hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Hii inaitwa Mwana Ukome

    Kuna watu ni Masters wa kupika huko Twitter, na huyu kijana amepata jibu mubashara. Kulinganisha ubora wa CNN ama BBC na ubora wa ITV ama TBC.
  2. Logic hii, wabongo hawaielewi kabisa!

    huyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa chini, mwenye nguvu ndiyo anakula na ndiye anayeishi kama porini ... Ricardo nolasco dos santos (rip)
  3. Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  4. Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

    Pitia video hii https://www.instagram.com/reel/DRWg3AgAN-6/?igsh=dTkzMzhlcDE4cHV2
  5. PostGE2025 Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell

    Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell. Kulingana na kinachoendelea https://youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
  6. Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
  7. PostGE2025 Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii

    Angalizo: Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote. Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Drive
  8. M

    PostGE2025 Larry Madowo: Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma

    Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma. Lakini sisi tunaieleza dunia kupitia televisheni na mtandaoni.
  9. M

    PostGE2025 Hii kauli ya tutawakata vichwa kwa mapanga ikiichwa, ni rasimi kwamba serikali hii inabariki wauwaji?

    NCHI YANGU KWA SASA INASIKITISHA SANA! Kuona kauli kama hii ya kishetwani ikipita tu bila kuchukuliwa hatua? Inashangaza sana, mpaka muda huu kwa aliyetamka wazi wazi tena mbele ya makamera kwamba atakatakata mapanga watu, bado yupo uraiani Je, nini tafsiri ya kauli hiyo inapoachwa tu na...
  10. PostGE2025 Media zetu ni TAKATAKA unatoaje hii taarifa bila kupost hiyo makala?

    Long way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.
  11. Viongozi wa dini hasa wa kiislam hii inawahusu

    Tafadhali sikilizeni hii. Na huu ndio uhalisia wa maisha mtaani Tanzania yote. Nb: Viongozi wa Kiislam jitafakarini sana. Kama ni bahasha na uchawa basi mnajidhalilisha.
  12. Je, hii kauli ina ukweli kwa Tanzania?

    "This battle is going on everywhere on the continent, if not the whole earth. Tanzanians have just realised they were behind. It's the Tanzanians who maintained a rotten system and are responsible for this mess, not CCM. Tanzanians, in general, were not significantly affected by the fall of the...
  13. Masheikh mliolopwa posho huu inawahusu

    Bonus: Mgodi wa GGML kufungwa December 05. Mwanakulitafuta... Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia...
  14. N

    Kwa heshima na taadhima nawaita BAKWATA, TEC, KKKT, Wasabato, Manabii, Waanglikana na masheikh tujadili hotuba hii ya Mwalimu Nyerere

    Nawaomba sana ndugu zangu tusikilize hotuba hii kwa makini ili tuweze kujadiliana vizuri.
  15. Je, Tume itafika Gerezani Ukonga kumuhoji Tundu Lissu? Kwanini Rais hukuwaita wakwambie no reform no election why?

    Je hii tume itaenda muuliza Mh Tundu Lissu aliposema tutakinukisha alikuwa na maana Gani? Je, itaenda kumuuliza aliposema kitanuka alikuwa na maana Gani? Je, wataitwa wakina Lissu kumuuliza Nini maana no election no reform? Wataenda muuliza ana shida Gani na tume ya uchaguzi? Je itawapata...
  16. H

    Rais Samia, Unakotupeleka Utalaaniwa na Vizazi Vyote Vya Tanzania Na Dunia. Nchi Hii Haijawahi Kuwa na Ugomvi wa Kidini, Wewe Unauanzisha kwa Nguvu

    Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
  17. Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za CAF Kwa Mwaka 2025

    LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA CAF 2025 ✅Mshambuliaji wa Pyramids na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Kalala Mayele ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2025 barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Afrika. ✅Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi ndiye...
  18. Picha: Mawaziri wapya wakiwa wanakula kiapo - Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa hii hapa (Watanzania wa kweli wanaipenda)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
  19. PostGE2025 Watu maarufu chukueni hii code. Kinachotafutwa sasa ni kuzima mjadala wa mauaji ya October 29 sasa sikieni

    Haijalishi wewe ulikuwa chawa au ulikuwa nani kinachotafutwa na tukio la mtu maarufu mwenye jina apate tukio mitandao ije imzungumzie wamejaribu kwa mwenzenu hapo juzi mmeona kijana mpole ila wamepita naye sasa kazi kwenu D9 tokeni acheni ushamba
  20. Kama wewe Sio Kipofu Itambue Namba hii

    Itambue Namba Iliyofichwa Katika Vyumba Hivyo. ‘Karibu kwenye Macho Makali Challenge!’ ‘Anatafutwa mtu mwenye macho makali zaidi!’ ‘Kwenye picha hii kuna jedwali lenye vyumba 16…’ ‘Namba moja kati ya 1 hadi 16 imefichwa Kwenye Chumba Fulani.’ ‘Je, unaweza kuitambua?’ ‘Taja namba unayoona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…