RC Makonda anaishi katika ulimwengu wa pekee katika dunia hii

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,790
3,392
Aminini Aminini nawaambieni.

Mwenye macho halazimishwi kuona ikiwa atakaza fuvu basi hamtaweza kuona kile mnachoambizana,na kwanini tusisemezane kwa mazuri na tukayasahau mabaya yote?

Mbora wenu zaidi ni yule mwenye kusamehe.

Mh PAUL MAKONDA ni zao la kikwete limestawi katika bustani ya Magufuli,ni mtu mwenye fikra za kijamaa kwenye ulimwengu wa kibepari(ulimwengu wa ubinafsi,ulafi na wizi) katika ulimwengu huu haki inakuwa imeshikiliwa na kitu kama hunacho basi huna haki,ni ulimwengu wa sifa mwenye pembe husimama dhidi ya wengine.

Fikra za ujamaa katika kipindi cha ubepari ni mambo mawili tofauti,ujamaa unakufunza kutumia uthubutu na madaraka katika uongozi lakini ubepari unataka fikra na uwongo kwenye utendaji.

Dunia na ulimwengu wa sasa ni katili kwa kila atakayemgusa mwanamke kwa namna yeyote ile,kwa kuwa atakayefanya ni mweusi,anadhambi za baba na hana elimu ya kutosha ataandamwa kwa kuwa hana cha kujitetea zaidi ya uthubutu wake,wanahukumu zaidi kuliko kuhoji,maelfu ya wanachama wa dunia hii hupata msukumo wa neno usomi ila wamesahau kuwa unaweza msomi ila utendaji kazi na usomi wako ni vitu tofauti"sheria siyo uchumi wala sio uongozi" uongozi ni kuwajibika na mamlaka anatoa mwenye nayo.

tusipo ziba ufa tutakuja kuujenga ukuta na tuombe mungu tusiwe tayari tumechelewa.

BY MUHAFIDHINA
 
Ni suala la muda tu. Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
 
Waambie ukweli Hawa mapimbi!

Back
Top Bottom