hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Polisi ya Kenya kushirikiana na LSK uchunguzi wa miili 11 ilio kutwa Dampo. Je Tanzania hii inawezekana?

    Naona taarifa la Jeshi la Police la Kenya likisema litashirikiana hadi na taasisi zingine za kiraia katika kuchunguza miili 11 ilio kutwa. Watashirikiana na Law Society of Kenya(LSK) hawa LSK ni mwiba mkari sana kwa Serikali ya Kenya hawa hawacheki cheki hawajipendekezi kama ilivyo Tanganyika...
  2. JamiiForums Tanzania Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

    Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwenye hii Picha ya Kim Jong Un na Raisi wa Ukraine

    Jamani hii Picha ninayo iona hapa ni ni ya kweli au imetengenezwa na akili mnemba AI
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi kutishia wananchi hadharani hii imekaeje wakuu?

    Katiba inasema hivi au chalamila ana katiba yake mwenyewe inayomuongoza na ni kwanini viongozi wanaongea hivi na hakuna hatua zinazochukuliwa? "8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo - (a) wananchi ndio msingi wa mamlaka...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Eti hii imekaaje

    Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile Kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho Kwa dk kama tano alafu anapata nafuu... hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta anaeweza kutengeneza au wanapouza aina hii ya majiko

    Hii ni nusu oven https://youtube.com/shorts/Cq65cJXrEDc?si=OCHus-xjbSdVyx65
  7. JamiiForums Tanzania Putin hawezi kushida hii vita, anamalizwa mdogo mdogo

    Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA) Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja...
  8. JamiiForums Tanzania Hii nime copy pahala

    C&P Rais @SuluhuSamia , haya anayoyaongea Rais @WilliamsRuto ndiyo tunayotaka kuyasikia kutoka kwako, sio mahubiri ya dini. Tunataka kusikia umekataa kuidhinisha bajeti ya Bilioni 180+ kuhudumia wabunge 390 pale Dodoma huku umma wa watanzania ukiteseka na umaskini uliokithiri. Tunataka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hapa umeonyesha Kiburi cha Mamlaka na hii haikusaidii na haiisaidii nchi jirekebishe

    Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa". Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke, ana ndugu na jamaa wanaoheshimiana naye- Wewe unamjibu kwa nyodo na kumuitia Polisi wamchuke. Hii...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jaman hii race ya wazungu ina mademu wakal jaman..tuachen kudanganyana..umbo sura shepu had mat*

    Mi naish huku,aisee...na nazunguka sana Schengen,,aisee hawa wenzetu na ubaguz wao ila wana watoto wakal jaman...yaan wana watoto wakal..nikisema mademu wakal hiv mnaelewa..na hiz nywele zao bazo dada zetu wanazipenda had wanazinunua kwa bei mbaya aisee.., Sasa naambiwa eastern europe huko ndo...
  11. JamiiForums Tanzania Sijaelewa plan hii ya vituo vya mwendo kasi (BRT-UDART)

    Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji 2. Kituo cha DIT na KISUTU 3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B. 4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka...
  12. JamiiForums Tanzania Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo ukinunua kiwanja hicho Karibu sana simu 0712815440
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

    Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
  14. JamiiForums Tanzania Enyi UTUMISHI, hii Ufasuaji ni nini?

    Nafasi za kazi kada ya Afya kwa sasa zimepitia ajira portal na sio TAMISEMI kama ilivyokuwa awali. Kuna kazi imeandika DAKTARI BINGWA UFASUAJI hii ni nini?
  15. JamiiForums Tanzania King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
  16. JamiiForums Tanzania Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  17. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa aina hii ya matangazo usishangae kuona hupati wateja

    Hilo hapo chini ni tangazo katika moja ya migahawa hapa mjini DSM, Ameanza kwa mtiririko huu ∙ Supu ya Samaki ∙Choo cha kulipia ∙Chapati ∙maandazi ∙Wali + Pilau ∙Chips Karibuni sana, Katika hili tangazo lake kosa kubwa alilolifanya ni kuandika Choo cha kulipia katikati ya tangazo la chakula...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndio Value for Money ya kitita alichotumia Samia kupeleka wasaa Korea?

    Mpaka sasa tumefichwa ni bilioni ngapi zimetumika. Lakini najiuliza hii ndio value for money?
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

    Eeh watu wanahela hapa mjini, Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini. Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking. Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits. Hii bar nitarudi tena kivingine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…