King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii.
Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu:
Ni wazi kuwa umoja wetu hatimaye, utaikomboa nchi hii:
Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu...
Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme.
Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa...
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu...
Ndani ya Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma, inapatikana Shule ya Msingi Mshangano. Shule hiyo ina vyumba 6 vya madarasa na wanafunzi zaidi ya 900.
Pamoja na kuwa imeanzishwa miaka michache iliyopita, changamoto za uzembe zinajitokeza katika shule hiyo, kama vile ukosefu wa maji ambao...
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.
Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe.
Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hivi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yangu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya...
Mwenezi wa CCM Bwana "Daudi Albert Bashite" al maaruf kama Po Makonda, amekuwa na kauli tofauti tofauti dhidi ya mtu yeyote.
So far kishawazodoa karibu viongozi wote,wa kisiasa na kidini isipokuwa aliyemteua.
Unakumbuka kauli ipi kwa kiongozi yupi ?
Nukuu tafadhali!
Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar.
Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa...
Nimesikitika sana asubuhi kusikia viongozi wanajitamba kuwakamata wafanyabiashara wanaouza sukari bei juu...😜😁😁Nachrka kwa dharau.
Unamkamata muha,mangi mwenye kirobba cha kg 25 kanunua 100,000 unataka uauzeje sukari? Yeye kanunua duka la jumla, kosa lake ni nini? Yeye hana kiwanda, kwanini...
Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo.
Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje?
Je, haoni hatari ilioje? Na...
Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi ipo mikono salama chini ya spika Tulia Ackson Mwansasu.
Huyu mtu sio tu ni spika bali tumepata...
Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024.
Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
1. Kuokota chupa za plastic za kupima kwa kilo.
Hii kazi inauhusiano wa moja kwa moja na ukichaa.
Katika tafiti yangu ndogo nimegundua wanaojihusisha na hii kazi lazima akili ziruke kidogo.
Kuna mmoja hapo External alikuwa mzima kabisa hadi alipoanza kuzunguka na mfuko huko barabarani kutafuta...
Mambo yamebadilika wakuu
Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba.
Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia...
Salaam,
Je, wewe ni Mchungaji au una ndoto ya Kumiliki Kanisa?
Basi huitaji kutumia Nguvu nyingi, Pesa nyingi wala Muda mwingi kuzunguka huko duniani ukitangaza neno.
Unachopaswa kufanya sasa:
1. Acha kabisa kukemea dhambi kanisani.
2. Jitahidi kuchekesha wakati wa ibada.
3. Jenga urafiki...