Wadau, muwe mnanawa mikono kabla ya kuanza tendo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
7,671
16,614
Juzi nlikuwa na demu mmoja tumetoka wote job tukapitia kula sehemu na kunywa kidogo. Of course ni demu ambaye huwa tuna chezeana chezeana. Hatuna mapenzi ya kudumu ila tukihitajiana tunakutana tuna nanii then life goes on.

Sasa tumekula na kunywa nikawa nataka kuondoka. Aliniambia atapanda Uber tu wala nsihangaike. Tukaja kwenye kimeo changu tuagane. Katika kukisiana n.k nikaamua kupima oil.

Nlishasahau kuwa tulikula makange ya kuku na mimi ni mpenzi sana wa pilipili. Na sikunawa vizuri kuondoa pilipili maana pia kuna pilipili niliishika mkononi nikawa natafunia nyama.

Nlimwonea huruma yule dada kwa kweli. Aliwashwa sana... Halafu tukawa hatujui sasa nifanye nini. Ikabidi kumnawisha na maji ya chupa. Aibu ilitoka akashuka akachuchumaa huku kapandisha sketi. Nikawana namwagia maji ananawa. Aisee, ikabidi nimpeleke kwake. Nikamvua nguo. Kumcheck kule chini, kumekuwa kwekunduuu.

Wadau muwe makini sana. Kabla hujafikiria kupima oil hakikisha umenawa kwa sabuni, maji safi na salama. Pia tumia na sanitizer.
 
Juzi nlikuwa na demu mmoja tumetoka wote job tukapitia kula sehemu na kunywa kidogo. Of course ni demu ambaye huwa tuna chezeana chezeana. Hatuna mapenzi ya kudumu ila tukihitajiana tunakutana tuna nanii then life goes on.

Wadau muwe makini sana. Kabla hujafikiria kupima oil hakikisha umenawa kwa sabuni, maji safi na salama. Pia tumia na sanitizer.
Wee bwege kweli sasa kwa nni hukuilamba hiyo pilipili kwa mbususu baadala yake unamnawsha na maji🤣🤣🤣🤣
 
Juzi nlikuwa na demu mmoja tumetoka wote job tukapitia kula sehemu na kunywa kidogo. Of course ni demu ambaye huwa tuna chezeana chezeana. Hatuna mapenzi ya kudumu ila tukihitajiana tunakutana tuna nanii then life goes on.
umenawa kwa sabuni, maji safi na salama. Pia tumia na sanitizer.
Chizi maarifa umetisha mkuu😖😖😖😖😖
 
Duuuh
JamiiForums320153528.jpg
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom