hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

    Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta. 'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile. Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

    Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali, Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyechora Katuni hii anatukebehi watanzania au anaelezea ukweli jinsi tulivyo??

    Wachora Katuni ulimwenguni kwa kawaida ndiyo watu wanaothibitisha ule msemo wa "Picha huongea maneno zaidi ya Elfu kwa wakati mmoja". Na sheria ya sanaa katuni mmoja hutafsiriwa kutegemea na mtu anayeiangalia. Nchi za Afrika ya Mashariki wachora Katuni hutoa tafsiri jinsi ya watu husika...
  4. JamiiForums Tanzania Nani aliruhusu Hii picha ipigwe hadharani namna hii?

    Mimi Huwa nashindwa kuelewa weledi wa vyombo vya ulinzi na usalama TZ. Vitu sentive Huwa hawana macho ya kuviona, binafsi siamini kama kweli hili eneo Halina askari kazu.
  5. JamiiForums Tanzania Miss u wana Mmu, ramadhani hii ukiwa na ugumu wewe sio binadamu

    😂😂😂 kwanza nafuraha sana baada ya kutoka jela segerea mitaaa ya ban thanks mod Nikitambo sana ila kikubwa ni hiki jamani mwezi huu mtukufu (mimi ni mkrito) ila nipo pamoja na nyie jua kali sana mpaka genye haziji kabisa Nashangaa kuna vijana bado wanamizika sijui wanaitoa wapi mimi tu...
  6. JamiiForums Tanzania Hii hali unadhani husababishwa na nini?

    Naanza na salamu kwa wote mlioko kwenye mfungo, natumaini hamjambo. Iko hivi, Unakuta mnauhusiano na mtu au watu fulani either kimasomo, kikazi au kiutafutaji. Punde tu mmoja wenu katika hizo nyanja za kuwa pamoja akifanikiwa unakuta anakimbilia kubadilisha namba ya simu. Binafsi hii hali Huwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hii hapa orodha kamili ya wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika Mashariki

    Habari mwenye kujua forbes wanaangalia nini naomba ufafanuziii hiii habari sijaelewa kabisa Jarida la Forbes imetoa orodha ya Wasanii wa muziki wenye utajiri mkubwa Afrika Mashariki (East Africa) kwa mwaka 2023. 1. Bobi Wine (Uganda) : Dola milioni (9) 2. Diamond Platinumz (Tanzania): Dola...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ndio ‘Rockerfeller Document’ ya mwaka 2010 iliyotoa maelekezo ya kusambaza ugonjwa wa Corona duniani

    Familia ya Rockerfeller ndio familia ya kitajiri zaidi huko Marekani inayoshikilia sekta za Kibenki, Kiviwanda, Mafuta na Siasa. Inatajwa kwamba matajiri wote duniani wanaongozwa na kuendeshwa na familia hii, hasa hasa Billgates na wenzake. Mwaka 2010 walitotoa maelekezo kwa matajiri na...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu ni kazi gani naweza fanya kwa Smart Phone yangu

    Wana jf habar zenu,,, jaman mi muda mwingi sina kazi na Nina smartphone kutwa nashinda online lakini ni jobless ni kuunga bando tyu na kuslide duniani . Nisaidieni jinsi bando langu kupitia smartphone yangu unaweza nizalishia pesa. Jobless tupitie comments za high IQ hapo 👇👇👇
  10. F

    JamiiForums Tanzania Picha hii inasema sana kuhusu siku zijazo kwa siasa na uongozi wa Tanzania

    Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii. Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi. Mwanga utajadiliana na giza, na...
  11. JamiiForums Tanzania Foleni leo hatari Posta na maeneo ya karibu kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam

    Jamani mnaokuja mjini jipangeni haswa, barabara zimefungwa fungwa haswa zielekeazo Posta hadi Ikulu
  12. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umejaa simanzi na uchungu! Nchi inaliwa sana hii

    TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani. Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  14. JamiiForums Tanzania Azam TV hii huduma yao ya kuangalia online ni mbovu sana

    Habari wakuu, Nawsilisha kwa wanaohusika na kitengo cha Azam Max huduma yake ni mbovu sana hasa huu mwezi yaani huwezi kuangalia kipindi unachopenda yaani muda wote inakata na hakuna marekebisho ukiwapigia wanakwambia wana tatizo la kimtandao, na itakaa sawa lakini hilo tatizo ndio mwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Ukilewa sana kisha ukalala unaweza kuota ndoto ndani ya ndoto na ukiwa kwenye hiyo ndoto ukaota tena ndoto ila process ya kuamka inaweza kukuchizisha

    Hello bosses and roses, Leo niko kwenye mood ya kuandika so nimeona niandike hii experience nliopitia mwaka fulani. Kuna siku miaka ya zamani kdg nililewa sana zaidi ya kawaida. Mie nna alcohol torelance ya ajabu sana. Hata nilewe vipi huwa sipotezi fahamu, nitayumba kutembea lkn ukinipa kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Hii cover ya wimbo wa roho wa Christian Bella (ft Fid Q) aloifanya TGUN TOZZY kwenye BSS imenikumbusha miaka ile Lil Wayne kwenye MTV UNPLUGGED

    Hello bosses and roses, Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya. Nimeona cover ya Roho (christian bella ft fid Q) ilofanywa na TGUN na mwenzake aisee imenikumbusha mbali sana enzi hizo za MTV...
  18. JamiiForums Tanzania E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    E-SIM ni teknolojia inayomsaidia mtumiaji wa simu kwa na laini zaidi ya moja kwenye simu hata kama simu hiyo inakisehemu kimoja tu cha kuweka laini. Vitu vya kuzingatia ili kuweza kupata huduma ya E SIM ni vipi? 1. Lazima simu yako iwe ina uwezo wa kupokea mipangilio ya E-SIM, kwa maelezo zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Hii picha imebeba ujumbe mzito sana, Wewe umeielewaje?

    Mimi nikiingiaga mtandaoni kilasiku huwa napenda sana kutazama picha mbalimbali zinazohusu sana asili ya kiuumbaji (Nature) ikiwemo picha za Miti, wanyama, watu, Miinuko ya ardhi, n.k) leo katika pita pita zangu za kutazama picha mtandaoni nimekutana na hii picha na hakika nimeitazama sanaaa...
  20. JamiiForums Tanzania Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

    Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo. Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado ni ngumu. Huyu mmoja anaetuwakilisha nje siku hatokuwepo na tutarudi enzi za dharau. Say no tu janja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…