hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mboga za majani aina ya Chainizi husababisha upungufu wa Nguvu za kiume

    Kumekuwa na Madai ya kwamba matumizi ya mboga za majani aina ya chainizi yamekua na madhara katika ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume. Kuna ukweli gani katika hilo suala? Naomba nijibiwe kitaalam niweze kuelewa.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Epuka, hii ni mojawapo kati ya makufuru!

    Salaam, Shalom!! Kumekuwa na picha zinazotembea mitandaoni Hasa mtandao wa FB ikimuonyesha mtu mwenye mapembe mwenye mkia ana six parks, ambaye ni Rahisi kumhusisha na shetani, pia mwingine anaonekana akiwa amevaa vazi jeupe naye Kwa mara kadhaa amechorwa Kwa mwonekano kama mtu mwana mazoezi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Title hii ya research ipo na dependent and independent variables na ni zipi pia kama title hii ipo researchable?

    Assessing the effectiveness of firewall Technology in prevention of network attacks in organization's infrastructure; The case of.........
  4. JamiiForums Tanzania Hii sheria ya ardhi kuhusu wageni kumiliki ardhi isipokuwa makini mtakuja kulaumiana mbeleni

    Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi. Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo...
  5. JamiiForums Tanzania TAMISEMI safari hii sijui wamezingatia nini

    Selection za mwaka huu sijui wamezingatia nini, unakuta mtoto alijichagulia masomo yake ya Arts mara anapelekwa Science, na aliyechagua masomo ya science. Mdogo wangu hana raha hapa alichagua masomo ya Arts ila amepelekwa PGM Songea Boys. Mods please msiunganishe Uzi wangu 😭 , huu Uzi unajitegemea
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

    Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni darasa kuhusu hii mifumo ya simu ya sasa na zamani

    Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia. Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
  8. JamiiForums Tanzania Hii yote imesababishwa na kukataa kulima

  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii naiita weka tuweke

    Wadau mko poa!! I am doing well. Mtaa nilohamia mwaka huu mwishoni kuna ki sistaa flan, hiki ki sistaa kwao ni wafanya biashara wanamaduka ya vyakula na maduka ya dawa za binadamu. Kimemaliza diploma ya animal science SUA pale mwaka jana. Kwao ni watu wa dini sana hata kuonana nako...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga jengo la biashara Kinshasa

    Kwa wale ambavyo angalau ngeri inapanda hebu pitieni kidogo hicho kipande cha gazeti. === Serikali inaanza mradi kabambe wa kujenga majengo ya makazi, rasmi na biashara katika nchi kadhaa kwa lengo la kuongeza mapato kwa ajili ya Wizara ya Mambo ya Nje. Akiliomba Bunge kupitisha bajeti ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii ni kwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki

    Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany...
  12. JamiiForums Tanzania Kisutu: Matapeli 12 wanaotuma Meseji za kitapeli kwenye simu, Wapandishwa Kizimbani

    "MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32. Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani wakazi 12 wa Ifakara, Morogoro akiwemo Barnaba Gidajuri (45) wakikabiliwa na mashtaka...
  13. JamiiForums Tanzania Nini kibadilike kwenye hii Ramani?

    Wakuu Salama? Naomba mnifanyie critical Review ya huu mchoro toka Kwa Mtaalam wangu.Lengo langu ni 4 bedroom all ensuite Kwa Familia Kubwa/AirBnB na pia. Itajengwa Village.Wanafamilia watatumia siku za mwisho wa Mwaka Ila wakiondoka inaleta Pesa kama AirBnB. Vitu gani viko Sawa na vitu gani...
  14. JamiiForums Tanzania Eti hii ndiyo nchi yangu? 😔

    Daah! Hii nchi hiii. Kuna muda nakaa naisikitikia hii nchi kwa namna inavyoendeshwa, Kumbe nchi nayo inanisikitikia jinsi ninavyoishi maisha ya kimaskini na utajiri upo. Si ajabu atakuja Rais kama JPM lakini watu hawatamwelewa mpaka umauti utakapomkuta. Kwanini watu wa nchii hii vitu vizuri...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini Yesu alizungumzia sana Pesa/ Mali/ Uchumi kuliko maombi

    Ukiacha Ufalme wa Mungu jambo la pili lililotawala hotuba, story mifano ya Yesu lilikuwa ni Pesa/Mali na uchumi. Hili alilizungumzia sana kuliko Maombi na Imani. Zipo sababu nyingi, ila hii ni moja ya muhimu sana. Umasikini ni utumwa. Mwenye mali atatumikiwa na wasionacho. Hii ni kanuni. Yesu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hii kesi mdogo wangu ana haki au hana?

    nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule akadai simu yake lakini mkuu wa shule amegoma kumrudishia na anadai simu imeharibiwa.Ni kweli sheria...
  17. JamiiForums Tanzania RC Makonda anaishi katika ulimwengu wa pekee katika dunia hii

    Aminini Aminini nawaambieni. Mwenye macho halazimishwi kuona ikiwa atakaza fuvu basi hamtaweza kuona kile mnachoambizana,na kwanini tusisemezane kwa mazuri na tukayasahau mabaya yote? Mbora wenu zaidi ni yule mwenye kusamehe. Mh PAUL MAKONDA ni zao la kikwete limestawi katika bustani ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CCM ninayoijua siyo hii. Kamati ya Maadili ya CCM iko wapi?

    Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa kalipio kali mkatibu wakuu wastaafu wa ccm taifa, Abdulrahman Kinana na mzee Yusufu Makamba...
  19. JamiiForums Tanzania Hii live coverage wanayofanya Azam imekaa kihujuma hujuma kweli.

    Imagine coverage Haina drone camera hata Moja picha za juu za kawaida kweli kweli Sauti nadhani Kila mtu anaisikia hata Millard Ayo angefanya vizuri zaidi ya hii NB: Mtu ambae Azam imempa uongozi wa picha na video kwa Sasa ni anafeli kwa nyanja zote ukiangalia upandishaji wa picha na video...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

    Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka. Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…