Hii ndio Injili yenye nguvu zaidi dunia ya sasa

WeedLiquorz

JF-Expert Member
May 30, 2022
3,287
5,466
Salaam,

Je, wewe ni Mchungaji au una ndoto ya Kumiliki Kanisa?

Basi huitaji kutumia Nguvu nyingi, Pesa nyingi wala Muda mwingi kuzunguka huko duniani ukitangaza neno.

Unachopaswa kufanya sasa:

1. Acha kabisa kukemea dhambi kanisani.

2. Jitahidi kuchekesha wakati wa ibada.

3. Jenga urafiki mzuri na kina Mama, watoto na Vijana hasa wa Kike.

4. Ondoa mipaka na Sheria zote ndogo ndogo.

5. Wafanye waumini wako wajisikie kama wapo nyumbani.

Kwa kufanya hivyo tu kanisani kutafulika wimbi la Waumini kuliko Ukubwa wa Imani yako.

Ukifanikiwa nikumbuke na mimi.
 
Salaam,
Je wewe ni Mchungaji au una ndoto ya Kumiliki Kanisa?

Basi huitaji kutumia Nguvu nyingi, Pesa nyingi wala Muda mwingi kuzunguka huko duniani ukitangaza neno.

Unachopaswa kufanya sasa:-
1.Acha kabisa kukemea dhambi kanisani
2.Jitahidi kuchekesha wakati wa ibada.
3.Jenga urafiki mzuri na kina Mama, watoto na Vijana hasa wa Kike.
4.Ondoa mipaka na Sheria zote ndogo ndogo.
5.Wafanye waumini wako wajisikie kama wapo nyumbani.

Kwa kufanya hivyo tu kanisani kutafulika wimbi la Waumini kuliko Ukubwa wa Imani yako.

Ukifanikiwa nikumbuke na mimi.
Ninataka nifunguwe kanisa je wewe utakuw ani mchungaji wa hilo kanisa?halafu pesa zikazopatikana tunagawana mafungo 3 Fungo la kwanza Pesa ya kanisa fungo la pili pesa ya kwako na fungu la tatu pesa yangu unasemaje? Mkuu
 
Hii nzuri kabisa na mikakati yote mimi nina mwongozo tunachohitaji ni nguvu kazi ya kuanzia tu.
Kina Mama 10 wenye familia, Wadada 10 warembo wenye umri wa kuolewa ila wako singo, watoto wadogo 10 na Vijana wa kiume wa5 kwajili ya huduma.
 
Back
Top Bottom