tuujuavyo, Sasa hivi sidhani kama kuna nchi inaongozwa vizuri au ina Kiongozi yoyote wa maana anayejali haswa maslahi ya watu, Dunia nzima is f--ked up now, hakuna pa kukimbilia.
  3. H

    Natafuta masoko ya zao la Korosho Mbichi na za kukausha. Tupeane feedbacks za deal hii

    Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa ,Kaskazin and nje ya mipaka ya Tanzania.
  4. P

    Nimemuelewa mkurugenzi TCAA hii ni ajali kama zingine japo kuondokewa na mpendwa hakuzoeleki

    Jana mchana nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga Tanzania akielezea juu ya ajali ya ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nikawa nasoma maoni yanayopita pembeni ya kile kioo cha kinakilishi changu. Alionekana kama anapiga siasa zile zile tunazozizoea kuzisikia kutoka kwa watanzania pindi...
  5. Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

    Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe. Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi...
  6. Maendeleo Bank jihadharini na kampuni hii iliyopo Kipunguni, mtaumia!

    HIZI kampuni za kipunguni zinazojutangaza biashara za kuku na unga kabla ya kutoa mkopo.mjiridhishe ushauri tu
  7. Rekodi ya ajali za ndege aina ya hii ya Precision Air

    Accidents and incidents The ATR 72 has been involved in 46 aviation accidents and incidents including 29 hull losses,[74] resulting in 398 fatalities.[75] This list is incomplete; you can help by adding missing items. (October 2022) Accidents with fatalities Date Flight Fat. Surv...
  8. Hii ndio maana ya uzalendo kwa vitendo

    Wakti wengine wanaonyesha uzalendo kwa kuvaa nembo na tai zenye bendera ya Tanzania, wanyama wakuu wa tanzania na mlima Kilimanjaro na Zanzibar tu huyu kijana ameamua kutufundisha maana halisi ya uzalendo. Hivi ni kweli ni yeye tu aliyekuwa ameiona ndege ikianguka kwenye maji? Tunajua kuna...
  9. TRA, hii imekaaje? Gari ya 2022 na usajili wa miaka ya 2005?

    Mitaani kuna vituko vingi. Kuna magari ya wasiyojulikana wengi tu sasa hivi, lakini hii ni kiboko. Gari T140ALF ina usajili wa karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model. Inakuwaje hapo?
  10. P

    Ajali hii imetupa kujua, wananchi si kipaombele cha viongozi wao!

    Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende! Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu! Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea! Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
  11. Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  12. Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

    Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini? Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya...
  13. Ndoto Kuota upo nje ya nchi tafsiri ya Ndoto hii nini

    Ndoto hii nimeiota usiku huu mida ya saa 8 sasa sababu usingiz ulikata ikabidi niingie mtandao jf kupata habari zilizojiri siku nzima ya jana. Natoa pole kwa wafiwa wote waliopoteza wapendwa wao kutokana ajali ya ndege nawaombea heri majeruhi wote Mungu awaponye warudi kwenye majukumu yao...
  14. Wasioamini Mungu au uchawi wanaelezeaje hii?

    I am genuinely curious. Hii mnaelezeaje msioamini Mungu au uchawi? Kiranga Scars
  15. Ninaupungufu wa kujiamini, hali hii inaishaje?

    Kama ukiniona kwa mbali tu au tukiongea kwenye simu, au ukiona picha yangu, naonekana handsome flani, kijana mwenye kujiamini na mwenye sifa kedekede, ila ukikaa na mimi dakika kadhaa tukaongea, utaniona ni mtu mshambamshamba, nisie jiamini, mwenye mambo ya kitoto na kadharka. mara nyingi...
  16. Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

    Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea: "Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo...
  17. Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

    Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
  18. Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

    Hii ngoma ni kali kila sekta wakuu. Huyu dogo ni next big thing.
  19. Hivi hii Sheria ya Marubani wa Ndege na Manahodha wa Meli bado inafanyika hadi hivi leo?

    Kwamba Ndege au Meli ya Abiria ikizama Majini (Baharini na Ziwani) Rubani na Nahodha hawatakiwi Kujiokoa au Kuokolewa Kwanza hadi Abiria Wote wamalizike na kwamba ikitokea hata akafa ndani ya Maji na Ajali husika basi huyo Kitasnia na Kiuweledi anasifika kuwa alikuwa ni Shujaa wa Kiutendaji...
  20. Wabunge Shigongo na Sanga hii Vita mnayotaka Kuipigana mmejiandaa na Nguvu ya 'Mafia' wanaowazunguka?

    Nawaoneeni sana na mno Huruma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…