hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii dawa ninaweza kuipata wapi?

    Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wa Hii nchi wanavituko mno!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter". Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu hilo jina nimekuta mavijana ya ovyo kibao ya hapa JF yameshalitumia hilo jina😂😂,Daaah hatari sana...
  3. JamiiForums Tanzania Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume. Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo. Mabarabarani nako utakutana na wasichana...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Hii pikipiki ntaipata wapi wakuu

    Ni kwa ajili ya usafiri wa haraka sina budget ya gari nimependa hii kitu naipata wapi? Ongeza ushauri zaidi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hii mikataba ilisomwa na kueleweka kabla ya kusainiwa ?

    Kuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli . Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness . Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
  6. JamiiForums Tanzania Hili la kuhusu usalama wa pesa za pensheni za Wastaafu limekaaje?

    Heri ya nanenane kwenu nyote mtakaopitia uzi huu. Ndugu zangu kwa sasa wazee wetu wastaafu wanapitia suala gumu sana linalohusiana na kikokotoo malalamiko yapo kila pahala. Nina imani Serikali yetu sikivu inasikia na inafanyia kazi jambo hilo ili wazee wetu wapate stahiki zao zote bila...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha wanaozilazimisha bodaboda ziwe pikipiki za michezo wanapukutika sana na kupata vilema vya kudumu kwa kujitakia wenyewe

    Wanatumia pikipiki ya kichina zisizo za michezo kufanya michezo, hawana helmet, gloves ngumu, guard ya viwiko, guard ya magoti, safe jacket, suruali ngumu, buti, begi lenye sponji, n.k. mwendo wa Ngiri mkia juu, kasi ya kuwapumzisha wadudu inazidi kuwa kubwa, vifo vingne nikujitakia sio Mungu...
  8. JamiiForums Tanzania Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
  9. JamiiForums Tanzania Nauza Mifumo ya kuangalia matokeo

    Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini, yaani utakavyo on the fly kwa kutumia computer au simu yako ya mkononi, mfano kuweka matangazo au...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ngoma mpya ya Harmonize isiponyakua Grammy nitaamini uchawi upo

    Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee. Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu. Kulikuwa na abiria wanne...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wenye akili nchi hii wapo. Tatizo ni kupewa vyeo kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa

    Kwa wale ambao tumewahi kuwa watumishi wa umma tunakubaliana kuwa wapo Watanzania wengi tu wenye uwezo mkubwa kiakili. Tatizo moja la nchi hii, watu hupandishwa na kupewa nafasi kubwa kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa. Yaani wale watumishi wasiohoji chochote, wazee wa ndiyo ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  13. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona CCM dhaifu na nyepesi kama ya awamu hii si katika kufikiri, kutatua na kujibu hoja. Sekretariati mbovu na dhaifu

    Wasalaam JF, Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts. Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru. Sekretariati...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

    Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli? Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi...
  15. JamiiForums Tanzania Swali kwa Great Thinkers tu. Kama shetani ni baba wa uongo, kwanini kashindwa ku fake miujiza hii?

    Shetani anatajwa kwenye maandishi matakatifu kuwa ni baba wa uongo, na tumeamini hivyo, lakini kuna vtu ambavyo shetani na makuwadi wake wa soķo huria wakiwemo manabii feki, wachungaji feki, mashehe wa mchongo, waganga na wachawi hawajawahi kuiiga. 1. Bikira kupata mimba bila mwanaume 2...
  16. JamiiForums Tanzania Kusavaivu hadi leo hii wengi wetu bila kupigwa chale tusingetoboa

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!  Maisha haya ya kitanzania yaliyojaa dhiki, umasikini, roho mbaya, husda, vijicho, masengenyo na masimango ingekuwa ngumu sana kutoboa kimaisha kama wengi wetu tusingepita kwa kina karumanzira ili kuwekwa sawa. Kila mtu anafahamu kilichompeleka kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi hii haijapata chama sahihi cha upinzani

    Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa. Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..." Hays ndani ya sisiem kina upinzani. Nahisi hili ndilo linaweza kutokea, ama tuaeme liliishatokea...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhaba wa dawa na vifaa tiba ni kilio kikubwa kwa jamii ni vyema serikali kuhakikisha hali hii inakoma

    UHABA WA DAWA NA VIFAATIBA NI KILIO KIKUBWA KWA JAMII NI VYEMA SERIKALI KUHAKIKISHA HALI HII INAKOMA Utangulizi Uhaba wa dawa na vifaatiba kwenye hospitali, zahanati na vituo mbalimbali vya afya zikiwemo za serikali hapa nchini. ni hali ambayo kwa kweli bado imekuwa ni changamoto kubwa kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

    Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ? Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
  20. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, Fiston Kalala Mayele atambulishwa Pyramid FC ya Misri

    Club ya Pyramid FC ya Misri imetangaza kumsajli Mshambuliaji wa Kimataifa wa Congo DR Fiston Kalala Mayele (29) kutokea Yanga SC ya Tanzania. Mayele anaondoka Yanga baada ya kucheza misimu miwili Tanzania kwa maanikio makubwa msimu wa kwanza 2021/2022 alimaliza nafasi ya pili kwa ufungaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…