hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Natafuta anaeweza kutengeneza au wanapouza aina hii ya majiko

    Hii ni nusu oven https://youtube.com/shorts/Cq65cJXrEDc?si=OCHus-xjbSdVyx65
  2. ward41

    JamiiForums Tanzania Putin hawezi kushida hii vita, anamalizwa mdogo mdogo

    Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA) Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja...
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Hii nime copy pahala

    C&P Rais @SuluhuSamia , haya anayoyaongea Rais @WilliamsRuto ndiyo tunayotaka kuyasikia kutoka kwako, sio mahubiri ya dini. Tunataka kusikia umekataa kuidhinisha bajeti ya Bilioni 180+ kuhudumia wabunge 390 pale Dodoma huku umma wa watanzania ukiteseka na umaskini uliokithiri. Tunataka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hapa umeonyesha Kiburi cha Mamlaka na hii haikusaidii na haiisaidii nchi jirekebishe

    Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa". Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke, ana ndugu na jamaa wanaoheshimiana naye- Wewe unamjibu kwa nyodo na kumuitia Polisi wamchuke. Hii...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jaman hii race ya wazungu ina mademu wakal jaman..tuachen kudanganyana..umbo sura shepu had mat*

    Mi naish huku,aisee...na nazunguka sana Schengen,,aisee hawa wenzetu na ubaguz wao ila wana watoto wakal jaman...yaan wana watoto wakal..nikisema mademu wakal hiv mnaelewa..na hiz nywele zao bazo dada zetu wanazipenda had wanazinunua kwa bei mbaya aisee.., Sasa naambiwa eastern europe huko ndo...
  6. crome20

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa plan hii ya vituo vya mwendo kasi (BRT-UDART)

    Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji 2. Kituo cha DIT na KISUTU 3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B. 4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo ukinunua kiwanja hicho Karibu sana simu 0712815440
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

    Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Enyi UTUMISHI, hii Ufasuaji ni nini?

    Nafasi za kazi kada ya Afya kwa sasa zimepitia ajira portal na sio TAMISEMI kama ilivyokuwa awali. Kuna kazi imeandika DAKTARI BINGWA UFASUAJI hii ni nini?
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  12. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
  13. Vien

    JamiiForums Tanzania Kwa aina hii ya matangazo usishangae kuona hupati wateja

    Hilo hapo chini ni tangazo katika moja ya migahawa hapa mjini DSM, Ameanza kwa mtiririko huu ∙ Supu ya Samaki ∙Choo cha kulipia ∙Chapati ∙maandazi ∙Wali + Pilau ∙Chips Karibuni sana, Katika hili tangazo lake kosa kubwa alilolifanya ni kuandika Choo cha kulipia katikati ya tangazo la chakula...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Value for Money ya kitita alichotumia Samia kupeleka wasaa Korea?

    Mpaka sasa tumefichwa ni bilioni ngapi zimetumika. Lakini najiuliza hii ndio value for money?
  15. haszu

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

    Eeh watu wanahela hapa mjini, Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini. Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking. Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits. Hii bar nitarudi tena kivingine.
  16. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Unanuka Kwapa? Hakiya Mungu tena hii dawa itakutibu 100% Kesho nipe mrejesho

    Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu. Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku. Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni...
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wewe kama uliwahi kutumia hii chanuo alafu bado unajitafuta umeishafeli

    Je, ulitumia hii chanuo na bado unajitafuta hujajipata? Angalau uwe na mtoto wa kukuita baba inatosha
  18. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hii picha inakupa kumbukumbu gani mdau?

    Mwaka 2018 kulitokea mambo ya ajabu sana kwenye suala la ukamataji Samaki wenye umbo dogo au samaki ambao hawajakomaa! Samaki hao wenye urefu chini ya sentimita 25 kutoka Ziwa Victoria walikamatwa katika mgahawa wa Lamba Catering Service. Ni kati ya kilo 100 za samaki waliokuwapo mgahawani hapo...
  20. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa ajili ya wanaume 18+ under 25 years.

    Gonzalez nawafungulia code 3 kwa comment za mdau in a previous code 2. Hii ni kwa wanaume 18+ but under 25 years. 1. Usinywe pombe nothing bad like driving your mind in a crazy way. 2. If you can afford hakikisha umelipia gym or you exercise daily, lifting weights itafaa zaidi. 3. Tumia...
Back
Top Bottom