UVCCM kabla ya kukurupuka Kumshambulia Dk. Bashiru Ali mliipitia hii Kauli ya Boss wenu Kinana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,073
107,565
GENTAMYCINE naweka hapa Nukuu ya Kauli ya Makamu Mwenyekiti CCM Bara Abdulrahman Kinana baada ya Kutangazwa Mshindi wa Cheo hicho Mkutanoni Dodoma mbele ya wana CCM wote akiwemo Mwenyekiti Taifa CCM na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.......

"Niwaombe wana CCM wote Kukubali Changamoto na Kukosolewa na ama wana CCM Wenzetu au hata wasio wana CCM kwani kwa kufanya hivyo wanatusaidia Kutushtua pale tulipokosea na Kutujenga zaidi hivyo tuache kuwaona Wanaotukosoa ni Maadui zetu badala yake tuheshimu Mawazo yao"

Haya GENTAMYCINE nawaomba sasa Mazuzu / Mizuzu ya UVCCM waje / ije hapa na waniambie kutokana na Kauli hii ya Boss wao Kinana ni wapi Genius Dk. Bashiru Ali ( Mbunge na mwana CCM lia lia ) amekosea kwa Kauli yake ambayo Sisi tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu tunaiona ni sahihi na tena alipaswa apewe hata Tuzo kwa Ujasiri wake huo na siyo Kulaumiwa nanyi Wanafiki na Chawa ( sycophants ) mliojazana hapo na Uzuzu wenu.
 
Badala yake, ukikosoa/ukitoa maoni, yakapiga kwenye shina, umekwisha!! Tz hakuna demokrasia, wala uhuru wa kutoa maoni kama alivyosema mdau hapo nje
 
Hii nchi watawala wanapenda kusifiwa tu. Hamis Kigwangalla limeita press-conference kumpinga Bashiru aibu.
 
Utajuaje kama limepewa mpunga litokelezee mbele ya mic, si ajabu wiki itaishia kwa msururu wa wapinga hoja bila kutoa hoja. Maswala ya maji, umeme, katiba mpya, tozo, mafuta, yanaweza subiri hadi Jan2023.
 
Mimi Naona kama bashiru na yeye anazingua kwa sababu juzi tu hapa enzi za hayati magufuli bashiru ndo alikuwa kinara na meneja mapambio kwa Mh. Rais.

Na pia alikuwa anasifia hata pasipo stahili kusifiwa, hapo ndipo watu tunaanza kuwa na mashaka nae huyu mtu alikuwa anataka na kitu gani kilichokuwa kinampa kiburi na hadi kufikia hatua kujiona yeye ndo mbabe ktk siasa ya Tz

Kwahiyo, hapo tunamuona mnafiki tu mbona kipindi kile hakusema hayo yote badala yake aliwekeza katika mapambio na kumsifu mwendazake?
 
Ask Bashiru , alivyowatendea Makamba , Kinana , Membe, Nape wakati wao waki express their opinions tena in private halafu wakaitwa mbele ya chama na kuwa embarrassed big time. Where were Warioba and Butiku at that time? Hii ni Unafiki wa hali wa juu
 
Ni vema misingi ya chama (kama kipo) ikatawala: hizo personalization zitawamaliza
 
GENTAMYCINE naweka hapa Nukuu ya Kauli ya Makamu Mwenyekiti CCM Bara Abdulrahman Kinana baada ya Kutangazwa Mshindi wa Cheo hicho Mkutanoni Dodoma mbele ya wana CCM wote akiwemo Mwenyekiti Taifa CCM na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.......

"Niwaombe wana CCM wote Kukubali Changamoto na Kukosolewa na ama wana CCM Wenzetu au hata wasio wana CCM kwani kwa kufanya hivyo wanatusaidia Kutushtua pale tulipokosea na Kutujenga zaidi hivyo tuache kuwaona Wanaotukosoa ni Maadui zetu badala yake tuheshimu Mawazo yao"

Haya GENTAMYCINE nawaomba sasa Mazuzu / Mizuzu ya UVCCM waje / ije hapa na waniambie kutokana na Kauli hii ya Boss wao Kinana ni wapi Genius Dk. Bashiru Ali ( Mbunge na mwana CCM lia lia ) amekosea kwa Kauli yake ambayo Sisi tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu tunaiona ni sahihi na tena alipaswa apewe hata Tuzo kwa Ujasiri wake huo na siyo Kulaumiwa nanyi Wanafiki na Chawa ( sycophants ) mliojazana hapo na Uzuzu wenu.
Popoma mbarikiwa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom